Mbunge ataka Jeshi liachane na nyimbo ambazo zikisikilizwa, mawazo ya vijana yanaonekana yapo kwenye ngono

Mbunge ataka Jeshi liachane na nyimbo ambazo zikisikilizwa, mawazo ya vijana yanaonekana yapo kwenye ngono

jeshini ni sehemu ya ajabu sana. ni sehemu mtu akienda anatakiwa kufanyiwa service ya ubongo wake, watakuvuruga hadi uwe vile wao wanataka. kuna watu hawajawahi kusikia mtu mzima akitukana tusi kubwa, kule utalisikia. kuna wanawake hawajawahi kuchuchumaa hadi harage zionekane, ila kuna wakati anaweze kujikuta sehemu zake za siri hazina umuhimu saana kufichaficha. nilikuwa namwangalia rais wa ukraine jana, nikamwonea huruma, kwa kazi za jeshi, jamaa alikuwa mchekeshaji tu, akili yake haina stress, leo hii, ameona maiti za kila namna, ameona ukatili wa kila namna, amepata stress za kila namna, akirudi mtaani yule hawezi kuwa kama yule wa awali. ndo mambo ya jeshi hayo. ila tunawashukuru, wanatulindia nchi (though Mungu ndio mlinzi namba moja kwetu).
Yanayokatazwa mitaani kule yanaruhusiwa...
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Watanzania wengi hamuelewei uzalende ni nini. Kuna watu wengi wazalendo ambao hawajapitia JKT kuliko waliopitia huko.
Wabunge kabla hawajaapa wapelekwe JKT wakajifunze uzalendo wataachana na hizi story zao
 
Back
Top Bottom