Mbowe usimwachie Lissu chama kwa utovu huu wa nidhamu, afadhali kifie mikononi mwako maana kilitokana na mikono yako na wananchi wenye nidhamu

Mbowe ni mjomba angu, tafadhali sana, usiachie hicho kikoba, ukoo unaishi kwa kutegemea pesa za makamanda, endelea kushikilia hapohapo.
 
Kwani mbowe ndiye anaaamua chama amuachie nani au wanachama ndio watachagua nani wanamtaka siku ya uchaguzi? Mbona hii kauli yako inataka kuchorea mstari madai ya kwamba chana ni cha mtu na sio wanachama? Au umekosea.
 
Mbowe is the businessman, not interested with politics, he is there purposely.

Lissu he is not fit and intelligent enough to be the top dog, he don't have tolerance and not somebody to trust. He is not well informed and thinks he knows everything (genius than everybody).

Mwisho kabisa, CDM sio chama cha siasa bali ni genge la watu fulani wenye maslahi mengi ya gizani ikiwepo kuitumia CDM kama bargain chip ikitokea fyongo ndani ya CCM na kutishia maslahi ya watu upande mwingine ni chama kilichopo Kwa ajili yakuwamanipulate wananchi kuamini kuna chama strong cha siasa. Mambo ni mengi sana.

Watanzania wanahitaji chama cha kweli cha siasa chenye kubeba maslahi ya nchi na wananchi, kwasasa hamna kuanzia CCM, CDM nk wote wako chini la genge moja lenye nguvu kila mahala.
 
Kwani nyinyi maccm mna siri ipi na Mbowe?

Mmefanya naye maovu gani kiasi kwamba mpaka nyinyi mnahofia nafasi yake kuchukuliwa na mwingine kwenye chama kisicho chenu?

Temu hii imekula kwenu, tutafukunyua kila uovu mliofanya nae mtu wenu, tumepotelewa na watu kibao, mkiingia kwenye kufanya uchunguzi unaishia hewani tu!

Tulieni mnyolewe kima nyie
 
Mkuu uwezo wako wa kuchambua mambo umeshuka ghafla sana!
 
Lissu kugombea uenyekiti wa Chadema ndio utovu wa nidhamu.
 
Lissu alikua kakaa sehemu nzuri ya kushinda au siku moja kuongoza CDM au hata TAIFA.Lkn kwa jinsi wapambe walivyomuingiza mkenge hawezi ataleta mpasuko.
Staili yake ya sasa ya kujifanya utafikiri yeye sio sehemu ya CHADEMA, kwamba yaliyokuwa yanafanyika humo yeye hayajui. Hasemi kwa mafasi yake alifanya nini kama kiongozi katika kurekebisha au kujaribu kuweka mambo sawa NA HAPO NDO ANGETOKEA.Lkn sio yeye ndo system yenyewe ya Chadema, kiongozi wa kamati ya maadili halafu hachukui hatua abasubiri kuja kusema majukwaani.
Hakuna mtu, taifa, chama, kampuni ambayo haina matatizo au hakuna kiongozi na mtu yoyote duniani hapa kanyooka kama ruler.
Lissu ni opportunitic, mbinafsi na msaliti - HATUWEZI kuwa na Rais kama huyu..atakuwa anakataa accountability ya vyombo vyake kwa kukaa pembeni na kujifanya yeye msafi.
Huwezi leo hii ukamsikia Mama Samia anakaa 24 hrs akilinanga jeshi la polisi - sababu yeye ni sehemu - anahusika nalo - kulisema as if alimuhusu ni ukichaa..anachoweza kufanya ni kujitahidi kurekebisha na hata akisema anasema kwa hekima na tahadhari - NDIO UONGOZI HUO.

Huwezi ukamsikia Trump au kiongozi yoyote wa kitaifa wa US akilisena jeshi lao licha ya shutuma kibao.

Huwezi ukamskia Netanyahu anawasema wanayeshi wake na kuwakandia mwanzo mwisho licha ta mauaji wanayofanya gaza.

Huwezi ukamsikia Dr.Nchimbi akimsema mwenyekiti wake au viongozi wenzake...hadharani..au unafikiri. CCM wamenyooka.

Nape,Kinana & Makamba walikuwa wanamsema JPM privately - sirini, isingekuwa kuingiliwa kwenye privacy yao watu baki wasingejua..lkn walikua na uwezo wa kuandika mapungufu yake mitandaoni etc...na ingekuwa na impact kubwa na hatari zaidi.
Hatuwasemi watoto wetu, wanafamilia wetu, wake zetu hadharani hata kama kuna ugomvi au mapungufu kiasi gani.

Lissu kwa hichi alichofanya kachemsha na hata akishinda atapasua chama..Huwezi kuwa commander in chief unapata taarifa zote kuhusu watu, mapungufu etc..then uwe na kifua chepesi ah fridge lako haligandishi - Kwanza utasumbua watu pili utakufa kwa presha na kihoro.
 
Yani sasa hivi chadema na wanachadema ni Mali ya mbowe 😂😂
 
Niliambiwa Abdul ni "mfanyabiashara mkubwa" kwa umri huu mimi Abdul nimeanza kumsikia mama yake alipokuwa rais kabla sikuwahi kumjua kabla.

Leo hii Abdul ni bilionea anagawa mapesa kwa kina Wenje.

Maswali ya Lissu yana logic

Kuna biashara gani anafanya isiyotambulika?

Ofisi za biashara za Abdul ziko wapi?

Tukitafuta nyaraka za kikodi halali kwa maslahi ya umma tunaweza kuzipata na kuonyeshwa?

Msije kutoka tu huko kusema huyu ni bilionea kumbe ni pesa za wananchi zinakuwa misappropriated halafu zinanufaisha mafisadi mnaowaita wafanyabiashara wakubwa.

Mimi nasimama na Lissu sababu naamini katika integrity kwenye uongozi ni nguzo namba 1.
 
Ngurumo
njoo nchini umpambanie Mbowe basi

Sisi tunaenda na Lisu. Na usimfananishe Lisu na Mrema
 
Hili la kumwita bosi wake muongo... Sio kabisa!. Huku ni kumtukana Mwenyekiti, kuna lugha za kutumia mfano kusema Mbowe hayuko sahihi sio kumuita muongo!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…