johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Historia itamkumbuka Ole Sabaya kwa kumstaafisha Mbowe ubungeBwashe mbona hizi response zenu ni kama ya mtu mmoja isipokuwa IDs tofauti? Au mmekalishwa mahali mnaelekezwa cha kupost? Chawa wa Mwendazeke mnahangaika sana against SSH na Mbowe.
Legacy ndiyo hivyo tena, nayo imeshaingia kwenye futi sita.. mtajibeba mwaka Huu, nendeni mkamtoe Jambazi Sabaya gerezani achaneni na JF
Kama hujui maana ya harakati nyamaza.Mbowe sasa amekomaa. Anataka kufanya siasa na si uwanaharakati. Ukisoma mitandaoni vijana wa CHADEMA wengi ni wanafanya harakati badala ya siasa.
Si wavumilivu, wana mshambulia kila wanaye dhani yuko kinyume na mtazamo wao. Wanasusia fursa ambazo kama wangezitumia zingesaidia kutuvusha.
Hivi karibu nimejufunza kwamba, wanaharakati hawaitakii mema hii nchi. Hawapendi kuona siasa za kistaraabu. Wao wanapenda kuona kukiwa na mizozo na mitafuruku kila kukicha..nadhani ndo wanafaidika kwa namna moja ama nyingine. Wanaogopa kwamba mambo yakiwa vyema watakosa relevancy na hivyo matumbo yao kiwa hatarini.
Mbowe amepitia mengi, amejifunza mengi na amekomaa.
Sabaya bila yule shetani aliyekuwa juu yake ni mwepesi kama unyoya wa kuku.Historia itamkumbuka Ole Sabaya kwa kumstaafisha Mbowe ubunge
Labda nikukumbushe mama alibebwa kwa issue ya Uzanzibari tu. Top five iliyoingia kwenye kinyang'anyiro cha uraisi yote ilikuwa bara kasoro yytu. Magu,Asha, January,Benard katika hesabu za haraka na kuzingatia muungano unadhani makamu angekuwa nani hapo!!Hadi Kawa Rais alipambana na wengi tuu, kwenye nafasi ya VP aliwashisha wale favourite kapitia mlango wa uani hadi Kawa Rais..
Na 2025 atashinda vilevile..Mbowe na Chadema kubadili muelekeo kumhusu ni ushindi tosha.
Hiyo hiyo sifa ndio imefanyaje kuwa Rais,kwani mzanzibari alikuwa yeye tuu? Mbona Mwinyi alikuwepo kwa Nini hakubebwa? 😬😬😬😬Labda nikukumbushe mama alibebwa kwa issue ya Uzanzibari tu. Top five iliyoingia kwenye kinyang'anyiro cha uraisi yote ilikuwa bara kasoro yytu. Magu,Asha, January,Benard katika hesabu za haraka na kuzingatia muungano unadhani makamu angekuwa nani hapo!!