4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Nimecheka Sana kwani hakuna vedioView attachment 2235452
Ni Flatei mbunge wa Mbulu vijijini mara baada ya kuchukizwa na ubovu wa miundombinu Jimboni kwake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka Sana kwani hakuna vedioView attachment 2235452
Ni Flatei mbunge wa Mbulu vijijini mara baada ya kuchukizwa na ubovu wa miundombinu Jimboni kwake.
Gang of thievesMbuge wa Mbulu ameoneshwa kukerwa hadi kuamua kupiga sarakasi bungeni bila kujali uwepo wa spika
Ni sawa mmbuge kupiga sarakasi au mweleka kuonesha kukerwa na ahadi zizizo tekelezeka?
===
Kuruka sarakasi kwa mbunge Flatei ni jambo analotamani kulifanya mara nyingi, Mei 17, 2021 pia alipokuwa akilalamikia matatizo ya jimboni kwake aliomba kuruka sarakasi ili kuonesha kuwa ametumwa na wananchi wake kuwasemea.
Kabla ya kuruka sarakasi, Mbunge huyo wa Mbulu alifanya marejeo kwenye kishkwambi chake ya sauti zilizorekodiwa za waziri wa ujenzi na naibu wake wakitoa ahadi kwenye vikao vya Bunge vilivyopita za kukamilisha ujenzi wa barabara Mbulu jambo ambalo halijatimizwa hadi sasa.
Mbuge wa Mbulu ameoneshwa kukerwa hadi kuamua kupiga sarakasi bungeni bila kujali uwepo wa spika...
wabunge wa ccm wakisha shiba ndio tabia zao hivi ?View attachment 2235452
Ni Flatei mbunge wa Mbulu vijijini mara baada ya kuchukizwa na ubovu wa miundombinu Jimboni kwake.
Labda alikuwa anawaonesha kuwa anaieza style ya "urusi kawekewa vikwazo"Kwani huyu hawezi kuleta hoja yake bungeni mpaka abinuke sarakasi.
Tutafsiri kuwa ni ushujaa ama upumbavu..!
Mbuge wa Mbulu ameoneshwa kukerwa hadi kuamua kupiga sarakasi bungeni bila kujali uwepo wa spika
Ni sawa mmbuge kupiga sarakasi au mweleka kuonesha kukerwa na ahadi zizizo tekelezeka?
===
Kuruka sarakasi kwa mbunge Flatei ni jambo analotamani kulifanya mara nyingi, Mei 17, 2021 pia alipokuwa akilalamikia matatizo ya jimboni kwake aliomba kuruka sarakasi ili kuonesha kuwa ametumwa na wananchi wake kuwasemea.
Kabla ya kuruka sarakasi, Mbunge huyo wa Mbulu alifanya marejeo kwenye kishkwambi chake ya sauti zilizorekodiwa za waziri wa ujenzi na naibu wake wakitoa ahadi kwenye vikao vya Bunge vilivyopita za kukamilisha ujenzi wa barabara Mbulu jambo ambalo halijatimizwa hadi sasa.
Pia soma:Mbunge wa Mbulu Vijijini, Flatei Massay almanusura kupiga sarakasi Bungeni ili ajengewe barabara jimboni
huyu alitaka kuonyesha tu uwezo wake wa kuruka sarakasi hana lolote ,ana kundi lake la sarakasi walikuwa wanapata ufadili kwenda nchi za scandanavia kufanya maonyesho akawa anawatapeli wenzake.Bange au marijuana inahusika
Haki CHADEMA walivyojaza mijobless na mijitu mivivu siku wakishika nchi hii sipati picha.
Hata mm nimewaza hivyo hivyo 😀😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] je suruali ingechanika? Au kuanguka?