Mbuge Flatei Massay apiga sarakasi Bungeni kuonesha kulalamika kuhusu ahadi anazopewa kila mara bila kutekelezwa, afanya marejeo ya sauti za mawaziri

Gang of thieves
 
Mbunge wa Mbulu Vijijini, Flatei Massay, ameruka sarakasi ndani Bunge wakati akichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2022/23 jijini leo Mei 23,2022 kuonesha hisia zake ya kutokuwa na barabara ya lami katika jimbo lake
Credit @MwananchiNews https://t.co/FkJ4GfWqJf
 
Mbuge wa Mbulu ameoneshwa kukerwa hadi kuamua kupiga sarakasi bungeni bila kujali uwepo wa spika...

bunge la matumbili tumbili tu,kuanzia andunje ndukae sasa cheusi mangala na covid19....ni dhulma tu
 
Haki CHADEMA walivyojaza mijobless na mijitu mivivu siku wakishika nchi hii sipati picha.
 
Wabunge
Wabunge zero na mawaziri zero. Unaharibu uchaguzi ili ujaze watu Kama Hawa. Nadhani wananchi wamepata somo kubwa Sana.
 
Bange au marijuana inahusika
huyu alitaka kuonyesha tu uwezo wake wa kuruka sarakasi hana lolote ,ana kundi lake la sarakasi walikuwa wanapata ufadili kwenda nchi za scandanavia kufanya maonyesho akawa anawatapeli wenzake.

Tulikuwa tunaenda kupiga vyuma hapo unawakuta wote wamesizi bangi.

Kashinda ubunge kutokana na ubovu wa mbunge aliyetangulia.
 
Haki CHADEMA walivyojaza mijobless na mijitu mivivu siku wakishika nchi hii sipati picha.

Ndugu una chuki Sana. Muombe Mungu akusaidie, kila ubaya unajaribu kuingiza CHADEMA. Unajifanya humuoni mhusika. Usiwe na Roho mbaya haisaidii.

Hapo Kenya Vyama zaidi ya vinne tofauti vimeshika madaraka na wametuacha mbali kiuchumi, lakini wewe unaona Ni dhambi chadema kuchukua madaraka. Acha ubinafsi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] je suruali ingechanika? Au kuanguka?
Hata mm nimewaza hivyo hivyo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…