Mbowe yupo tayari kufia Magereza lakini hatoipigia magoti Serikali


mh Kumbe hili suala la dharau lilishasemwa humu?
 
Sasa threads nyingi za kumshurutisha rais Samia za nini?,
Mara ooh umoja wa ulaya wanasema blabla
Haki huwa inajitetea yenyewe, haiombwi!
Hata kila mtu akinyamaza lakini haki itajidhihirisha.
 
Mama asiendelee kujitwisha mizigo, kama alishaikabidhi mahakama (hata kama ni ya mchongo), basi aiachie iamue (hata ikichukua miaka)!

Yeye mama ajikite kwenye migogoro ndani ya chama chake inayohusisha ASILIA, MASALIA, SUKUMA GANG, VIROBOTO NA WAHUNI.
 
Heshima anayosema Rais hatuwezi jua ni jinsi gani Mh Mbowe amemvunjia heshima.

Simba ilimwadhibu mchezaji wake sikumbuki sana kati ya kapombe au mkude.
Madai ya CEO wa simba ni kwamba mchezaji huyo hana nidhamu.

Za chini ya capert zinasema mchezaji aliomba ndoa kwa boss wake.
HAPO HAJUI,MUDA UTAONGEA

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Kuliko Mbowe aachiwe kwa msamaha fake, bora aendelee kukaa gerezani mpaka siku ya hukumu yake, hakuna maana asamehewe ili aje kuishi kwa kujipendekeza kwa mtawala kama wengine wanavyofanya.
Sawa acha sheria ifuatwe ithibitishe kama kweli nigaidi

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Amen
 
Mbowe ni man of the moment jabali hasa wa siasa za Tanzania

Wengi walijaribu kuwa kama yeye moto ukakata walipobinywa KENDE

Wengine wakageuka kuwa malaya wa kisiasa hutumika na watawala.
 
Lema anamdanganya mwenzake!
CCM hakunaga wanaume,ni mashoga tupu,hivi wewe huwa unajiona mwanaume?, wakati ni fala tu.
Eti Lema anamdanganya , pumbavu kabisa wewe,mmeshaua wengi mno wanaowapinga na Mbowe muuweni tu Roho zenu ziridhike mashetani nyie
 
Mbowe ni man of the moment jabali hasa wa siasa za Tanzania

Wengi walijaribu kuwa kama yeye moto ukakata walipobinywa KENDE

Wengine wakageuka kuwa malaya wa kisiasa hutumika na watawala.
Katambi, Mashinji, Halima,
 
Huyo tutamnyoosha mpaka apate adabu ,kama ni jeuri awapelekee huko huko chadema na familia yake ....sio kwenye serikali yetu tukufu ya mama samia ...


Nasema Tena ataumia huyo mbowe ..

Ana Nini mpaka ashindane na serikali


Pumbavu
Wewe mpumbavu , yuko wapi Magufuli ? wa kuheshimiwa ni Mungu tu,na siyo Serikali mavi ya CCM...
 
Sasa juzi Lema kasema una watu waliitwa na kiongozi mkuu wa nchi, kiongozi huyo anasema hakuwa na shida na Mbowe, Ila Mbowe alimdharau sijui nini, lengo ni ili Mbowe akubali ajishushe ili wayamalize, according to Lema nikuwa Mbowe amesema yupo tiyari kufia Magereza lakini kamwe hatokuja kuipigia magoti Serikali.[emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1534]
 
Magufuli hadi anakufa hatukumwomba msamaha na ukatili wake wote,ije kuwa huyu mama?
Fia huko jingaman wewe!
 
Ohooo kumbe yanayosemwa huku huwa yana ukweli sometimes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…