Mbowe: We are surrendering our Sovereignty to Dubai

Ni jana nadhani nimeona kawateua washauri wake wengine. Nadhani kaona aliingizwa Chaka na washauri wake waliopita
 
Wazee wa siasa za matukio tena....

Hawana ajenda ya maana...wamekaa kama "fisi"....

Tukisema CHADEMA ni SACCOS tunamaanisha.....wako kwa ajili ya RUZUKU...wanachama wao wa kawaida hawalijui masikini ya mungu.....

Ushahidi ni hizi BILIONI 2....

Muulize yeyote aliyefanya kazi na Mbowe pale ufipa atakupa ushahidi wa "madudu " yake mengi......


UKIKAA KWENYE NYUMBA YA VIOO USIUTAKE UGOMVI WA MAWE

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo wewe ni mvivu usiyetaka kujishughulisha, unataka uwekewe kila kitu hapa, huo mkataba upo huku, utafute ukiuona uje kutu-prove wrong tunaosema mkataba ni mbovu.

Nakupa area of concentration; anza kutu-prove wrong kwenye kipengele cha muda wa mkataba, ukikuta mkataba una kikomo njoo hapa tuite waongo, sisi tunasema ni wa milele, utuoneshe na hicho kipengele kinacho tu prove wrong.

Lakini sio ujikalishe tu hapo kwa huu ujinga wako, utake kuletewa kila kitu, utazidi kunenepeana uwe zezeta kabisa.
 
Mimi sipo nje nipo Shelui, usilete ujinga hapa.
 
Kwa comment hii inaonyesha hujui chochote kuhusu huo mkataba..
Kama haya ndio maoni yako. Kwenye hili sakata.....basi tuna kizazi cha hovyo sana!!! kisichojitambua...

kinachojua kusoma....lakini hakielewi kilichosoma!...

Wewe ni kama mtoto....maana hata mtoto Anaweza kuandika.....ama hata kuchora...lakini haelewi ameandika/ama amechora nini!
 
one thing we should know is that, Tanzania is a sovereign country, its not a personal company of a particular persons. so everything that we do should treat it as a country not a personal property.
 


Yupo sahihi ila kwenye lugha nadhani alipaswa aseme; "We surrender our sovereignty--" badala ya; "We are surrendering our sovereignty ---", refer stative verbs. 🤣🤣
 
Ni jana nadhani nimeona kawateua washauri wake wengine. Nadhani kaona aliingizwa Chaka na washauri wake waliopita
Nchi inaendeshwa na remote control.....simlaumu sana.....maana yuko hapo coincidence tu!....

maana alieianzisha ile safari kuelekea nchi ya asali na maziwa.....nae....safari ilimkuta.....katikati ya safari.......alisafirishwa ghafla...Tumebaki jangwani
 
Ngoja akina GUSSIE, Lord denning Faizafoxy waje....!!!
 
Mbowe ANATUMIKA maslahi ya nani ?!!!

Katika uwekezaji wa ARAB CONTRACTORS...walikwenda kuongea na chama rafiki cha ujerumani "CDU"....chama kikalobby bunge lao "bundestag" waishinikize serikali ya Tanzania ijitoe katika ujenzi wa BWAWA LA UMEME mwalimu Nyerere kwa hoja kuwa Tanzania inaharibu mazingira....

Tanzania "think tankers" wakawaridhisha UNESCO kuwa tutatumia tu 3% ya eneo lile...97% intacts....[emoji1787][emoji1787]

Wajerumani CDU wakapiga mwereka chini.......

Ilikuja kufahamika kuwa "hawataki" Tanzania iwe na umeme wa uhakiki ...watauza wapi MAJENERETA yao ?!!!!

Si hilo tu ,ikaja kufahamika kuwa "wakoloni wetu" wanaogopeshwa na kasi ya JPM kutia nia ya ujenzi wa viwanda kwa kuanzia vidogo....

Katika hili la uwekezaji wa DP WORLD nyuma yake kuna kitisho gani cha maslahi ya "wenye maguvu" DUNIANI?!!!

Je ni mashirika ya wachina?!!!

Je misuguano ya EU na Marekani katika biashara imeamkia dhidi ya uwekezaji huu wa DP WORLD?!!!!


MBOWE ANAWATUMIKIA AKINA NANI?!!!

Kama anaweza "kukunja" bilioni 2 za ruzuku atashindwaje kuwa dalali wa kupokea "maEURO"?!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

#SiempreJMT[emoji120]

#MamaAnaupigaMwingi[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…