Mnyanyembe wa Mboka
JF-Expert Member
- Feb 10, 2017
- 2,348
- 3,038
"... mtu yeyote mwenye akili akimpa mtu mwenye akili mawazo ya kipumbavu huku akijua kuwa mtu huyo anajua kuwa mawazo aliyopewa ni ya kipumbavu lakini akayakubali basi mtu huyo aliempa mawazo hayo ya kipumbavu atamdharau sana ...."Akizungumza bungeni leo Mheshimiwa Msukuma kadai hakuna Rais aliyedhubutu Kama Magufuli tangu tupate uhuru....
Musukuma asitufanye sisi sote ni wa la Saba Kama yeye. Ni kitu gani cha ajabu ambacho Magufuli amefanya Mtanzania mwingine hawezi?? Angalia mambo ya Nyerere hapa;Akizungumza bungeni leo Mheshimiwa Msukuma kadai hakuna Rais aliyedhubutu Kama Magufuli tangu tupate uhuru...
Hapo ndipo alipoboa. JPM kipenzi cha wengi akamilishe miaka yake 10 na 2025 akabidhi kijiti kwa mwingine. Hizi ngonjera za akina Msukuma ni za kupuuzwa
Wameshaanza tayari na kwakuwa wapo wengi mjengoni utasikia tunafanyia marekebisho vifungu vya katibaAkizungumza bungeni leo Mheshimiwa Msukuma kadai hakuna Rais aliyedhubutu Kama Magufuli tangu tupate uhuru...
Siyo awakumbuke wafanyakazi pekee yao tu bali akumbuke sekta zote yaani wakulima,wafanya biashara na wale wasiyo na ajira wakumbukweTayari
Sasa Nape alikuwa anaongea nini?
Rais akiwakumbuka wafanyakazi tu ataungwa mkono wa ajabu Amalizie miradi
Namkumbuka sana m7 na PaulAfanye juhudi abadili katiba kwanza kama ni kwa kuvunja katiba no.
Bila Jiwe Tz haipo, siku akifa jiwe na Tanzania inakufa, sioni mfu mwingine wa kuiletea tz maendeleo zaidi ya mchato!!!Kani hiyo miradi ni ya Magufuli binafsi au ni ya serikali?
Magufuli akifa kesho hiyo miradi itasimama?
I have to laugh and to take this as a joke.Bila Jiwe Tz haipo, siku akifa jiwe na Tanzania inakufa, sioni mfu mwingine wa kuiletea tz maendeleo zaidi ya mchato!!!
Mule mule. Nkurunzinza na watu wake walirudi kuisoma Katiba neno kwa neno na "wakagundua" kumbe anastahili term ya pili maana ile inayosemekana ilikuwa ya kwanza actually haikuwa ya kwanzaπKama ya late Nkurunzinza sio.
Kauli kama hizi zingeanza kutolewa mwishoni mwa 2024 angalau watu wenye busara wangeziona zina mantiki kidogo ndani yake. Lakini kwa kuwa zilianza kutolewa toka 2017 na hatimaye kuwa ""re-echoed" 2020 na wakina Juma Nkamia na Keisy, huku mara zote meza ya Spika ikionyesha kuzipa uzito.Akizungumza bungeni leo Mheshimiwa Msukuma kadai hakuna Rais aliyedhubutu Kama Magufuli tangu tupate uhuru...
Kwahiyo msukuma siku hizi ameanza kuvuta zilizo expireAkizungumza bungeni leo Mheshimiwa Msukuma kadai hakuna Rais aliyedhubutu Kama Magufuli tangu tupate uhuru..
Mbona hoja yake ya miradi isiyogusa wananchi tuachane nao Ufipa Wote mlishangilia na hamkumuita Darasa la Saba.Saizi ni kilaza BwasheeMusukuma asitufanye sisi sote ni wa la Saba Kama yeye. Ni kitu gani cha ajabu ambacho Magufuli amefanya Mtanzania mwingine hawezi?? Angalia mambo ya Nyerere hapa....
Nchi haitafuti Mpishano wa Viongozi kwenda Ikulu. Bali tuna hitaji kiongozi kama Magufuli Mjomba.Hapo ndipo alipoboa. JPM kipenzi cha wengi akamilishe miaka yake 10 na 2025 akabidhi kijiti kwa mwingine. Hizi ngonjera za akina Msukuma ni za kupuuzwa