Mbunge Jesca Msambatavangu: Wanafunzi wanatumia Boom Kubeti badala ya Kusoma. Serikali itafute utaratibu mpya wa kuwakopesha

Mbunge Jesca Msambatavangu: Wanafunzi wanatumia Boom Kubeti badala ya Kusoma. Serikali itafute utaratibu mpya wa kuwakopesha

Mtu mzima unataka umpangie matumizi ya hela ambayo at the end of the day atailipia yeye mwenyewe..?
What happened to common sense..?

Nilikuwa nakuheshimu kumbe mtu wa hovyo hivi
Hao wanachuo wamekuwa watu wazima lini? Kweli unaona vile vi first year ni vijitu vizima vile!? wakati vingine bado vinakojoa kitandani ! vile bado vinahitaji kupangiwa bado vitoto.
 
Mbona pesa zao wao wanahonga na hatuwapangii matumizi nazo ila boom la mwanafunzi inawauma kishenzi.
Bwana wee...wanataka wanafunzi watoke chuo wakiwa masters of masturbation. Wacheni vijana chuo wale mbususu, wajaeibu gambe hayo ndio maisha mbona wanachuo wa ulaya wanafanya hivyo vitu na kila leo tunaenda kwao kuomba msaada.
Chuo ndio sehemu ya kijana kujidiscover and kuenjoy, there is more to education than simply reading books.

Hiyo ya kusoma vitabu tuu wawaachie wanawake wenye sura mbaya
 
Kama zinaharibu ubongo na makampuni kibao yamepewa leseni, Kwanini usipige kelele hizo kampuni kuwe na udhibiti?
 
Wabunge wegine wanachukulia vitu general,ikiwa kuna baadhi ya wabunge na wananchi wanasema kuwa wanalipwa pesa nyingi kuliko kazi wanazofanya na wanaziba masikio, ndivyo ilivyo kwa baadhi ya wanafunzi wanavyotumia mikopo yao.
Wabunge aina ya Jesca wanapaswa kujua kuwa ule ni mkopo hivyo watatumia wapendavyo. Kuna tofauti ya matumizi kulinganisha na sehemu chuo kilipo na ndiyomaana wapo wanafunzi ambao utumia sehemu ya boom kurekisha nyumba za familia kijijini kwao.
 
Mbona pesa zao wao wanahonga na hatuwapangii matumizi nazo ila boom la mwanafunzi inawauma kishenzi.

Ni sahihkabisa kwasabu sio kila mwanchuo anatumia vibaya hela mtawaumiza watoto wakimaskin ambao iyo hela inawasogeza sanaa mkiwanyima baadhi yao watashindwa ata kukusanya assignment zinazohitaj hela
 
Mbunge wa Iringa Mjini Madam Jesca Mtambasavangu bila kumung'unya maneno ameshutumu vikali tabia ya wanavyuo kutumia Fedha za Mkopo wa Kujikimu Boom kubeti badala ya kusoma na kutumia Kwa malengo yaliyokusudiwa.

Akiongea Bungeni Kwa Uchumi amewashangaa Vijana wanaodhani betting itawatoa kimaisha na kuiasa jamii kwamba kubeti kunaharibu ubongo na kufanya watu wasiwe critical thinker wawe mazezeta.

My Take
Aliwahi toa maoni kama haya Mbunge Getere na yule wa Kahama ila walishambuliwa sana.

Ukweli ni kwamba Wafunzi wanatumia hizi hela kubeti na kufanya starehe zingine.Naunga mkono wazo la kutafuta utaratibu mwingine wa kutoa hii mikopo ikiwezekana wapewe vyakula Wakiwa Chuo na Mahitaji mengine directly badala ya Fedha mkononi.

Kukalia kimya jambo hili Kwa kujifanya eti halipo au kuogopa kutukanwa au kutumika Kisiasa haisaidii jmaii Bali inakuza ujinga.

Uganda huko Maelfu ya Wanafunzi walifukuzwa Chuo Kwa kula ada Kwa sababu za betting.

====

Pia soma:
HIVI HII HELA NI MKOPO AU NI MATUNZO YA BABA KWA MTOTO!!!!!🤔🤔🤔
NILIAMINI WABUNGE WA AWAM HII WANAWEZA JADIRI MAENDELEO KUMBE WAMEBAKI KUONGELEA MIKOPO AMBAYO HAINA MASHARTI YA ULEVI ,UMALAYA UHUNI NA HATA UTAPANYAJI WA MALI.
MIKOPO INAYOTOLEWA NA SERIKALI NI SAWA NA ILE YA CRDB NA NBC NA NMB SASA IWEJE UMPANGIE MTEJA MATUMIZI?
WEWE HAKIKISHA NA RIBA INARUDI .
ALAFU NIWAOMBE TU SISI NI WATU WAZIMA NA TUNAAKILI ZETU NAWAOMBA MSITUINGILIE .
MK
MEKALIA KISEMA WATOTO ,MTOTO NANI ?
BABA AKO AU MAMA AKO ALIOA AU KUOLEWA AKIWA NA MIAKA MINGAPI NA JE! ALIKUZAA HAKUKUZAA ??
NA SISI MNAOTUAMBIA WATOTO KUNA WENGINE TUNA FAMILIA TENA KWA UHALALI NAWAOMBA MSIWE MNATUKANYAGA.
HIVI HAO MAGUFULI WAKATI YUPO WAO WALIKUWAGA WAPI ???🤔🤔
UJUE WANANIKELA ,
SASA NA NAAMINI MAMA YETU SAMIA HAPENDEZWI NA SISI KUPEWA HELA AMBAYO HAITOSHELEZI .TUPO NA MPANGO WA KUZIDI KUMKUMBUDHA AONGEZE ILI VIJIWE VYOTE VYA STAREHE TUWE WOTE.
 
K
Bwana wee...wanataka wanafunzi watoke chuo wakiwa masters of masturbation. Wacheni vijana chuo wale mbususu, wajaeibu gambe hayo ndio maisha mbona wanachuo wa ulaya wanafanya hivyo vitu na kila leo tunaenda kwao kuomba msaada.
Chuo ndio sehemu ya kijana kujidiscover and kuenjoy, there is more to education than simply reading books.

Hiyo ya kusoma vitabu tuu wawaachie wanawake wenye sura mbaya
Sura ngumu kama yule kiranja wa mjengoni mtetezi wa mafisadi? Maana yule bila kitabu angeishia kuwa ngariba au mganga wa kienyeji
 
Tangu linu mtu akipewa mkopo atapangiwa matumizi?

Hawa wabunge wa mtutu wana kazi kweli.

Wameona wengi hawavutiwi kuangalia wala kufuatilia hicho kikao cha CCM ndio maana wanaweka vimbwanga ili wapate kusikika.
 
Na huo mkopo utaurudisha
Mimi Ni kikongwe nimesha maliza kulipia mkopo wangu..

All in all,
Vijana wasipangiwe matumizi ya mkopo (loan) Cha msingi serikali itimize wajibu wake Basi.. Ni Kama vile mtu asivyo pangiwa matumizi ya salary yake..
 
Mbunge wa Iringa Mjini Madam Jesca Mtambasavangu bila kumung'unya maneno ameshutumu vikali tabia ya wanavyuo kutumia Fedha za Mkopo wa Kujikimu Boom kubeti badala ya kusoma na kutumia Kwa malengo yaliyokusudiwa.

Akiongea Bungeni Kwa Uchumi amewashangaa Vijana wanaodhani betting itawatoa kimaisha na kuiasa jamii kwamba kubeti kunaharibu ubongo na kufanya watu wasiwe critical thinker wawe mazezeta.

My Take
Aliwahi toa maoni kama haya Mbunge Getere na yule wa Kahama ila walishambuliwa sana.

Ukweli ni kwamba Wafunzi wanatumia hizi hela kubeti na kufanya starehe zingine.Naunga mkono wazo la kutafuta utaratibu mwingine wa kutoa hii mikopo ikiwezekana wapewe vyakula Wakiwa Chuo na Mahitaji mengine directly badala ya Fedha mkononi.

Kukalia kimya jambo hili Kwa kujifanya eti halipo au kuogopa kutukanwa au kutumika Kisiasa haisaidii jmaii Bali inakuza ujinga.

Uganda huko Maelfu ya Wanafunzi walifukuzwa Chuo Kwa kula ada Kwa sababu za betting.

====

Pia soma:
Yeye pesa ya bum kwa wanafunzi inamuhusu nini? Nani amehoji matumizi ya posho zake za ubunge ,pumbavu
 
Back
Top Bottom