Sasa ndugu yangu Ile barabara ingepanuliwaje? You guys are so selfish, kwamba watanzania ni Bora tuwe na barabara ya sentimita mbili ili kuwanufaisha nyie?
Yaani hadi wabunge viti maalumu wakienda mikoani cha kwanza ni kuangalia pana wa kilimanjaro mkoa huu? Akiwepo wanasema mpeni ubunge viti maalumu huyo ni mwenzetuMachadema na wachaga walifikiri wataendelea kutawala kila sekta kama ilivyokuwa zaman>!
Zama zimebadirika sasa yenyewe bado yanafikira za miaka ya 70 huko
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Hivi wewe Babako akivunjiwa Kitega uchumi chake kwa hila, akapigwa na kuvunjwa yeye mwenyewe kwa hila, wakaharibu shamba lenu na kung'oa mazao kwa hila, wakakamata na kuua watoto wenu kwa hila we utasemaje ? wewe utaongea kauli gani ?Hii kauli ya Kiongozi huyu amekuwa akiirudia rudia sana naona kama haina afya kwa taifa!
Inabidi asamehe asonge mbele maisha ndo yalivyo! Yeye anaona utawala wa Magufuli uliwatesa lakini kuna watu hawaoni hivo!
Inabidi aondokane na hizi chembechembe za ubaguzi yeye kwanza!
Unalalamika huku ukifanya yale yale unayoyalalamikia! Ungeweza kuwasilisha hoja yako bila 'kumnyanyapaa' Mbowe. Hakuna mtu (labda anayejitoa akili) asiyejua kuwa Magufuli alikuwa na roho mbaya sana dhidi ya watu wa Kilimanjaro na Arusha. Hilo lilitokana na sababu mbili kubwa miongoni mwa nyingine. Kwanza, ni asili ya watu wengi wa maeneo hayo kuunga mkono upinzani wakati yeye dhamira yake ilikuwa ni kufuta kabisa upinzani kama alivyojiapiza hadharani; na pili, aliwachukia watu wa maeneo hayo kutokana na uchakarikaji wao wa kutafuta fedha. Magufuli aliamini wachakarikaji ni wezi tu, na ukumbuke yeye alikuwa aina ya watu wanaopenda wapate wao tu!Makengeza kahamia kwenye ukanda na ukabila, Peter Zakaria aliyepigwa risasi Tarime alikuwa wa kilimanjaro au Arusha? Hili chama Cha wachaga shida sana
Mbona Nyerere anasemwa japo hayupo?...kuweka kumbukumbu za marais wetu si ujinga ila ni kujifunza kupitia mazuri na makosa yao.Ujinga uliopitiliza, Hayupo, ukatili wake unakusumbuaje? Nenda kalipie Tozo, baada ya hapo kumbuka cement imepanda 25k toka 17k
Nakuongezea hapo, John Heche alivyosumbuliwa alikuwa wa Kilimanjaro ? Au Zitto ? Au Mathayo ? Aache ufalaMakengeza kahamia kwenye ukanda na ukabila, Peter Zakaria aliyepigwa risasi Tarime alikuwa wa kilimanjaro au Arusha? Hili chama Cha wachaga shida sana
NimesahauElezea
Hivi kuwa kwenye jeshi la Marekani ndo kusambaa. Unadhani huyo mchaga pekee ndo yuko jeshini huko Marekani? Fikra hizi ni finyu. Kwa taarifa yako kuna watanzania wengi tu kutoka makabila tofauti wapo katika vyombo vya usalama vya Marekani na nchi tofauti, ila hawapendi shobo.Hapo umeoneshwa tu jinsi wachaga walivyosambaa ulimwenguni, hajasema yupi ana nafasi nzuri zaidi ya mwingine, mmetawaliwa na wivu na chuki ya kishamba sana.
Hata wahindi wana hii tabia. Na sisi makabila mengine tufanye sio kulalamika. Mtu katoka uchagani, kaja usukumani kafungua ukumbi, wageni toka uchagani wamekuja wanataka ukumbi unategemea wasimkumbuke mtoto wao wa uchagani?Yani wakija MWANZA lazima watafute ukumbi wa mchaga mwenzao wapumbavu sana!
..Na Magufuli chuki aliitoa wapi?
..Magufuli hakuwa kufungwa kwa dhuluma.
..Magufuli hakuharibiwa biashara na mali zake.
..Magufuli hakuwahi kuvunjwa mguu.
..Kwanini alikuwa na chuki na mbaguzi kiasi kile?
Tunataka Mbowe na CHADEMA watuambie watanzania watalifanyia nini taifa hili endapo watapata madaraka ya kuongoza nchi. Haya mengine ni utumbo kama utumbo!
Hao ikulu hawawezi kupata labda watengeneze nchi yao wakajitawale kwa raha.Kwa hiyo mnapambania mpate ikulu mlipize kisasi!
Mwacheni aseme aliyoyapitia, iwe funzo kwa wengine pia, kwanini munampangia ya kusimulia?Utawala uliwatesaje?
Kwamba Magufuli alikua anaua, anafunga na kuwapoteza watu wa Arusha na Kilimanjaro?
Kitu mbowe hana hua ni reasoning. Mbowe hutanguliza hisia kuliko uhalisia. Mbowe kuropoka lolote linalokuja kichwani mwake ni kawaida.
Magufuli aliwatesaje watu wa Kilimanjaro na Arusha?
Hii ni mara ya pili Mbowe anaendelea kusambaza chuki ya ukabila kwa wachaga wenzake.
Hata kama kweli(ingawa sio kweli) Magufuli alifanya hivyo, Magufuli alishakufa mwaka mmoja uliopita, yeye sasa ajikite kwenye kujenga chama, Magufuli hayupo tena.
Sasa yeye kila akisimama tu kwa wachaga wenzake anamzungumzia Magufuli, Magufuli, Magufuli.
Magufuli angekua anawatesa na kuwachukia watu wa Kilimanjaro na Arusha angempa mkuu wa Usalama wake kutoka Kilimanjaro?
Vyama vingine ni vya kitapeli tu.
Wewe ulitaka ujibiwe nini kwenye upumbavu wako.Nilijua tu wewe ni mtu wa sampuli gani kwa thinking capacity uliyonayo, na hii comment yako imenithibitishia hauna kitu kichwani ni kelele tu.
Weka hapa chanzoKaangalie