Mbowe: Waliokimbia CHADEMA watarudi, tutawasamehe dhambi zao

Toa kauli kuhusu wabunge 19. Acha mizunguko kama barabara ya kitonga
 
Ni kweli wasamehewe tu, maana wengi wao walitishwa tishwa na vyombo vya usalama na wengine kupewa hela kwa lazima !! mazingira yalikuwa ni mengi na magumu mno kwao kuyashinda kwa uwezo wa ki-binadamu !!
 
Mtapelekwa hivyo hivyo kwa sababu mna vichwa vya dagaa!

Mkuu soma post #109 uelewe zaidi ni vipi CHADEMA ni chama cha siasa kiongozi nchini.

Badala ya kuendeleza ubishi usio na tija na kujaza hoja muflis za kupoteza (diversions), tumia hekima kuu uliyo nayo kuwashauri wanachama na viongozi wa CCM waanze kusoma alama za nyakati. Kwamba muda si mrefu nyenzo ya dola haitafanya kazi tena; hivyo itabidi chama kijenge uwezo wa hoja na kusimama katika KWELI. Bado kitambo kidogo haitawezekana kujibu hoja kwa kuipiga rungu. Awamu ya 5 iwe somo tosha.

Acha akina Bia Yetu na nduguze wa misimu waendelee kudemka na porojo za JF.
 
'
"Tutawasanehe Dhambi zao"
Hivi kuhama chama ni dhambi? sio Demokrasia?
 
Kwanini huo unaouita ‘ujasiriaMALI’ unaouzungumzia uwe kwenye muktadha huu? Unataka uelewekeje nini zaidi ya ‘ujuha-likali’ ambao umetamalaki akili zako?!

🤣🤣🤣🤣🤣
Hivi sasa ni saa saba kamili..... Karibu ugali
 
Sawa warudi ni haki yao kikatiba, lakini wasipewe ridhaa ya kuongoza nafasi yoyote kwenye chama kwasababu walishaonesha wanaweka maslahi yao binafsi mbele zaidi ya chama, hawaaminiki tena, na huo msamaha ni vyema uwe public.
Kweli kabisa!
 
Kisheria huruhusiwi kumkataa yeyote atayetaka kujiunga na chama chochote akitakacho, mkikosea kwenye hilo chama kinaweza kufutiwa usajili.
A political party is an organization that have members who ought to have similar ideas and may promote specific ideological or policy goals.
 
pardon, remission, indulgence.
 
Kabisa mkuu.
 
Weka video ili ithibitike kama ni kweli.
 

Mbowe akumbuke kuwa kuna watu wapo kaburini na wengine ni vilema kutokana na madhila yaliyosababishwa na hao wasaliti/covid hivyo mbowe hapaswi kuchezea makalio ya wanachama
 
Kiufupi siasa nimeacha na kama nikifanya siasa ni kwa ajili ya tumbo langu na.si vinginevyo
 
Hakuna haja ya kuwasamehe. Kwasababu machungu tunayo yapata wananchi kwa kumchagua mtu halafu tamaa zake za tumbo. Anahama chama.
Inatuchosha sana wananchi
 
Mbowe akumbuke kuwa kuna watu wapo kaburini na wengine ni vilema kutokana na madhila yaliyosababishwa na hao wasaliti/covid hivyo mbowe hapaswi kuchezea makalio ya wanachama
Wewe ni nani wa kumpinga mwenyekiti wa milele?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…