Mbowe yupo tayari kufia Magereza lakini hatoipigia magoti Serikali

Mpaka saizi dakika ya 79 Mbowe 4 wao 0.
Hawafanyagi hutafiti, nguvu nyingi inatumika kumjenga SSH , ila ukweli wa Mambo ni KIONGOZI mkuu wa Taifa hili,na Rais wetu ,ila kisiasa Upako kwake unazidi potea KWa speed ya ajabu, hata watu wake wa karibu wanajua hilo nasema mbele ya Mungu wangu
 
naona mfano wa zambia kuja tanzania sasa
 
Bi tozo lafa sana yan na yale matege yake
 
Huyo mbowe ni mtu mdogo Sana ukilinganisha na serikali ,atapelekewa Moto mkali mpaka atajuta
Moto gani hajapelekewa, kufilisiwa,kufungwa kunyanganywa ubunge kufungiwa account, bado anadunda
 
Yaani Mbowe ampigie magoti Hangaya never
 
Sio miezi 6 tunataka mmfunge au kumnyonga si ni gaidi
 
Kuliko Mbowe aachiwe kwa msamaha fake, bora aendelee kukaa gerezani mpaka siku ya hukumu yake, hakuna maana asamehewe ili aje kuishi kwa kujipendekeza kwa mtawala kama wengine wanavyofanya.
Watandika kitanda wa mbowe hamjielewi. Ungekuwa mbowe Wala usingeleta ujinga huu hapa.
 
Wewe sio mwanfamilia wake, usiongee kwaniaba ya watoto na familia yake kwasababu haufahamu namna wanavyomhitaji kiongozi wao wa familia arudi nyumbani.
 
Hiyo katiba anadai kwa nani awe alimkabodhi nani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ondoeni mawakili basi ☺️
 
Mbowe ni nan mpaka aidindie serikali ,yaan mbowe ndio aishinde serikali kudadekiiiii


Huyo mbowe akijifanya jeuri atajuta
Mbowe hajaidindia serikali, hao ni chawa wake walio nyumbani kwao wanalala kwa waume wa dada zao ndo wanashoboka humu. mbowe analia huko gerezani anatamani hata Leo atoke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…