Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe umekuwaje tena?View attachment 2250605
Kamanda Mbowe amekuwa na hulka tofauti sana tangu aanze safari za ikulu, anawapa makavu vijana wanaojifanya wana uchungu na chama chake. Je nini kimembadilisha? Ni muda ndio utasema.
Bavicha hamna wanachojua zaidi ya mitusiWao shughuli yao ni kutukana tu na leo tena kawapiga marufuku kuwatukana act na CCM
makaraiii?Mbowe kesha lamba asali...sasahivi anawapondea vijana wake.