Pre GE2025 Mbowe yupo kimya anatafuta kura, Lissu yupo bize mitandaoni kukilaumu chama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
The difference is clear.

Baada ya kutangaza nia kinachofuata ni kutafuta kura kwa wajumbe, kutangaza sera zako wajumbe wazipime, tofauti na hapo utaonekana kama mpiga kelele.

As a result ukishindwa unaanza kusingizia umeibiwa kura kumbe muda mwingi uliutumia kutoa lawama kwa mshindani wako tena pasipo na ushahidi.

Wajumbe hawaangalii wingi wa lawama wanaangalia ubora wa sera dhidi ya mpinzani wako ni kwa kiasi gani zitakisaidia chama kuvuka pale kilipo.
Lisu akiwa ndio mwemyekiti wa hiko chama tutegemee maamuzi ya kiutendaji ya chama kutoka kwenye hili kundi la wanaharakati linaloitwa Sauti ya Watanzania kwa kushirikiana na Change Tanzania.
Turejee kwenye sakata la bandari walivyotaka kukitumia chama kupush agenda zao.
Naona wamekwama kwa Mbowe sasa wanatafuta mtu wao atakayekubali kubeba agenda zao.
Kama wanaona chama kitakufa kwa sababu ya Lisu kushindwa uchaguzi basi waende ACT tuone kama watafanikiwa.
 
Kuna uchaguzi wa uenyekiti wa CHADEMA halafu kuna uchaguzi wa mustakabali mwema wa CHADEMA, kwenye uchaguzi huo huo mmoja.

Tundu Lissu ndiye mwenye mustakabali mwema wa CHADEMA sasa hivi.

Wajumbe wana haki ya kumkataa lakini wakimkataa watakuwa wameukataa mustakabali mwema wa CHADEMA.
 
Angalau wewe umekuja na hoja.

Kabla ya Lissu kuanza kuropoka nilikuwa sapota wake mkuu humu JF, fuatilia thread zangu, lkn alipoanza kukivua nguo chama nikajua huyu hana quality za uongozi.

kwa uchapakazi Lissu anamzidi Mbowe lkn si kwa nafasi ya Mkiti.
 
The difference is clear.

Baada ya kutangaza nia kinachofuata ni kutafuta kura kwa wajumbe, kutangaza sera zako wajumbe wazipime, tofauti na hapo utaonekana kama mpiga kelele.

As a result ukishindwa unaanza kusingizia umeibiwa kura kumbe muda mwingi uliutumia kutoa lawama kwa mshindani wako tena pasipo na ushahidi.

Wajumbe hawaangalii wingi wa lawama wanaangalia ubora wa sera dhidi ya mpinzani wako ni kwa kiasi gani zitakisaidia chama kuvuka pale kilipo.

Hamlali wala hampoi na nyuzi bin nyuzi kila baada ya nusu saa😀😀😀😀
 
Lisu akiwa ndio mwemyekiti wa hiko chama tutegemee maamuzi ya kiutendaji ya chama kutoka kwenye hili kundi la wanaharakati linaloitwa Sauti ya Watanzania kwa kushirikiana na Change Tanzania.
Turejee kwenye sakata la bandari walivyotaka kukitumia chama kupush agenda zao.
Naona wamekwama kwa Mbowe sasa wanatafuta mtu wao atakayekubali kubeba agenda zao.
Kama wanaona chama kitakufa kwa sababu ya Lisu kushindwa uchaguzi basi waende ACT tuone kama watafanikiwa.
Kama kuna wanachama wa CHADEMA wanataka kuchallenge uongozi wa Mbowe, kihalali, kwenye uchaguzi wa ndani, kwa nini unawalazimisha waende ACT?

Nilikuwa nawasema vibaya sana wanaharakati wa mitandaoni ambao si wanachama wa CHADEMA waliokuwa wanamkataa Mbowe kwa kusema "Mbowe Must Go". Hoja yangu kubwa ilikuwa kwamba wanaharakati hao hawana uhalali wa kutaka kumuondoa Mbowe kwenye uenyekiti, kwa sababu hawana hata uanachama (majority). Hatujui kama wao ni washabiki wa CHADEMA kweli au ni mapandikizi ya CCM yanayotaka kuivuruga CHADEMA. Mambo ya CHADEMA, waachiwe wanachama halali wa CHADEMA kuamua.

Kauli yangu hii haikuwa endorsement kwa Mbowe. Ilikuwa kanuni ya kwamba watu wasio wanachama hawana kauli kwenye mambo ya chama.

Baada ya Tundu Lissu kuchukua fomu kugombea uenyekiti wa CHADEMA, criticism hii haipo tena. Kwa sababu sasa wanaotaka kumuondoa Mbowe si wanaharakati tu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA naye anataka kumuondoa Mbowe kwenye uenyekiti.

Sasa wewe ni nani umwambie Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu, anayetumia haki yake ya kikatiba ndani ya CHADEMA kugombea uongozi, hana haki ya kuwania uenyekiti?

Unatumia kanuni gani kumkataza Lissu kuwania uenyekiti wa CHADEMA?
 
Lawama bila ushahidi ni sawa na kelele, kaulizwa anaushahidi gani na hela za Abdul akadai mwenye ushahidi ni marehemu.
Huyu bwana haeleweki

Hata akiulizwa anakopata pesa za kugharamia familia yake kuishi huko Ubeljiji sidhani kama atakuwa na majibu....!
 
Kuna uchaguzi wa uenyekiti wa CHADEMA halafu kuna uchaguzi wa mustakabali mwema wa CHADEMA, kwenye uchaguzi huo huo mmoja.

Tundu Lissu ndiye mwenye mustakabali mwema wa CHADEMA sasa hivi.

Wajumbe wana haki ya kumkataa lakini wakimkataa watakuwa wameukataa mustakabali mwema wa CHADEMA.
Nakubaliana kabisa na wewe, lkn style aliyokuja nayo sio ya kiungwana, anapoanza kuwavua nguo atakaokuja kufanyanao kazi hata wajumbe wataogopa kumchagua.

Magufuli alikuwa mtendaji mzuri lkn gia aliyoingia nayo ni sawa na gia ya Lissu. Alisikika akisema siku nikiwa Rais watalimia meno, hiyo kauli iliwatisha hadi CCM wenyewe, same to Lissu.
 
The difference is clear.

Baada ya kutangaza nia kinachofuata ni kutafuta kura kwa wajumbe, kutangaza sera zako wajumbe wazipime, tofauti na hapo utaonekana kama mpiga kelele.

As a result ukishindwa unaanza kusingizia umeibiwa kura kumbe muda mwingi uliutumia kutoa lawama kwa mshindani wako tena pasipo na ushahidi.

Wajumbe hawaangalii wingi wa lawama wanaangalia ubora wa sera dhidi ya mpinzani wako ni kwa kiasi gani zitakisaidia chama kuvuka pale kilipo.
Hebu nisaidie sera Za Mbowe zozote?
TUache Ubora wa Sera naomba tu sera za Mbowe!

Lissu kashasema Sera Zake naomba Sera za mbowe
Ntarudia zaid8 ya mara Kumi sera za Mboweeeee..

HAlafu ingekuwa Ukikaa Kimya Unapata Kura Bhasi ningeomba Tuweke Mabubu wagombee
 
Nakubaliana kabisa na wewe, lkn style aliyokuja nayo sio ya kiungwana, anapoanza kuwavua nguo atakaokuja kufanyanao kazi hata wajumbe wataogopa kumchagua.

Magufuli alikuwa mtendaji mzuri lkn gia aliyoingia nayo ni sawa na gia ya Lissu. Alisikika akisema siku nikiwa Rais watalimia meno, hiyo kauli iliwatisha hadi CCM wenyewe, same to Lissu.
Uungwana ndio umemfanya Mbowe ashindwe kuitoa CCM kwa miaka 20, unataka uungwana wa nini?

Lichama linanuka rushwa, limegeuka la ufisadi kama CCM, mtu anataka kulisafisha, unasema asisafishe kwa sababu kusafisha si uungwana?

Lissu kuwavua nguo si issue, issue ni, anayosema ni kweli? Kama tuhuma ni kweli, tatizo ka Tundu Lissu si kuwavua nguo, tatizo la Tundu Lissu ni kutokuwa na mkakati wa kuwaondoa. Tundu Lissu akitakiwa kuwa na mtu anayegombea u Makamu Mwenyekiti ambaye anataka kwenda kufanya naye kazi badala ya Wenje. Kama Lissu hatakuwa na mgombea mbadala, hii itakuwa ni mistake kubwa.

Lissu anasimamia uwazi, haki za binadamu, ugatuzi wa madaraka, utawala wa sheria. Hayo mambo yote Magufuli kayaharibu, utasemaje Lissu anaanza sawa na Magufuli?
 
The difference is clear.

Baada ya kutangaza nia kinachofuata ni kutafuta kura kwa wajumbe, kutangaza sera zako wajumbe wazipime, tofauti na hapo utaonekana kama mpiga kelele.

As a result ukishindwa unaanza kusingizia umeibiwa kura kumbe muda mwingi uliutumia kutoa lawama kwa mshindani wako tena pasipo na ushahidi.

Wajumbe hawaangalii wingi wa lawama wanaangalia ubora wa sera dhidi ya mpinzani wako ni kwa kiasi gani zitakisaidia chama kuvuka pale kilipo.
Hivi huoni aibu kumuunga Mbowe mkono? Kabisa na akili zako timamu unamuunga Mbowe mkono dah!
 
The difference is clear.

Baada ya kutangaza nia kinachofuata ni kutafuta kura kwa wajumbe, kutangaza sera zako wajumbe wazipime, tofauti na hapo utaonekana kama mpiga kelele.

As a result ukishindwa unaanza kusingizia umeibiwa kura kumbe muda mwingi uliutumia kutoa lawama kwa mshindani wako tena pasipo na ushahidi.

Wajumbe hawaangalii wingi wa lawama wanaangalia ubora wa sera dhidi ya mpinzani wako ni kwa kiasi gani zitakisaidia chama kuvuka pale kilipo.
Mtu aliye overstay anawadanganya wajumbe kwa sera zipi?

Hata hivyo kwa lissu uenyekiti siyo big deal. Yeye anataka haki na ukweli tu.
 
Uungwana ndio umemfanya Mbowe ashindwe kuitoa CCM kwa miaka 20, unataka uungwana wa nini?

Lissu kuwavua nguo si issue, issue ni, anayosema ni kweli? Kama tuhuma ni kweli, tatizo ka Tundu Lissu si kuwavua nguo, tatizo la Tundu Lissu ni kutokuwa na mkakati wa kuwaondoa. Tundu Lissu akitakiwa kuwa na mtu anayegombea u Makamu Mwenyekiti ambaye anataka kwenda kufanya naye kazi badala ya Wenje. Kama Lissu hatakuwa na mgombea mbadala, hii itakuwa ni mistake kubwa.

Lissu anasimamia uwazi, haki za binadamu, ugatuzi wa madaraka, utawala wa sheria. Hayo mambo yote Magufuli kayaharibu, utasemaje Lissu anaanza sawa na Magufuli?
Lissu hakujiandaa kuwa Mkiti, alijiandaa kuwa makamu alikurupuka baada ya kuhisi Wenje atachukua nafasi yake hana mtu wa kufanyanae kazi kama makamu endapo atashinda.

Kupigania haki bila kufuata utaratibu ni fujo ndio maana tuhuma zake zinaonekana ni uzushi hazina tangible facts za uhakika.
 
Lissu kukosa mtu wa kufanya naye kazi kama makamu mwenyekiti ni mistake.

Aliulizwa vipi Wenje akishinda umakamu na yeye Lissu akashinda uenyekiti, akasema itakuwa disaster. Alitumia neno hili disaster.

Unaposema kupigania haki bila kufuata utaratibu unamaanisha nini? Lissu si anagombea uenyekiti wa CHADEMA kwa kutumia katiba ya CHADEMA, kuna utaratibu gani zaidi ya katiba?
 
Nilimsikia akisema itakuwa disaster kufanya kazi na Wenje how come mtu wa hivyo apewe chama.

Utaratibu ninaosema sio wa kugombea ni tuhuma anazotoa, kwanza hata kama ni kweli hatoi ushahidi wa kuridhisha, pili yeye ni sehemu ya uongozi tena second man anashindwa nini kuziwasilisha kwenye vikao.
 
Kwani lazima afanye kazi na Wenje?

Suppose anachosema Lissu ni kweli, Wenje ni corrupt. Lissu akikataa kufanya kazi na mtu corrupt hapo tatizo ni la Lissu au huyo mtu corrupt?

Hatoi ushahidi wa kuridhisha? Unauliza anashindwa nini kuwakilisha kwenye vikao? Unajua Lissu kahojiwa na CHADEMA kuhusu hizi tuhuma na karekodiwa kabisa?

Unajua Lissu kawa challenge CHADEMA watoe hiyo video ya alivyohojiwa mpaka sasa uongozi wa Mbowe umekataa?

Haya mambo unayafuatilia kwa karibu au unayarukia tu?
 
Back
Top Bottom