Mbunge ataka Jeshi liachane na nyimbo ambazo zikisikilizwa, mawazo ya vijana yanaonekana yapo kwenye ngono

Mbunge ataka Jeshi liachane na nyimbo ambazo zikisikilizwa, mawazo ya vijana yanaonekana yapo kwenye ngono

Siku ya kwanza alisemaje Mamaaa naumia! Siku ya pili akasemaje mdogo mdogo inaingia! Siku ya3 akasemaje Liiini tutarudiaaa Nasikia raha utamu!×2 jamani raha UTAMUU!
 
Lile tizi bila morali huchomoki. Ila nyimbo zingine hapana. Juzi nimekutana usiku saa saba na polosi mafunzoni nyimbo zao zilikuwa

Nina nyege nina nyege.....wanaitikia We tomba tu.

Nataka kunya ila naogopa....we kunya tu.
Hapo full mzuka,unakutana na songi ukitaka kuto...m..ba tom...ba we to..mb..a mpaka asubuhi [emoji23][emoji23].
 
Mbunge wa Kigoma Mjini, Kilumbe Shabani Ng'enda wakati akichangia mjadala wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 ameiomba Wizara kutazama upya nyimbo za hamasa zinazoimbwa jeshini wakati wa mazoezi kuwa ziwe za kuhamasisha uzalendo na kusifia Waasisi wa Taifa na kuachana na nyimbo ambazo anadai kuwa ukizisikia tu unajua mawazo yao yako kwenye ngono.

View attachment 2231459
Jeshi kazi ngum ,bila molali inakuaje, ? Kama wenyewe hawakuwai liona ni shida tuwaache wao, wewe Kama Mbunge njoo na hoja zako ,simamia serikali, tafuta katiba mpya
 
jeshini ni sehemu ya ajabu sana. ni sehemu mtu akienda anatakiwa kufanyiwa service ya ubongo wake, watakuvuruga hadi uwe vile wao wanataka. kuna watu hawajawahi kusikia mtu mzima akitukana tusi kubwa, kule utalisikia. kuna wanawake hawajawahi kuchuchumaa hadi harage zionekane, ila kuna wakati anaweze kujikuta sehemu zake za siri hazina umuhimu saana kufichaficha. nilikuwa namwangalia rais wa ukraine jana, nikamwonea huruma, kwa kazi za jeshi, jamaa alikuwa mchekeshaji tu, akili yake haina stress, leo hii, ameona maiti za kila namna, ameona ukatili wa kila namna, amepata stress za kila namna, akirudi mtaani yule hawezi kuwa kama yule wa awali. ndo mambo ya jeshi hayo. ila tunawashukuru, wanatulindia nchi (though Mungu ndio mlinzi namba moja kwetu).
Mkuu huyo Rais wa Ukurein n mjeshi jua hivo ,pia baba na babu yake alikuaga general wa jeshi la USSR kapigana vita ya pili ya Dunia.Ni kama familia yao ni wajeshi nje ya uchekeshaji .
 
mnataka waimbe. Mbuga za wanyama Tanzania ya kwanza ni Serengeti ngorongoro manyara na mikumi Tanzania oyee. Hizo zilipewa mzuka ziro
 
Ni watuvwachafu mno kiasi hata unashindwa kuelewa kama wana imani na watoto hawa jamaa
 
mnataka waimbe. Mbuga za wanyama Tanzania ya kwanza ni Serengeti ngorongoro manyara na mikumi Tanzania oyee. Hizo zilipewa mzuka ziro
Mimi huwa nikipita ktk ofisi za Tanesco Mara nyingi huwa nawaona wafanyakazi tena watu wazima wakiwa wananyanyua zile nguzo kupakia ktk gari utasikia wanaimba oyaa Kuuma Kuuma, wengine wanajibu kumaaa, Kuuma kubwa, kumaaa.
Yaani watu wametoka kuona maiti huko Kongo na kusikia milio ya siraha za kutikisa ngoma za maskio unataka wakuimbie utopolo wa hapo kwa betina?
 
Mbunge wa Kigoma Mjini, Kilumbe Shabani Ng'enda wakati akichangia mjadala wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 ameiomba Wizara kutazama upya nyimbo za hamasa zinazoimbwa jeshini wakati wa mazoezi kuwa ziwe za kuhamasisha uzalendo na kusifia Waasisi wa Taifa na kuachana na nyimbo ambazo anadai kuwa ukizisikia tu unajua mawazo yao yako kwenye ngono.

View attachment 2231459
kweli nyimbo za matusi si njema.
 
Watu wanatafuta molali.

Anafikiri yeye kule ni nyoronyoro utaimbaje uzalendo wakati unakunwa na mateso morali itoke wapi. Uzalendo na ukakamavu ni aftermath ni zao la mfunzo. Itkua halijui jeshi hajapita huyo.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Mbunge wa Kigoma Mjini, Kilumbe Shabani Ng'enda wakati akichangia mjadala wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 ameiomba Wizara kutazama upya nyimbo za hamasa zinazoimbwa jeshini wakati wa mazoezi kuwa ziwe za kuhamasisha uzalendo na kusifia Waasisi wa Taifa na kuachana na nyimbo ambazo anadai kuwa ukizisikia tu unajua mawazo yao yako kwenye ngono.

View attachment 2231459
Napingana na huyu kiumbe. Hajui ngalambe wanazopitia kuruta. Kuruta anaye buruta katika na kuchanganywa kumjengea utii wa kupokea amri ambazo nyingine kama binadamu alidhani haziwezekani lakini kwa jeshi zinawezekana. Mtu kama huyu anapaswa kupata tulizo la moyo na akili si jingine bali kujiona naye ni binadamu mwenye matamanio. Njia ya kuyajua haya ni huyu Mbunge kuingizwa katika moja operations.😂😂
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Tulimuimba "Iddi Amini anainama, anainuka, anaona haya huyoooo" enzi zileee kule JKT kwa furaha na mbwembwe. Capt alitusikia akasimamisha kikosi yaliyotokea baada ya hapo kama hujaenda jeshi huwezi nielewa.
 
Wabunge kabla hawajaapa wapelekwe JKT wakajifunze uzalendo wataachana na hizi story zao
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Back
Top Bottom