- Thread starter
- #121
utakavyopenda kuita maana hakuna nilipoandika hivyoKwa hiyo chadema ni MALI ya mbowe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utakavyopenda kuita maana hakuna nilipoandika hivyoKwa hiyo chadema ni MALI ya mbowe?
whatever meaning......Do not attend mdahalo
To me mwenendo wa Lissu
😂😂 bado haujasema!!!!
Kwani mbowe ndiye anaaamua chama amuachie nani au wanachama ndio watachagua nani wanamtaka siku ya uchaguzi? Mbona hii kauli yako inataka kuchorea mstari madai ya kwamba chana ni cha mtu na sio wanachama? Au umekosea.FOREMOST:
1.DO NOT ATTEND MDAHALO NA MPUUZI HUYU, WAKATI UMEFIKA WA KUNYAMAZA NA KUCHUKUA HATUA
2. Lisu amekosa nidhamu. Komaa na chama chako/chetu na asilani usimwachie chama.
3. Ni mtovu wa nidhamu kwa kiasi kikubwa, mwongo, kigeugeu, haamiiki, mla rushwa...... sikiliza attached clip
4. Afadhali kifie mikononi mwako maana kilitokana na mikono na juhudi zako na wanachi wegi wenye
nidhamu!
5. HATUKUMJUA UHALISIA/UNDANI WAKE.....KAMA HUKO NYUMA AMBAVYO HATUKUMJUA LYATONGA MREMA........akaiua NCCR MAGEUZI na kanzisha TLP ambayo nayo ilikufa./..........sikiliza clip niliyoiweka hapa
To me kwa mwenendo wa Lisu acha kife! Hakuna kidumucho duniani....na huu ndio mwisho wa chdema kuliko kumpa mpuuzi huyu!
View attachment 3194596
Mkuu umevurugika hadi raha, hebu relax drama za politician zisikusumbue hivi......au we ni mbowe?!whatever meaning......
Kwani nyinyi maccm mna siri ipi na Mbowe?FOREMOST:
1.DO NOT ATTEND MDAHALO NA MPUUZI HUYU, WAKATI UMEFIKA WA KUNYAMAZA NA KUCHUKUA HATUA
2. Lisu amekosa nidhamu. Komaa na chama chako/chetu na asilani usimwachie chama.
3. Ni mtovu wa nidhamu kwa kiasi kikubwa, mwongo, kigeugeu, haamiiki, mla rushwa...... sikiliza attached clip
4. Afadhali kifie mikononi mwako maana kilitokana na mikono na juhudi zako na wanachi wegi wenye
nidhamu!
5. HATUKUMJUA UHALISIA/UNDANI WAKE.....KAMA HUKO NYUMA AMBAVYO HATUKUMJUA LYATONGA MREMA........akaiua NCCR MAGEUZI na kanzisha TLP ambayo nayo ilikufa./..........sikiliza clip niliyoiweka hapa
To me kwa mwenendo wa Lisu acha kife! Hakuna kidumucho duniani....na huu ndio mwisho wa chdema kuliko kumpa mpuuzi huyu!
View attachment 3194596
Mkuu uwezo wako wa kuchambua mambo umeshuka ghafla sana!FOREMOST:

Lissu kugombea uenyekiti wa Chadema ndio utovu wa nidhamu.FOREMOST:

Chama hakijatoka mikononi mwa MBOWE. Tuwe wakweli.Afadhali kifie mikononi mwako maana kilitokana na mikono na juhudi zako
Lissu alikua kakaa sehemu nzuri ya kushinda au siku moja kuongoza CDM au hata TAIFA.Lkn kwa jinsi wapambe walivyomuingiza mkenge hawezi ataleta mpasuko.Retired naomba ushahidi wa Lissu kula rushwa pamoja kuwa muongo.
Kila anayegombea uenyekiti wa kikoba, anaonekana adui, kwa hiyo nyie demokrasia mnayoihubiri iko wapi ?.
Chacha Wangwe alipigwa KO
Zitto Kabwe alifukuzwa kama mbwa mwizi akiwa na akina Prof Mkumbo.
Lissu kaundiwa zengwe ila bado amebaki kuwa kisiki cha mpingo, hivyo msipotumia mbinu zenu za CCM tar 21 January, kikoba kitaokolewa toka mikononi mwa wanyanganyi.
NgurumoFOREMOST:
1.DO NOT ATTEND MDAHALO NA MPUUZI HUYU, WAKATI UMEFIKA WA KUNYAMAZA NA KUCHUKUA HATUA
2. Lisu amekosa nidhamu. Komaa na chama chako/chetu na asilani usimwachie chama.
3. Ni mtovu wa nidhamu kwa kiasi kikubwa, mwongo, kigeugeu, haamiiki, mla rushwa...... sikiliza attached clip
4. Afadhali kifie mikononi mwako maana kilitokana na mikono na juhudi zako na wanachi wegi wenye
nidhamu!
5. HATUKUMJUA UHALISIA/UNDANI WAKE.....KAMA HUKO NYUMA AMBAVYO HATUKUMJUA LYATONGA MREMA........akaiua NCCR MAGEUZI na kanzisha TLP ambayo nayo ilikufa./..........sikiliza clip niliyoiweka hapa
To me kwa mwenendo wa Lisu acha kife! Hakuna kidumucho duniani....na huu ndio mwisho wa chdema kuliko kumpa mpuuzi huyu!
View attachment 3194596
Hili la kumwita bosi wake muongo... Sio kabisa!. Huku ni kumtukana Mwenyekiti, kuna lugha za kutumia mfano kusema Mbowe hayuko sahihi sio kumuita muongo!.Sikiliza Mkuu, Duniani kote bila kujali Jinsia, Races ,Kabila ,Rangi, watu wote wenye akili ikiwemo na Mimi, Huwa hatupendi kuonewa Wala kuona MTU anaonewa , Wala kuona mipango yoyote Ovu , Kila kitu chetu Huwa tunapenda kifanyika Kwa Haki na uwazi yaan Nyeupe iwe Nyeupe ,Nyeusi iwe Nyeusi.
Unapotaka kuniumiza, hakikisha wewe ni Msafi kwelikweli, ila kama ni Mchafu , utachafuka mpaka malaika wa Mbinguni waanze Kufurahia.
Wakati Mbowe anamjibu LISSU na kutangaza kugombea, Pascal Mayalla aliandika Uzi, Akimuonya TUNDU LISSU asimjibu Mbowe , nikajiuliza, inamaana Mkuu Mayalla Kwa miaka yote ya kumjua LISSU ,hajafaham LISSU ni mwanadam anayeishi Kwa Kuheshimu Principles za kichwani kwake?.
Yaan LISSU aache Uongo juu yake uwe mkubwa uaminike wamuone lopolopo?
Kwann Mbowe aunganye Umma kuhusu kugombea?? Je sio haki ya LISSU kutumia kujibu mashambulizi??.
Acheni ukweli ubaki kua ukweli.