Mbunge Elibariki Kingu aingia kwenye kashfa ya ngono na kuzaa nje ya ndoa

Heaven Sent come read this darling.
 
Kama upo kwenye ndoa kuchepuka ni jambo moja kuzaa nje ni jambo lingine kabisaaa.
Sidhani kama huyu jamaa ataendelea kuishi na mkewe kama akijua hao watoto sio wa kwake.
Hawa wake zetu wana mapungufu yao lkn kwa kweli wanatuvumilia sana.
Hata nanyi mna mapungufu na tunawavumilia sana. Cha msingi ni kutokujitoa ufahamu. Tusijisahau namna hiyo jamani.
Huu ujinga mwisho wanaoumia ni watoto.
 
Unadhani ni limbukeni wa K....huyu ni mhuni toka akiwa mkuu wa wilaya na kuhusu kumsifia mkewe yupo hivyo hata nje ya social media ...ila kanistua kuzaa nje itakua nicole alilengesha ndiyo maana Kingu haudumii mtoto, ngoja nimuhifadhie mafile yake maana namjua uzuri tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na nyie wanawake kujitongozesha kwa mbunge, acha awazalishe na hivi hata matumizi ya condom hamjui, soon mbunge na mkeo mtaanza kupanga foleni ya kuchukua ARV, ngono fanyeni ila Mkumbuke Condom jamani.
 
Lazima alijilengesha, mbunge nae hata kutumia condom hapana.
 
Mtu anachepuka lkn eti anaandika magazeti insta ya kumsifia mke wake.Kama unampenda sana muonyeshe huko huko nyumbani sio insta.
Wanawake wenyewe ndio wanaopenda kupambwa hadharani.
 
Wanaume Mungu anawaona...!kama warembo kama huyu wanatendwa sembuse sie magurubaja?
 
Abadili dini tu ili ajinafasi...hili ya Muke moja Mume moja inawadhulumu wengi ati...ni vile tu machozi ya Wanaume huishia moyoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…