Kaangalie chuki ilianza wapi ,🤣🤣🤣magufuli alicheza na akili tu kumbe hamjui mlipigwa wapi na kitu kizitoWeka hapa chanzo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaangalie chuki ilianza wapi ,🤣🤣🤣magufuli alicheza na akili tu kumbe hamjui mlipigwa wapi na kitu kizitoWeka hapa chanzo
Nimekuambia uweke chanzo naona umeanzisha mjadala mpya.....huna jipya weweKaangalie chuki ilianza wapi ,🤣🤣🤣magufuli alicheza na akili tu kumbe hamjui mlipigwa wapi na kitu kizito
Wewe jipya liko wapi ishi hukufuatilia wahanga walikuwa wakina nan 🤣🤣🤣🤣 kamuulize kimei au nenda hazinaNimekuambia uweke chanzo naona umeanzisha mjadala mpya.....huna jipya wewe
Ukabila unakutesaWewe jipya liko wapi ishi hukufuatilia wahanga walikuwa wakina nan 🤣🤣🤣🤣 kamuulize kimei au nenda hazina
Alikuwa gheresha tena naibu kwenyewizara ya kilimo. Na kama angewekwa waziri Mkuu ama waziri wa fedha hapo tunge
Mi sio mkabila kama wewe nimekaa moshi unaelewa pia ni nina undugu nao ila ni wabaguzi nyieUkabila unakutesa
Ndio maana baadhi wanamlaumu samia kumchomoa kwenda jela kwa ugaidi. Deeply anaona wananchi ni wale mabwanyenye wanyonyaji wa wanyonge. Tena ni mtu mwenye kutumika kugawa taifa. Eti wananchi wa arusha na kilimanjaro waliteseka wakati wafanya magendo na biashara za kudhulumu umma wengi ndio wanatoka kilimanjaro na arusha. Hao ndio magufuli alishughulika nao kisawaswa na ndio waliyomchukia sana.Hii kauli ya Kiongozi huyu amekuwa akiirudia rudia sana naona kama haina afya kwa taifa!
Inabidi asamehe asonge mbele maisha ndo yalivyo! Yeye anaona utawala wa Magufuli uliwatesa lakini kuna watu hawaoni hivo!
Inabidi aondokane na hizi chembechembe za ubaguzi yeye kwanza!
Hii kauli ya Kiongozi huyu amekuwa akiirudia rudia sana naona kama haina afya kwa taifa!
Inabidi asamehe asonge mbele maisha ndo yalivyo! Ye
Dah... Nashangaa akili sana zenu....JPM is dead.....hayupo....na hata gombea uraisi....Sasa mbona mnapoteza muda kupambana na marehemu? Badala ya kutumia muda huu kupanga mikakati ya kuing'oa ccm madarakani? Au siyo lengo Sasa hivi kwasababu mmekaa karibu na bakuli la supu? Au ndiyo "shukrani" ? Kwa Mila za kiafrika kumsema vibaya marehemu Ni kujitafutia nuksi katika maisha.....na hizi "shukrani" zitamtokea mtu puani...kiasili tu...kikubwa pumzi🤭
Huyu hajitambui kabisa aliyemweka ndan Julai 2021i ni JPM au SSH?Hii kauli ya Kiongozi huyu amekuwa akiirudia rudia sana naona kama haina afya kwa taifa!
Inabidi asamehe asonge mbele maisha ndo yalivyo! Yeye anaona utawala wa Magufuli uliwatesa lakini kuna watu hawaoni hivo!
Inabidi aondokane na hizi chembechembe za ubaguzi yeye kwanza!
Mwenyeji wa Dar wanakula sana vichwa vya kuku,utumbo wa kuku na miguu kuku
Chadema walipofanya kampeni wakasema Dar maskini shauri ya CCM imewafanya mnaishi kwa kula miguu ya kuku,utumbo wa kuku na vichwa vya kuku.Wananchi wakawazomea kuwa hicho ni chakula chetu kama nyie wachaga mnavyokula ndizi Sisi mbona hatuwasemi?.Dar walipigwa chini hadi basi walipotukana wapiga kura halafu utasikia ohhh tuliibiwa kura
Kamuulize Godbless Lema alihutunia mini kinondoni kuhusu kula miguu ya kuku,vichwa na utumbo wa kuku?Nani anasema tuliibiwa kura? Tunasema Magufuli alinajisi uchaguzi na hayo tuliona kwa macho yetu. Unatuokoteza vijimaneno vya jukwaani na kujifichia humo, ukidhani utauficha ukweli wa kilichotokea kwenye uchaguzi ule?
Wachaga hawana ujinga wa vile, ndio maana huku hata mbunge akileta mambo yasiyoeleweka hatoboi zaidi ya term moja.Masharti hayo kwamba lazima amtukane na kumponda Magu lkn swali ni kwamba after all said and done chadema na Wachaga watapata nini kutoka kwa hii Serikali ya Samia? Mnafikiri Samia atawakabidhi power ? Sana sana mnatumiwa kama kiatu ili utawala wake uende smooth msimsumbue baada ya hapo hatowajua na hakuna kitu mtamfanya, kiatu kinatumiwa kikichakaa kinatupwa hakuna anayekumbuka kwamba kilimsaidia asichomwe na jua au miba, na ndivyo chadema na Wachaga watakachofanyiwa kama kiatu …
Wabaguzi ni nyinyi mlioanzisha sukuma gang, na mangi wenu mkuu ndio amefanya mtaji wa siasa.Hakuna cha kuteleza, alichokisema kilikuwa rohoni mwake na chuki hiyo aliendelea nayo muda
Rais wa nchi hapaswi kutoa maneno ya kuchochea chuki na ubaguzi , Magufuli alifanya kwasababu aliamini katika ubaguzi. Kiongozi wa nchi hawatambui Raia kwa ukanda, chuki ilimuongoza
Barua ya kujenga kiwanja cha Chato ilitamka wazi mkandarasi lazima we mtu wa kanda ya Ziwa
Rekodi ya Magufuli katika ubaguzi ni mbaya sana!
JokaKuu
Kamuulize Godbless Lema alihutunia mini kinondoni kuhusu kula miguu ya kuku,vichwa na utumbo wa kuku?
Hawawezi kwenda, wataharibu mtaji wao wa siasa, ( utawala uliopita ) pamoja na maccm malafiWale ni matapeli walitapeliana wakataka Magufuli awalipe tena! Waende mahakamani kama wanayo haki mama Samia si yupo! Ila kwa vile hawana haki hutona mtu anapeleka miguu yake ya supoku mahakamani!
Hili ni kweli, saa nyingine ni vizuri ukweli usemwe ili watu wajifunze kutokea hapo.Hii kauli ya Kiongozi huyu amekuwa akiirudia rudia sana naona kama haina afya kwa taifa!
Inabidi asamehe asonge mbele maisha ndo yalivyo! Yeye anaona utawala wa Magufuli uliwatesa lakini kuna watu hawaoni hivo!
Inabidi aondokane na hizi chembechembe za ubaguzi yeye kwanza!
dj alfel.Wewe unamuita DJ hata 1/10 ya akili na uwezo wake haunao