Mbunge Chato: Tunaomba ndege chache zilizopo ziwe zinatua Chato hata kama ni mara moja kwa wiki

SGR ilipaswa ishia Dodoma tu, Marehemu akaona isiwe kesi akaruka akaanzia Mwanza ili lolote lile lazima imalizike.
Sasa twaipeleka Burundi kwa masikini ambao kwa mwaka makontena hata 10000 hayafiki
Haikupaswa kuwepo Kwa Sasa.Hadi hapo Dom imekula 13T ambazo ni zaidi ya km 7,000 za lami.

Nchi ingekuwa mbali zaidi.
 
Kwa kuwa uwanja umekwishajengwa, itafutwe namna utumike, hata kama ni kwa kutumia Dash8. Kutokuutumia ni hasara zaidi.
 

biashara ya usafiri wa ndege ni bidhaa kama bidhaa nyingine yeyote kwenye biashara na hivyo mwenye bidhaa hawezi kupeleka bidhaa yake kwenye masoko ambayo hayana mlaji maana kufanya hivyo atafilisika.

inavoonekana ni kwamba shirika ama mashirika ambayo yaliwahi kufanya pale walikuwa wanafanya kwa hasara na ndiyo maana baada ya kujaribu kwenda pale siku za mwanzo walikujagundua kwamba wanaenda kwa hasara ndipo wakaamua kusitisha na hawakusimamishwa na mtu hivyo kitu anachopaswa kufanya mbunge ni kwenda kuongea na shirika/mashirika ya ndege kuwapa ushawishi wa kwenda kiwanja cha Chato.

maana mashirika ya ndege yanchohitaji ili yaweze kufanya biashara kupeleka ndege ni pamoja na uwepo wa uwanja salama na wenye uwezo wa kutua ndege pamoja na uwepo wa abiria wanaotosha
kikikosekana kimojawapo ktk hiki basi biashara hapo haitakuwepo.
pole mh Kalemani mbunge.
 
Ndo imeshajengwa sasa, nenda kajinyonge kenge wewe
 
Si mlisema Wananchi hawahitaji Katiba wanahitaji Chumvi na ugali?

Kuleni sasa kiwanja cha ndege
 

Huyu ni Dr. ( Msomi ) ambaye hajui kwamba Kama pana Biashara Chato ya kutosha hata Precision air wangeenda huko, na sio ATC peke yake!
 
Kwa kuwa uwanja umekwishajengwa, itafutwe namna utumike, hata kama ni kwa kutumia Dash8. Kutokuutumia ni hasara zaidi.
Na hiyo Dash8 nayo unapeleka inakula hasara pia.

Uamzi ni wako
 
Utakuwa mgeni wa usafiri wa anga wewe. Air Tanzania walikuwa wanaruka na kutua Shinyanga, Musoma, Mtwara na Songea, na Tabora. Katika miji hiyo sidhani kama Shinyanga na Musoma bado wanatua. Hiyo haina maana hakuna abiria. Ni suala la maamuzi ya watendaji. Same scenario kwa chato, abiria wa ukanda wa katoro ma Biharamulo huko wapo ndege haiwezi kukosa abiria
 
Tatizo ni akili.Mwanza inakabiliwa na shida kubwa ya Barabara harafu inajenga kadaraja Ili eti ionekane umefanya sijui kitu gani
Acha ujinga hata kama asinge jenga isinge wezekana kutumia hela yote hiyo kujenga barabara za Mwanza pekeake! Daraja ni muhimu sana kuliko hata la Tanzanite!.
Acha wivu wa kijinga mkoa gani hauna shida ya barabara hata huko kwenu ndo hovyo kabisa Mbeya ni kama kijiji!
 
Kituko kingine ni hawa wanaojenga International Airport pale Msalato Dodoma.

Dar es Salaam tu jiji la Biashara ndege za kimataifa unazihesabu kila baada ya masaa 2 hadi 3 na muda mwingine masaa 4 sasa kule Dodoma sijui ndo itakuwaje.

Nchi hii Viongozi kukosa akili kunawafanya kutumia fedha nyingi sana kwenye mambo ya kijinga.
 
Chato haiwezi kufikia huko! Huo ni mji mdogo unaokua!
 
It is better wangejenga hata Mwanza sema CCM wanafanyaga mambo ya kipuuzi sana!
 
Iwezekane Kwa daraja na Chato ndio ishindikane Kwa daraja?

Mwanza hiyo Ina Barabara finyu

Barabara za Mitaa hakuna

Barabara zingine Kubwa ni mavumbi

Uwanja wa Ndege wa hadhi hakuna

Maji shida nk

Mbona Samia anatumia pesa kama hiyo kuzijenga? Imewezekanaje?

My Take
Next time mjifunze kutumia akili.
 
Dom ni Capital City no way lazima uwe na uwanja wa Kimataifa.

Hata Mikoa a jirani watatumia hasa Kwa cargo kikubwa ni kukuza shughuli za kiuchumi za watu na Mikoa ya jirani.

Pia wajenge Kumbi za Mikutano kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…