Mbowe: Utawala wa Magufuli uliwatesa sana watu wa Kilimanjaro na Arusha!

Mbowe: Utawala wa Magufuli uliwatesa sana watu wa Kilimanjaro na Arusha!

Kaangalie chuki ilianza wapi ,🤣🤣🤣magufuli alicheza na akili tu kumbe hamjui mlipigwa wapi na kitu kizito
Nimekuambia uweke chanzo naona umeanzisha mjadala mpya.....huna jipya wewe
 
Nimekuambia uweke chanzo naona umeanzisha mjadala mpya.....huna jipya wewe
Wewe jipya liko wapi ishi hukufuatilia wahanga walikuwa wakina nan 🤣🤣🤣🤣 kamuulize kimei au nenda hazina
 
Ukabila unakutesa
Mi sio mkabila kama wewe nimekaa moshi unaelewa pia ni nina undugu nao ila ni wabaguzi nyie

Nawashauri punguzeni izi mambo maaan mikoani mnaishi sana kuliko kwenu yaani mpo kila kona na wala hambaguliwi kuweni makini sana

Nakupa mfano Chadema halitoweza kuingia madarakani mpaka kiama kutokana ni wabaguzi na hamna demokrasia angalia2 mbowe anaongoza milele kisa ni mchaga
 
Hii kauli ya Kiongozi huyu amekuwa akiirudia rudia sana naona kama haina afya kwa taifa!
Inabidi asamehe asonge mbele maisha ndo yalivyo! Yeye anaona utawala wa Magufuli uliwatesa lakini kuna watu hawaoni hivo!
Inabidi aondokane na hizi chembechembe za ubaguzi yeye kwanza!
Ndio maana baadhi wanamlaumu samia kumchomoa kwenda jela kwa ugaidi. Deeply anaona wananchi ni wale mabwanyenye wanyonyaji wa wanyonge. Tena ni mtu mwenye kutumika kugawa taifa. Eti wananchi wa arusha na kilimanjaro waliteseka wakati wafanya magendo na biashara za kudhulumu umma wengi ndio wanatoka kilimanjaro na arusha. Hao ndio magufuli alishughulika nao kisawaswa na ndio waliyomchukia sana.
Mbowe asibabaishe taifa. Atambue kisheria dpp anaweza kumkamata tena akaendelee kujitetea kwenye kesi yake ya ugaidi. Yeye sio chochote nchi hii aache udomokaya.
 
ANALETA MATABAKA YA UKANDA NA MIKOA as If nchi hii ina mikoa miwili tu. Moja ya changamoto kubwa ya CHADEMA ni ukanda kutokana na kauli za viongozi wa juu wa chama kama hizi. Kwa hali hii CHADEMA isitegemee kuaminiwa na watanzania kushika dola. Watanzania tunataka chama ambacho kitawaunganisha watanzania ktk mikoa yote

kwa kauli hizi za Mbowe anaendelea kututhibitishia kuwa chama pekee ambacho kina sifa ya kuwaunganisha watanzania ni CCM.
 
Hii kauli ya Kiongozi huyu amekuwa akiirudia rudia sana naona kama haina afya kwa taifa!
Inabidi asamehe asonge mbele maisha ndo yalivyo! Ye

Dah... Nashangaa akili sana zenu....JPM is dead.....hayupo....na hata gombea uraisi....Sasa mbona mnapoteza muda kupambana na marehemu? Badala ya kutumia muda huu kupanga mikakati ya kuing'oa ccm madarakani? Au siyo lengo Sasa hivi kwasababu mmekaa karibu na bakuli la supu? Au ndiyo "shukrani" ? Kwa Mila za kiafrika kumsema vibaya marehemu Ni kujitafutia nuksi katika maisha.....na hizi "shukrani" zitamtokea mtu puani...kiasili tu...kikubwa pumzi🤭

Iddy Amini na Hitler sio marehemu, wanasemwa vizuri kwakuwa ni marehemu? Hapa tunasema ukweli, hiyo vizuri mseme ww. Hatuwezi kuacha kusema ukweli ambao ni lazima, tujikite kwenye kwenye hisani ya kusemwa vizuri.
 
Hii kauli ya Kiongozi huyu amekuwa akiirudia rudia sana naona kama haina afya kwa taifa!
Inabidi asamehe asonge mbele maisha ndo yalivyo! Yeye anaona utawala wa Magufuli uliwatesa lakini kuna watu hawaoni hivo!
Inabidi aondokane na hizi chembechembe za ubaguzi yeye kwanza!
Huyu hajitambui kabisa aliyemweka ndan Julai 2021i ni JPM au SSH?

Wananchi wengi wa Kilimanjaro wanakiri kunyooshwa kwa faida ambayo mwanzoni walikuwa hawaijui kwamba kila mtu Tanzania alikuwa na haki sawa na wengine kiuchumi, kielimu na kisiasa sio wao pekee kujiweka kwenye daraja la juu pasipo uhalali wowote. Wanajuta kumpoteza maana kumbe malengo yake yalikuwa mema lakini yeye kila siku maruweruwe ya kivuli cha mtu ambaye hayupo na hawezi kujitokeza kujitetea.

Huko Hai ni wenye nguvu tu za kiuchumi ndio wenye uwezo wa kumiliki ardhi kubwa kwa shughuli za kibinadamu, maeneo yamezunguzishiwa uzio au kuwekewa nguzo hivyo masikini wanabaki kukimbizana na biashara ndogo ndogo tu bila tija yoyote leo analaumu mtu aliyemheshimu. Siasa hazina hati miliki ya mtu, ukoo au kabila fulani kwamba ndio wenye uwezo wa kuongea au kuongoza. Badala ya kumkabili huyu aliyepo anadhani kumshutumu JPM itampa ahueni, watu kadhaa wanaathiriwa na kauli yake hivyo ataendelea kulalamika na kushutumu kivuli kisicho na kosa lolote ila amtazame aliye hai na madaraka kwa ushawishi sio vita vya maneno matupu.

2022-2024 hataamini jahazi litakavyo badilika yeye na wengine anaodhani wamemsaidia kutoka gerezani watajua Mungu sio siasa, sio chuki, sio visasi, sio ulaghai, sio demokrasia nk
 
Mwenyeji wa Dar wanakula sana vichwa vya kuku,utumbo wa kuku na miguu kuku

Chadema walipofanya kampeni wakasema Dar maskini shauri ya CCM imewafanya mnaishi kwa kula miguu ya kuku,utumbo wa kuku na vichwa vya kuku.Wananchi wakawazomea kuwa hicho ni chakula chetu kama nyie wachaga mnavyokula ndizi Sisi mbona hatuwasemi?.Dar walipigwa chini hadi basi walipotukana wapiga kura halafu utasikia ohhh tuliibiwa kura

Nani anasema tuliibiwa kura? Tunasema Magufuli alinajisi uchaguzi na hayo tuliona kwa macho yetu. Unatuokoteza vijimaneno vya jukwaani na kujifichia humo, ukidhani utauficha ukweli wa kilichotokea kwenye uchaguzi ule?
 
Nani anasema tuliibiwa kura? Tunasema Magufuli alinajisi uchaguzi na hayo tuliona kwa macho yetu. Unatuokoteza vijimaneno vya jukwaani na kujifichia humo, ukidhani utauficha ukweli wa kilichotokea kwenye uchaguzi ule?
Kamuulize Godbless Lema alihutunia mini kinondoni kuhusu kula miguu ya kuku,vichwa na utumbo wa kuku?
 
Masharti hayo kwamba lazima amtukane na kumponda Magu lkn swali ni kwamba after all said and done chadema na Wachaga watapata nini kutoka kwa hii Serikali ya Samia? Mnafikiri Samia atawakabidhi power ? Sana sana mnatumiwa kama kiatu ili utawala wake uende smooth msimsumbue baada ya hapo hatowajua na hakuna kitu mtamfanya, kiatu kinatumiwa kikichakaa kinatupwa hakuna anayekumbuka kwamba kilimsaidia asichomwe na jua au miba, na ndivyo chadema na Wachaga watakachofanyiwa kama kiatu …
Wachaga hawana ujinga wa vile, ndio maana huku hata mbunge akileta mambo yasiyoeleweka hatoboi zaidi ya term moja.
 
Hakuna cha kuteleza, alichokisema kilikuwa rohoni mwake na chuki hiyo aliendelea nayo muda

Rais wa nchi hapaswi kutoa maneno ya kuchochea chuki na ubaguzi , Magufuli alifanya kwasababu aliamini katika ubaguzi. Kiongozi wa nchi hawatambui Raia kwa ukanda, chuki ilimuongoza

Barua ya kujenga kiwanja cha Chato ilitamka wazi mkandarasi lazima we mtu wa kanda ya Ziwa

Rekodi ya Magufuli katika ubaguzi ni mbaya sana!

JokaKuu
Wabaguzi ni nyinyi mlioanzisha sukuma gang, na mangi wenu mkuu ndio amefanya mtaji wa siasa.
Umeshasukia mbeya wanyakyusa wanalaamika kwamba kawabagua, au wangoni songea, au hapo singida? Ukabila mnaupandikiza nyinyi,
 
Kamuulize Godbless Lema alihutunia mini kinondoni kuhusu kula miguu ya kuku,vichwa na utumbo wa kuku?

Unadhani unaoongea na mtoto mdogo boss, Lema anaweza kurudi na kurudia kauli hiyo hiyo leo hii kukiwa na uchaguzi, na uchaguzi ukiwa huru bado mgombea wa cdm atazoa kura kibao. Unadhani watu wana akili ndogo hivyo hawajui mantiki ya neno likisemwa?
 
Wale ni matapeli walitapeliana wakataka Magufuli awalipe tena! Waende mahakamani kama wanayo haki mama Samia si yupo! Ila kwa vile hawana haki hutona mtu anapeleka miguu yake ya supoku mahakamani!
Hawawezi kwenda, wataharibu mtaji wao wa siasa, ( utawala uliopita ) pamoja na maccm malafi
 
Hii kauli ya Kiongozi huyu amekuwa akiirudia rudia sana naona kama haina afya kwa taifa!
Inabidi asamehe asonge mbele maisha ndo yalivyo! Yeye anaona utawala wa Magufuli uliwatesa lakini kuna watu hawaoni hivo!
Inabidi aondokane na hizi chembechembe za ubaguzi yeye kwanza!
Hili ni kweli, saa nyingine ni vizuri ukweli usemwe ili watu wajifunze kutokea hapo.
 
Hii topic imenifanya nijue uwezo wa Watanzania wa kufikiri. Yaani, kosa lake ni kusema watu wa eneo fulani walibaguliwa?
 
Back
Top Bottom