Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes huko SA wanazo haki za LGBT na kwingi duniani but nani aliyepewa haki ya kuhukumu wengine?kama wewe upo straight sio tatizo but why kuwe na tatizo la mtu ambaye sio straight?
Kama hujapata kifungua kinywa hebu anza nacho kwanza maana km dishi limecheza!
Kila nchi ina utamaduni na mila zake amabzo inaamua kuufuata, usitake kukurupukia kila ukionacho kwenye luninga kutoka ughaibuni ukadhani kinatufaa.
Na sisi kwa sisi hatuoneani aibu. Ukiharibu, unachanwa tu! Nenda Chadema sasa, Mbowe hakosei! Lissu hakosei! Ahahahahaha!!Safari hii ni wao kwa wao!
Hii nchi ni ya kipuuzi sana, Tatizo la huyu dada ni nini? na bado kuna watu wanasapoti huu upuuzi uliofanywa.
Nguo aliyovaa sio ya heshima, na isitoshe bunge sio la wanawake tu bali wanaume pia. Itapendeza wastiri miili yao.
Kosa alilofanya spika ni kumtoa, angetulia kwanza mpaka mwisho wa meeting n the wamuonye na asirudie huo ujinga wa kuvalia watu minguo ya ajabu.
I see nothing wrong for her and she'sKaka siyo huyo mbunge wenu tu, bado kuna huyu pia sijui unasemaje hapo, hii no tabia yao tena imejengeka haswa, utaendaje bungeni namna hii?
View attachment 1805083
Sijaona tatizo la mavazi haya.Mbunge wa Momba Condester Michael Sichalwe ametolewa ndani ya ukumbi wa Bunge ili akabadilishe mavazi yake baada ya Mbunge wa Nyangw'ale Hussein Nassor Amar kuomba muongozo wa Spika kuwa kuna baadhi ya Wabunge wamevaa mavazi yasiyo na maadili...
Hilo vazi mbona ni vazi la kawaida tu tatizo liko wapi? spika n mbunge wake wamefanya kituko cha aibu kwa kweli
Mkuu dos. Suruali imembana, na kiblauzi kifupi. Tatizo wanajisahau sana.
Kama ni mimi nisingemtoa wala nisingemruhusu kusimama/kuongea na minguo yake ya ajabu kadamnasi, ila onyo angelipata
Nafikiri hiyo njano ya mbele iliyotokeza ndo nongwa
Hahahahahaaaaa! NomaKaribu tena
Tukio la leo asubuhi , lalamiko la Mbunge wa Nyangw'ale Hussein Nassor Amar akilalamika ati Mbungwe mwenziwe Condester Minael Sichalwe kavaa visivyo, limeelezea zaidi mtoa hoja anafikiri nini huko Bungeni kuliko kile “waliomchagua” kuwawakilisha wanachokitaka toka kwake.