GBBali
JF-Expert Member
- Sep 2, 2013
- 1,931
- 537
Chuki zenu mtakufa nazo.View attachment 2156920hiki ndio kirefu Cha Chadema, Ile CHA maana yake CHAGA, mwisho wakarekebisha wakaweka maendeleo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuki zenu mtakufa nazo.View attachment 2156920hiki ndio kirefu Cha Chadema, Ile CHA maana yake CHAGA, mwisho wakarekebisha wakaweka maendeleo
aliwatesaje? toeni mifano sio kusema general tu aliwatesa. Ebu elezen mlivyoteswaMagufuli aliwatesa sana sana watu wa kaskazini, huo ndio ukweli. Na MaCCM yalishanilia na kusema awanyooshe hawa.
Usilolijua ni usiku wa gizaWalikuja kuona lakini kwa kuchelewa, ndo wakambanika walivofanya, walimzika mdogo kama kuku
Chadema mtaishia kusoma Misa makanisani tu, kwa chuki zenu kwa Magufuli mtaendelea kunyea debe.Bosi wenu kaanza Tena kushika nyeti za serikali anapewa muda tuMengi na ndesamburo uliona wanamfanyia nani ukatili? Walimuua nan, walimpiga nani risasi, walivunja nyumba ya nani?, Walitupa maiti ya nan ufukweni? Walidhulumu akaunti za benk za nani? Walimteka nani?!!
Haya jipeni ujinga mtaishia hivyo hivyo wachaga tunao sana mahouse girl na wafyatua matofaliAcha chuki za kihuni weww, wakati babu wa babu yako akiwa analiwa na funza kule porin kijijin kwenu mchaga alikuwa katikati ya jiji la london akisaka pesa. Hakuna mchaga anayetafutaga upendeleo wa kifala, wale ni natural born fighters. Ni sekta ipi utawakosa hawa waisrael? Wachaga waliojiajiri hasa kwenye biashara za kati na za chini ndo wana mafanikio makubwa kuliko walio katika ajira. Mwisho utajasema hata wale mangi wanaolichemsha soko la vitunguu na nyanya pale kariakoo wamependelewa!!!! Mchaga ameanza kustaaribika kabla babu wa babu wa babu yako hajazaliwa. Sasa leo huyo msukuma wenu maguful anakuja kuleta chuki atawaeza wap?!!! Atakufa kwa kihoro chake huyo.
Yapo chattleMajibu yalibaki ufipa.
Funza wanashekherekeaChadema mtaishia kusoma Misa makanisani tu, kwa chuki zenu kwa Magufuli mtaendelea kunyea debe.Bosi wenu kaanza Tena kushika nyeti za serikali anapewa muda tu
Haya jipeni ujinga mtaishia hivyo hivyo wachaga tunao sana mahouse girl na wafyatua matofk
Kaz kaaz, Aliyekuambia mchaga anachugua kaz nan? Wapo kuanzia benk kuu hadi kwenye kuzibua mitaro ya maji machafu tandale..afu wala hatulingi wala nini!! na chuki mbuz zenu mtabakia wez wez wakat jamaaa wanajituma ndan njeHaya jipeni ujinga mtaishia hivyo hivyo wachaga tunao sana mahouse girl na wafyatua matofali
Msukuma ni mtu yeyote ambaye mama yake au baba yake ni msukuma.Aaa wapi, alikuwa anajichomeka tu.
Mbona sasa akupeleka hizo hela kuweka ahadi ni jambo moja kukamilisha ni ishu nyingine.
Hao majuha achana nao..Mbona sasa akupeleka kuweka ahadi ni jambo moja commitment ni ishu nyingine.
Na mradi wa chuo cha mafunzo ya umeme Hai pia ulipelekwa na Kikwete.
Njia mbili kwenda Airport, Maji Babati, Uboreshaji wa shule Kongwe ambapo Kilimanjaro inaongoza, reli iliyopunguza adha ya usafiri kipindi cha sikuu za Christmas na mwaka mpya.
Mengine anayajua mwenyewe yamefanya Hai tu wacha Kilimanjaro nzima, let alone na Arusha.
Anatafta huruma kwa wachaga wenzieNahisi kama hana pa kuegemea that why anaona apamdikize chuki kupitia mtu mfu although wenye akili wanaelewa mujarabu.
Kwa hio hamtaki kusini wapate maendeleo km kaskazini sio?