Pre GE2025 Mbowe yupo kimya anatafuta kura, Lissu yupo bize mitandaoni kukilaumu chama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
The difference is clear.

Baada ya kutangaza nia kinachofuata ni kutafuta kura kwa wajumbe, kutangaza sera zako wajumbe wazipime, tofauti na hapo utaonekana kama mpiga kelele.

As a result ukishindwa unaanza kusingizia umeibiwa kura kumbe muda mwingi uliutumia kutoa lawama kwa mshindani wako tena pasipo na ushahidi.

Wajumbe hawaangalii wingi wa lawama wanaangalia ubora wa sera dhidi ya mpinzani wako ni kwa kiasi gani zitakisaidia chama kuvuka pale kilipo.
 
The difference is clear.

Baada ya kutangaza nia kinachofuata ni kutafuta kura kwa wajumbe, kutangaza sera zako wajumbe wazipime, tofauti na hapo utaonekana kama unapiga kelele tu.

As a result ukishindwa unaanza kusingizia umeibiwa kura kumbe muda uliopewa uliutumia kutoa lawama kwa mshindani wako tena pasipo na ushahidi.

Wajumbe hawaangalii wingi wa lawama wanaangalia ubora wa sera zako dhidi ya mpinzani wako ni kwa kiasi gani zitakisaidia chama kuvuka pale kilipo.
mbowe ataongea Nini?kwani ni uongo kwamba yeye binafsi anahusika na njama za hao watu wa Chadema ambao wamekuwa wakitekwa, kushambuliwa au kuuawa kutoka kwenye chama hicho?yeye ni mchora ramani Mkuu wa matukio hayo, amekuwa akiwauza wenzake kwa mumiani.
 
Haujakatazwa kuahiriki kumtafutia Kura Lissu.

Unalalama kama mtoto mdogo
 
The difference is clear.

Baada ya kutangaza nia kinachofuata ni kutafuta kura kwa wajumbe, kutangaza sera zako wajumbe wazipime, tofauti na hapo utaonekana kama unapiga kelele tu.

As a result ukishindwa unaanza kusingizia umeibiwa kura kumbe muda uliopewa uliutumia kutoa lawama kwa mshindani wako tena pasipo na ushahidi.

Wajumbe hawaangalii wingi wa lawama wanaangalia ubora wa sera zako dhidi ya mpinzani wako ni kwa kiasi gani zitakisaidia chama kuvuka pale kilipo.
Sera za Mbowe ni zipi Mkuu?
 
Hujui dunia .
 
mbowe ataongea Nini?kwani ni uongo kwamba yeye binafsi anahusika na njama za hao watu wa Chadema ambao wamekuwa wakitekwa, kushambuliwa au kuuawa kutoka kwenye chama hicho?yeye ni mchora ramani Mkuu wa matukio hayo, amekuwa akiwauza wenzake kwa mumiani.
Lawama bila ushahidi ni sawa na kelele, kaulizwa anaushahidi gani na hela za Abdul akadai mwenye ushahidi ni marehemu.
 
The difference is clear.

Baada ya kutangaza nia kinachofuata ni kutafuta kura kwa wajumbe, kutangaza sera zako wajumbe wazipime, tofauti na hapo utaonekana kama mpiga kelele.

As a result ukishindwa unaanza kusingizia umeibiwa kura kumbe muda mwingi uliutumia kutoa lawama kwa mshindani wako tena pasipo na ushahidi.

Wajumbe hawaangalii wingi wa lawama wanaangalia ubora wa sera dhidi ya mpinzani wako ni kwa kiasi gani zitakisaidia chama kuvuka pale kilipo.
Ni kweli kabisa.
Chawa wa Lisu wako mitandaoni 24/7 na sii wapiga kura
 
Back
Top Bottom