Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Neno muongo ni neno sahihi ila lina bad connotation, kumuita mtu muongo inaonekana ni habitual layer, ukisema hakuwa sahihi unamaanisha ni mkweli ila hapo ndio amekosea.Hizo lugha za kuficha ficha ndio zimekifikisha ccm kuwa chama kinachoongozwa kwa nidhamu za woga na unafiki. Kama neno muongo sio neno sahihi, liko kwenye kamusi ya kiswahili ili litumike wapi na kwa nani?
Ni kama demu wako kuchepuka mara moja tuu, huwezi kumwita malaya, utamuita amekosa auaminifu, kumwita malaya maana yake ni tabia na kjiuza!.
P