Mbowe usimwachie Lissu chama kwa utovu huu wa nidhamu, afadhali kifie mikononi mwako maana kilitokana na mikono yako na wananchi wenye nidhamu

Kwa hili..NIMEANINI CHADEMA KILIKUWA CHAMA CHA WACHAGA ila kwa sasa IMEKULA KWAO wajiandae kuwa wafagiaji na makatibu muktasi tu,huku juu hawapawezi tena.
 
Wapiga kura ndiyo watakaoamua kwenye Sanduku la Kura siyo Mbowe!
 
Hili la kumwita bosi wake muongo... Sio kabisa!. Huku ni kumtukana Mwenyekiti, kuna lugha za kutumia mfano kusema Mbowe hayuko sahihi sio kumuita muongo!.
P
Kaka katika kufikisha Hisia , wanadamu tumetofautiana.

Koleo ni Koleo, na kijiko ni kijiko.

Yaan ni sawa na kua FISADI , mwingine atakuita FISADI wewe ..Mwingine atasema, Jamaa anakula Pesa ya Umma.

Swali..Je ni sahihi Kwa Akina Ntobi , Wenje kumuita Kiongozi wao LISSU kua Muongo????
 
whatever meaning......
Nashukuru kwa kujua kuwa uwezo wa Mbowe ni mdogo, hivyo unamshauri asishiriki mdahalo maana ataingia aibu ya karne. Tunaposema wakati ukuta hii ndio maana yake.

Ni hivi, kama una miradi iliyokuwa haijakamilika na ulitegemea itakamilika kwa Mbowe kuendelea na uenyekiti, basi jiandae kisaikolojia.
 
Hili la kumwita bosi wake muongo... Sio kabisa!. Huku ni kumtukana Mwenyekiti, kuna lugha za kutumia mfano kusema Mbowe hayuko sahihi sio kumuita muongo!.
P
Hizo lugha za kuficha ficha ndio zimekifikisha ccm kuwa chama kinachoongozwa kwa nidhamu za woga na unafiki. Kama neno muongo sio neno sahihi, liko kwenye kamusi ya kiswahili ili litumike wapi na kwa nani?
 
Pumba tupu
 

Watakaoamua huu mpambano ni wanachadema na sio mbowe, kwa sasa mbowe na lissu wote ni wagombea, Chama Cha siasa kikishasajiliwa ni Mali ya umma, mbowe atoe sera zake, ashawishi wajumbe, ndo demokrasia
 
...hahaha safari hii tutajua chadema ni chama Cha kitaifa au kikoba? Lissu Yuko smart Sana, mbowe kwa sasa abaki mjumbe wa kamati kuu
 
JF hatujuani, you can only assess somebody's analytical ability from his/her postings on this forum! And I have "known" you for a while and built an image that your analytical powers are high! !

Tindo, I thought you were different from most JF members! I am very much disappointed!

Have a nice day!
 
Watakaoamua huu mpambano ni wanachadema na sio mbowe, kwa sasa mbowe na lissu wote ni wagombea, Chama Cha siasa kikishasajiliwa ni Mali ya umma, mbowe atoe sera zake, ashawishi wajumbe, ndo demokrasia
Makes a lot of sense but remember Samia is dishing public funds as hers! Am I right?
 
Amini usiamini aliyosababisha mpasuko huu ni mbowe mwenyewe sio lissu, mbowe alichokifanya ni ubinafsi wa Hali ya juu, mpaka wameitwa na viongozi wa dini kupatanishwa mbowe anamzuia mwenzie kuchukua fomu au kutia Nia huku yeye alisema hajaamua, mbowe hata angekaa pembeni hakuna ambacho angekosa, angeendelea kubaki mjumbe wa kudumu kamati kuu, huu uchaguzi bila lissu kushinda mbowe anakwenda kukiua chama chake kwa mikono yake mwenyewe
 
Mkuu umevurugika hadi raha, hebu relax drama za politician zisikusumbue hivi......au we ni mbowe?!
Atakuwa Mbowe huyu, mtu mwenye akili timamu hawezi kutoa post ya kijinga kama hii zaidi ya Mbowe baada ya kuona upepo umebadilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…