Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haikupaswa kuwepo Kwa Sasa.Hadi hapo Dom imekula 13T ambazo ni zaidi ya km 7,000 za lami.SGR ilipaswa ishia Dodoma tu, Marehemu akaona isiwe kesi akaruka akaanzia Mwanza ili lolote lile lazima imalizike.
Sasa twaipeleka Burundi kwa masikini ambao kwa mwaka makontena hata 10000 hayafiki
MBUNGE wa Jimbo la Chato mkoani Geita, Dk Medard Kalemani ameomba mamlaka zinazohusika kutoa ufafanuzi wa kile kilichopelekea ndege za abiria kuacha kutua uwanja wa ndege wa Chato.
Dk Kalemani ametoa malalamiko yake mbele ya wajumbe wa kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Geita na kueleza hali hiyo imepelekea abiria wenye uhitaji wa usafiri wa haraka kupata usumbufu kwa kukosa huduma.
Amesema uhitaji wa ndege za abiria ni mkubwa kwani tangu uwanja wa ndege Chato uanze kutumika kuna mwitikio mkubwa wa abiria kutokana na miundombinu rafiki ya uwanja na uwepo wa abiria wanaoingia na kutoka Chato.
"Nilikuwa naomba kupitia kikao hiki, hebu tushawishi mgawanyo wa ndege chache zilizopo ziwe zinatua Chato hata kama ni mara moja kwa wiki, kwa sababu tuna kiwanja kizuri, kikubwa, kimejemgwa kwa fedha nyingi.
Pia soma
- Mashirika ya ndege yaukimbia uwanja wa ndege Chato. Hakuna ndege yoyote inayotua tena uwanjani biashara ya usafiri wa ndege ni bidhaa kama unavyoiona bidhaa nyingine kibiashara hivyo wenye bidhaa hizo ambao ni mashirika ya ndege yanapeleka bidhaa sehemu ambayo walaji wa bidhaa hiyo wapo na wanauhitaji vinginevyo hawawezi kuendelea kuingia gharama ya kuipeleka na kuifikisha bidhaa sokoni ambako kila wakienda wanarudi wakiwa na hasara tena hasara kubwa kwa sababu tu ya kwenda kumfurahisha mteja Kalemani na wachache mno wengine ambao ulaji wao wa bidhaa hiyo hauwezi kufanya biashara hiyo ikafanya kwa faida.
Ndiyo shida ya kufanya kazi kwa maelekezo ya mtawala na siyo watalaam kufanya feasibility study, sahivi habari ya mjini ni Kizimkazivita na marehemu bado inaendelea
mafisadi hawataki ndege ziende huko
Sahihi kabisa aseeKwa kuwa uwanja umekwishajengwa, itafutwe namna utumike, hata kama ni kwa kutumia Dash8. Kutokuutumia ni hasara zaidi.
Ndo imeshajengwa sasa, nenda kajinyonge kenge weweWala kuzingatia uwezo wa Uchumi wetu na Tija Kwa wakati hii na mda wa kati.
Vietnam ambayo Ina Uchumi mkubwa mara 6 ya Tanzania na watu wengi kushinda sisi ndio inajipanga kujenga Sgr,Sasa Tanzania na ufukara wake huu hizo Sgr na mamiradi mengine ya maonesho Yana faida ipi zaidi ya kuzidi kuleta hasara?
Si mlisema Wananchi hawahitaji Katiba wanahitaji Chumvi na ugali?MBUNGE wa Jimbo la Chato mkoani Geita, Dk Medard Kalemani ameomba mamlaka zinazohusika kutoa ufafanuzi wa kile kilichopelekea ndege za abiria kuacha kutua uwanja wa ndege wa Chato.
Dk Kalemani ametoa malalamiko yake mbele ya wajumbe wa kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Geita na kueleza hali hiyo imepelekea abiria wenye uhitaji wa usafiri wa haraka kupata usumbufu kwa kukosa huduma.
Amesema uhitaji wa ndege za abiria ni mkubwa kwani tangu uwanja wa ndege Chato uanze kutumika kuna mwitikio mkubwa wa abiria kutokana na miundombinu rafiki ya uwanja na uwepo wa abiria wanaoingia na kutoka Chato.
"Nilikuwa naomba kupitia kikao hiki, hebu tushawishi mgawanyo wa ndege chache zilizopo ziwe zinatua Chato hata kama ni mara moja kwa wiki, kwa sababu tuna kiwanja kizuri, kikubwa, kimejemgwa kwa fedha nyingi.
Pia soma
- Mashirika ya ndege yaukimbia uwanja wa ndege Chato. Hakuna ndege yoyote inayotua tena uwanjani hapo!
MBUNGE wa Jimbo la Chato mkoani Geita, Dk Medard Kalemani ameomba mamlaka zinazohusika kutoa ufafanuzi wa kile kilichopelekea ndege za abiria kuacha kutua uwanja wa ndege wa Chato.
Dk Kalemani ametoa malalamiko yake mbele ya wajumbe wa kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Geita na kueleza hali hiyo imepelekea abiria wenye uhitaji wa usafiri wa haraka kupata usumbufu kwa kukosa huduma.
Amesema uhitaji wa ndege za abiria ni mkubwa kwani tangu uwanja wa ndege Chato uanze kutumika kuna mwitikio mkubwa wa abiria kutokana na miundombinu rafiki ya uwanja na uwepo wa abiria wanaoingia na kutoka Chato.
"Nilikuwa naomba kupitia kikao hiki, hebu tushawishi mgawanyo wa ndege chache zilizopo ziwe zinatua Chato hata kama ni mara moja kwa wiki, kwa sababu tuna kiwanja kizuri, kikubwa, kimejemgwa kwa fedha nyingi.
Pia soma
- Mashirika ya ndege yaukimbia uwanja wa ndege Chato. Hakuna ndege yoyote inayotua tena uwanjani hapo!
Na hiyo Dash8 nayo unapeleka inakula hasara pia.Kwa kuwa uwanja umekwishajengwa, itafutwe namna utumike, hata kama ni kwa kutumia Dash8. Kutokuutumia ni hasara zaidi.
Utakuwa mgeni wa usafiri wa anga wewe. Air Tanzania walikuwa wanaruka na kutua Shinyanga, Musoma, Mtwara na Songea, na Tabora. Katika miji hiyo sidhani kama Shinyanga na Musoma bado wanatua. Hiyo haina maana hakuna abiria. Ni suala la maamuzi ya watendaji. Same scenario kwa chato, abiria wa ukanda wa katoro ma Biharamulo huko wapo ndege haiwezi kukosa abiriakipara kipya .. Njo uone matokeo ya mlichokuwa mnashupalia kipindi kile kuwa Hata CHATO iko ndani ya Tanzania hivyo kujengwa uwanja wa kimataifa hakuna shida
Tena mlienda mbali mkidai huo uwanja una umuhimu sana kwasababu unaunganisha mikoa jirani, mara Unawateja wengi sana
Hivi sa hivi mnajiskiaje mlichokuwa mna sherekea kipindi kile
Acha ujinga hata kama asinge jenga isinge wezekana kutumia hela yote hiyo kujenga barabara za Mwanza pekeake! Daraja ni muhimu sana kuliko hata la Tanzanite!.Tatizo ni akili.Mwanza inakabiliwa na shida kubwa ya Barabara harafu inajenga kadaraja Ili eti ionekane umefanya sijui kitu gani
Chato haiwezi kufikia huko! Huo ni mji mdogo unaokua!Aisee haswa, yaani utaona nyani ndio wamefanya makazi huko.
Inasikitisha sana akili za waafrika pindi wakiwa madarakani
Hebu fikiria huo mji wa Mobutu kwisha habari yake
Mwingine nae ni Bob Mugabe
Alituma jamaa yake mzungu kujenga Castle UK kwa thamani ya £41 million
Mpaka leo limetelekezwa na hakuna anaeishi na ni kubwa haswa
Sasa local residents wanalalamika kwa sababu pamekuwa sehemu ya kuuzia na kuvutia Unga na bangi kwa vijana
Hebu fikiria jengo limetupwa la mamilioni
Kuna watu wana laana mpaka walikoenda
Hili hapa jengo View attachment 3259879
It is better wangejenga hata Mwanza sema CCM wanafanyaga mambo ya kipuuzi sana!Kituko kingine ni hawa wanaojenga International Airport pale Msalato Dodoma.
Dar es Salaam tu jiji la Biashara ndege za kimataifa unazihesabu kila baada ya masaa 2 hadi 3 na muda mwingine masaa 4 sasa kule Dodoma sijui ndo itakuwaje.
Nchi hii Viongozi kukosa akili kunawafanya kutumia fedha nyingi sana kwenye mambo ya kijinga.
Iwezekane Kwa daraja na Chato ndio ishindikane Kwa daraja?Acha ujinga hata kama asinge jenga isinge wezekana kutumia hela yote hiyo kujenga barabara za Mwanza pekeake! Daraja ni muhimu sana kuliko hata la Tanzanite!.
Acha wivu wa kijinga mkoa gani hauna shida ya barabara hata huko kwenu ndo hovyo kabisa Mbeya ni kama kijiji!
Nikajinyonge Mimi au huyo analalamika? 😂😂Ndo imeshajengwa sasa, nenda kajinyonge kenge wewe
Dom ni Capital City no way lazima uwe na uwanja wa Kimataifa.Kituko kingine ni hawa wanaojenga International Airport pale Msalato Dodoma.