Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,483
- 2,392
WABUNGE WA NCHI HII BADALA YA KUJADILI SHIDA NA MATATIZO YA WANANCHI KWA UJUMLA WANAJADILI NANI KAOA NANI KAOLEWA NI UJINGAMbunge wa Iringa Mjinga , Mh Jesca Msambatavangu amewaponda wote wanaompiga majungu kwamba hajaolewa .
Akizungumza kwa jazba bungeni leo , Mbunge huyo amedai kwamba jambo kubwa linalopaswa kuangaliwa ni hoja zake bila kujali kama ameolewa au la
Ikumbukwe kwa Mh Msambatavangu ndiye mbunge pekee anayehamasisha nguvu za kiume kwa vijana bungeni
View attachment 2889716
Sasa anakasirika nini kuambiwa hajaolewa, kwani ni tusi?...Ukiona hivyo hajaolewa kweli ๐คฃ ๐คฃMbunge wa Iringa Mjinga , Mh Jesca Msambatavangu amewaponda wote wanaompiga majungu kwamba hajaolewa .
Akizungumza kwa jazba bungeni leo , Mbunge huyo amedai kwamba jambo kubwa linalopaswa kuangaliwa ni hoja zake bila kujali kama ameolewa au la
Ikumbukwe kwa Mh Msambatavangu ndiye mbunge pekee anayehamasisha nguvu za kiume kwa vijana bungeni
View attachment 2889716
NilifanyaSijawahi kua kuwadi
Jana ulifanya au hujafanya? Sema mwenyewe usitake nikusemee
Ndiyo maana anajifanya mtemi sanaKipindi sana.
Na ndiyo maana alikufa kiboya sanaSimkubali Mama Abdul , ila kwenye huu upuuzi mtamuonea kabisa engineers wa ule upuuzi wa October 28 , 2020 ni Jiwe , wakurugenzi na vyombo vya ulinzi na usalama vyote na mitandao ya simu.
Waliokuwepo Tanzania walikiri hata jumuiya za kimataifa na waangalizi wa uchaguzi walikiri irregularities kubwa kuwahi tokea tangu chaguzi za vyama vingi .
Unaitaje uchaguzi watu wanaingia vituo vya kupigia kura na mabegi yaliyojaa kura zilizopigwa tayari na mawakala wa vyama vya upinzani wakikamatwa siku moja kabla na wengine siku yenyewe ya tukio.
Hii iko documented Magufuli hasafishiki kwa hilo tukio la October 28, 2020.
View attachment 2889834View attachment 2889835
Ndiyo maana anajifanya mtemi sana
Huyo mama alikuwa mgombeaji mwenza wa jiwe, na hata baada ya jiwe kufa huyo mama alichukua madaraka.Simkubali Mama Abdul , ila kwenye huu upuuzi mtamuonea kabisa engineers wa ule upuuzi wa October 28 , 2020 ni Jiwe , wakurugenzi na vyombo vya ulinzi na usalama vyote na mitandao ya simu.
Shauriyakohey lady i love You
Narudia tena mchafuzi mkuu wa 2020 ni dikteta uchwara na timu yake ya kina Bashiru na Chakubanga.Huyo mama alikuwa mgombeaji mwenza wa jiwe, na hata baada ya jiwe kufa huyo mama alichukua madaraka.
Wewe kwa akili yako umekaza fuvu kulaumu mfu ukimkenulia meno mvurugaji aliye hai na mwenye uwezo kamili wa kubatilisha yaliyovurugwa na mtangulizi wake upo sawa kweli kichwani?
Narudia tena kusema hilo bunge ni la ccm na sio Magufuli, lipo kwa maslahi ya wezi na mafisadi na sio kwa maslahi ya wananchi.
Ni bunge pendwa la mama Abdul lipo kwa maslahi ya wezi na mafisadi.
Lingekuwa ni bunge la Magufuli lingekuwa limekufa mara tu baada ya Magufuli kufa.
Unaumwa akililadyyyyyyyyyy๐๐๐๐๐๐๐
Kasemwa na nani!Mbunge wa Iringa Mjinga , Mh Jesca Msambatavangu amewaponda wote wanaompiga majungu kwamba hajaolewa .
Akizungumza kwa jazba bungeni leo , Mbunge huyo amedai kwamba jambo kubwa linalopaswa kuangaliwa ni hoja zake bila kujali kama ameolewa au la
Ikumbukwe kwa Mh Msambatavangu ndiye mbunge pekee anayehamasisha nguvu za kiume kwa vijana bungeni
View attachment 2889716
Luvanda huyu wa kwenye mambo ya usafirishaji auMme wake ni mh Luvanda ๐ผ
Hawa sio wabunge bali ni kundi la vibaka waliookotwa mitaani na mwendazakeMbunge wa Iringa Mjinga , Mh Jesca Msambatavangu amewaponda wote wanaompiga majungu kwamba hajaolewa .
Akizungumza kwa jazba bungeni leo , Mbunge huyo amedai kwamba jambo kubwa linalopaswa kuangaliwa ni hoja zake bila kujali kama ameolewa au la
Ikumbukwe kwa Mh Msambatavangu ndiye mbunge pekee anayehamasisha nguvu za kiume kwa vijana bungeni
View attachment 2889716
chini ya usimamizi wa Lazaro MambosasaSimkubali Mama Abdul , ila kwenye huu upuuzi mtamuonea kabisa engineers wa ule upuuzi wa October 28 , 2020 ni Jiwe , wakurugenzi na vyombo vya ulinzi na usalama vyote na mitandao ya simu.