Mbowe: Utawala wa Magufuli uliwatesa sana watu wa Kilimanjaro na Arusha!

Mbowe: Utawala wa Magufuli uliwatesa sana watu wa Kilimanjaro na Arusha!

Kipindi akiwa hai alizuia watu wasimseme kwa mtutu.

Sasa acheni watu wayaseme yaliyomo mioyoni mwao.
 
Magufuli aliwatesa sana sana watu wa kaskazini, huo ndio ukweli. Na MaCCM yalishanilia na kusema awanyooshe hawa.
aliwatesaje? toeni mifano sio kusema general tu aliwatesa. Ebu elezen mlivyoteswa
 
Mengi na ndesamburo uliona wanamfanyia nani ukatili? Walimuua nan, walimpiga nani risasi, walivunja nyumba ya nani?, Walitupa maiti ya nan ufukweni? Walidhulumu akaunti za benk za nani? Walimteka nani?!!
Chadema mtaishia kusoma Misa makanisani tu, kwa chuki zenu kwa Magufuli mtaendelea kunyea debe.Bosi wenu kaanza Tena kushika nyeti za serikali anapewa muda tu
 
Acha chuki za kihuni weww, wakati babu wa babu yako akiwa analiwa na funza kule porin kijijin kwenu mchaga alikuwa katikati ya jiji la london akisaka pesa. Hakuna mchaga anayetafutaga upendeleo wa kifala, wale ni natural born fighters. Ni sekta ipi utawakosa hawa waisrael? Wachaga waliojiajiri hasa kwenye biashara za kati na za chini ndo wana mafanikio makubwa kuliko walio katika ajira. Mwisho utajasema hata wale mangi wanaolichemsha soko la vitunguu na nyanya pale kariakoo wamependelewa!!!! Mchaga ameanza kustaaribika kabla babu wa babu wa babu yako hajazaliwa. Sasa leo huyo msukuma wenu maguful anakuja kuleta chuki atawaeza wap?!!! Atakufa kwa kihoro chake huyo.
Haya jipeni ujinga mtaishia hivyo hivyo wachaga tunao sana mahouse girl na wafyatua matofali
 
Haya jipeni ujinga mtaishia hivyo hivyo wachaga tunao sana mahouse girl na wafyatua matofk

Haya jipeni ujinga mtaishia hivyo hivyo wachaga tunao sana mahouse girl na wafyatua matofali
Kaz kaaz, Aliyekuambia mchaga anachugua kaz nan? Wapo kuanzia benk kuu hadi kwenye kuzibua mitaro ya maji machafu tandale..afu wala hatulingi wala nini!! na chuki mbuz zenu mtabakia wez wez wakat jamaaa wanajituma ndan nje
 


Magufuli aliewachukia watu Arusha akawapelekea moja ya miradi mikubwa ya maji aliyofanya wa tsh 500 billion.
 


Akawapelekea na mradi mkubwa wa maji Same/Mwanga.

Ebu akaulize na miradi mingine yenye tija inayotumika na wananchi wakawaida maeneo hayo.

Upuuzi wa hawa watu is beyond me
 
Kikwete 2005 aliahidi huu mradi, 2010 akasema pesa zimepatikana. Huu ni mradi wa Kikwete!

JokaKuu
Mbona sasa akupeleka hizo hela kuweka ahadi ni jambo moja kukamilisha ni ishu nyingine.

Na mradi wa chuo cha mafunzo ya umeme Hai pia ulipelekwa na Kikwete.

Njia mbili za kwenda Airport, Maji Babati, Uboreshaji wa shule Kongwe ambapo Kilimanjaro inaongoza, reli iliyopunguza adha ya usafiri kipindi cha sikuu za Christmas na mwaka mpya.

Mengine anayajua mwenyewe yamefanya Hai tu, maana yeye mwenyewe Mbowe awezi taja miradi yote Kilimanjaro nzima chini ya Magufuli, let alone na Arusha.

Ni mropokaji tu chawa mpya wa maza.
 
Nahisi kama hana pa kuegemea that why anaona apandikize chuki kupitia mtu mfu although wenye akili wanaelewa mujarabu.
 
Mbona sasa akupeleka kuweka ahadi ni jambo moja commitment ni ishu nyingine.

Na mradi wa chuo cha mafunzo ya umeme Hai pia ulipelekwa na Kikwete.

Njia mbili kwenda Airport, Maji Babati, Uboreshaji wa shule Kongwe ambapo Kilimanjaro inaongoza, reli iliyopunguza adha ya usafiri kipindi cha sikuu za Christmas na mwaka mpya.

Mengine anayajua mwenyewe yamefanya Hai tu wacha Kilimanjaro nzima, let alone na Arusha.
Hao majuha achana nao..
Hawawezi kukuelewa kwa sababu toka Magufuli awe raisi
life kwao was never same again mirija ya undugu na wizi katika
sekta nyeti ilikatwa hata mimi nisingekuelewa.
 
kauli za zenye unasaba wa kikabila hazina afya kwa taifa, acheni hizo wadau
 
Back
Top Bottom