Mbowe: Utawala wa Magufuli uliwatesa sana watu wa Kilimanjaro na Arusha!

Siyo Kilimanjaro na Arusha tu,uliza mkoa wa mbeya na walimzomea wakati wa kampeni,basi tu.
Hata Bukoba walimzomea kwa sababu za kauli na michango ya janga la tetemeko lakini hatusikii Wanyakyusa na Wahaya wakilialia kama kaskazini. Inabidi waelewe kwamba nchi nzima ina watanzania bila kujali ukanda la sivyo Mbowe anaenda kupunguza wafuasi kwa kuendekeza U-kaskazini.
 
Ndo shida hiyo maana yake wasukuma waliwatesa wachaga.

Huu ni ukabila kugombanisha watu.

Ndo maana kama Mbowe akigombea urais hakuna haja ya kampeni CCM itashinda mapema.

Ajifunze siasa.

Mimi sio msukuma na ni CDM Tundu ndo chaguo la watz.

#LISULUHU
 
Magufuli alisaidia sana kuwaelewesha watu wa Arusha na Kilimanjaro kuwa ukabila ns ukanda walioujenga Miaka nenda rudi haufai.
Hilo somo naona Limewaingia barabara .Kwa hili Magufuli huko uliko hoyee
 
Ni ukweli wala hajakosea, mwendazake alitamka wazi kabisa.
Tena akaenda mbali zaidi na kuwavunjia nyumba zao kimare na mbezi huku akisema kule kisesa wasivunjiwe(wasukuma wenzake)

Yule jamaa alikuwa na roho kama koboko,
Anachomeka tu huko aliko
 
Hapa namzungumzia Mbowe kutaka kuaminisha watu kuwa Magufuli alitesa watu wa huko! Huo ni ujinga wa hali ya juu!
 
Uko sahihi watanzania inabidi tuambiane ukweli wachaga waliendekeza sana ukabila na ukanda ndio maana Mungu alimleta Magufu asaidie kuupiga stop kwa manufaa ya nchi
 
Mkuu wachaga hawategemei hisani, wanajituma na wapata mafanikio,
Yule mwehu alikua anachukua hela zao huko mabenki, na operation zote kuanzia uvunjaji nyumba hadi maduka ya fedha na hata benk kama Akiba commecial walinyanganywa fedha nk
 
Tutajie kabila gani wanategemea hisana na kabila gani hawana mafanikio? Acha kurukia mambo Mbowe lazima aambiwe ukweli! Hatendi haki kukazania jambo hilo mda wote!
 
Mbowe anatumia tactic ya kikoloni (enzi na enzi) ya "divide and rule", ndipo upeo wake wa kufikiri ulipoishia.
 
Mkuu wachaga hawategemei hisani, wanajituma na wapata mafanikio,
Kujituma wapi vyeti Feki walioachishwa kazi serikalini na taasisi zake asilimia kubwa wachaga kapitie list asilimia kubwa wachaga.Mtumia cheti feki ana uwezo gani?

Kwenye ajira na tenda hisani ndizo zilitawala
 
Mkuu wachaga hawategemei hisani, wanajituma na wapata mafanikio,
Yule mwehu alikua anachukua hela zao huko mabenki, na operation zote kuanzia uvunjaji nyumba hadi maduka ya fedha na hata benk kama Akiba commecial walinyanganywa fedha nk

Wanaweza kurudishiwa sasa hivi kama waliporwa kwani kila kitu kilichofanywa na Magu kimeshapinduliwa.
 
Kama kayatamka hayo ukaenda utamwangusha. Kushindwa ubunge ni kuteswa!!
 
Si kweli Mbowe na watu wake wa huko Arusha na kilimanjaro ndio waasisi wa ukabila na ukanda
Kumbuka wakati jpm ananadi sera zake msukuma alipanda jukwaani na kuongea kisuma kwama "tumpe kura mtu wa kwetu msuma mwenzetu na akawatisha na wangine kuwa watashughulikiwa kwa vikao maalumu watakaosaliti mwana wa kwao
 
Mjinga sana mbowe anatuletea ukabila hapa
 
Wewe sio Mbowe au sio ndugu, Sasa sijui unawashwa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…