NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Baaaaaaaaaaaaaaaaaaassss.
Imeisha iyo tukutane 2030 kupata Rais mpya Inshallah.
Imeisha iyo tukutane 2030 kupata Rais mpya Inshallah.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli ni raisi tunayemuhitaji kwa kipindi kirefu, idgaf about democracy, wewe umemtaja Nyerere mbona hao wengine hujawataja michango yao?for me baada ya Nyerere ni Magufuli, hatuwezi kuwa na democracy inayotuletea viongozi wa ovyo ovyo, mfano Tundu lisu angeshinda 2020, ingekuwa ni miaka mi 5 mipya ya upuuzi, cha msingi Magufuli ana weakness zake, kelele ipigwe ajirekebishe yeye siyo Mungu kuwa hakosei, ndio maana huwa anarudi nyuma na kusahihisha (kusamehe)Musukuma asitufanye sisi sote ni wa la Saba Kama yeye. Ni kitu gani cha ajabu ambacho Magufuli amefanya Mtanzania mwingine hawezi?? Angalia mambo ya Nyerere hapa;
Nyerere alijenga madaraja makubwa kama Kirumi, Selander, Wami, Mara na mengine mengi.
Nyerere alijenga viwanda vya kuchakata mazao ya Pamba, Kahawa, Pareto, Chai, Ngozi, Nyama, Maziwa, Viatu.
Nyerere alinunua Meli na vivuko (Panton) katika maeneo kadhaa nchini.
Nyerere alijenga viwanda vya kutengeneza Vifaa/Zana za kilimo, Mbolea, Madawa, Magurudumu n.k
Wakati wa Nyerere wanafunzi walisoma na kusafiri kwenye usafiri wa umma bure.
Nyerere alijenga Reli ya TAZARA
Pamoja na mambo mengine kede kede na kuwafanya Watanzania kuwa wamoja na upendo bila chuki za kikabila kisiasa au ukanda.
Lakini bado aliondoka madarakani kwa hiari yake mwenyewe (kung'atuka) na hakuogopa ama kuhofia kwamba akiondoka madarakani ni nani atafanya kama yeye!
Vimbwanga vya kutaka kuaminisha watanzania kwamba hakuna mwingine mwenye uwezo wa kufanya kama WEWE yanatokea wapi???
Magufuli hapana ndio maana watanzania wengi walimkataa kwenye box la kura sauti ya wengi ni sauti ya Mungu .Magufuli ni raisi tunayemuhitaji kwa kipindi kirefu, idgaf about democracy, wewe umemtaja Nyerere mbona hao wengine hujawataja michango yao?for me baada ya Nyerere ni Magufuli, hatuwezi kuwa na democracy inayotuletea viongozi wa ovyo ovyo, mfano Tundu lisu angeshinda 2020, ingekuwa ni miaka mi 5 mipya ya upuuzi, cha msingi Magufuli ana weakness zake, kelele ipigwe ajirekebishe yeye siyo Mungu kuwa hakosei, ndio maana huwa anarudi nyuma na kusahihisha (kusamehe)
Hawa politician wengi wanawaza matumbo yao, madaraka, wanadhani wakishafika level flani basi cha mwisho ni kuwa raisi, uzalendo hamna. As long as haki za binadamu zinazingatiwa, Magufuli is my president, ila naye ajirekebishe, mkali sana mpaka wasaidizi wake wanaogopa kumshauri
Kwahiyo kwa akili yako kubwa lissu alikuwa anafaa?ama hashim rungwe?Magufuli
Magufuli hapana ndio maana watanzania wengi walimkataa kwenye box la kura sauti ya wengi ni sauti ya Mungu .
Tume ya taifa ya uchaguzi wangekupa wewe fomu basiKwahiyo kwa akili yako kubwa lissu alikuwa anafaa?ama hashim rungwe?
Kila kiongozi hili jambo ni kawaida. Ni busara zake kuwakatalia. Unakumbuka alikweleza nini Mzee Mwinyi? Kwanini wewe hukubaki madarakani enzi zakoKinacho nistaajabisha hadi sasa wabunge walio ishia la pili c ndio wanao taka JPM aongezewe mda sijui kwanini
Kaanza deo sanga sifa hajui kusoma wala kuandika
Leo msukuma sifa darasa la saba , itakuwa ajabu wabunge wasomi wakiungana na hawa vilaza na walafi wa madaraka.
Akizungumza bungeni leo Mheshimiwa Msukuma kadai hakuna Rais aliyedhubutu Kama Magufuli tangu tupate uhuru.
Akiitolea mfano China yenye maendeleo makubwa huku mihula ya Urais haizingatiwi, kasema sio dhambi kumpa muda zaidi Rais John Magufuli mwenye udhubutu.
Hata hivyo akiichagiza ushauri huoo kwa bunge, Mheshimiwa Spika Job Ndugai alimwambia muda wako umeisha na muda haupo upande wako.
Nashindwa kuipakua video yake Msukuma You Tube na kuiweka humu.
Hivi msukuma anajua lugha ya kichina? Kwa hiyo anataka kukopi china na kupesti Tanzania. Bunge la ndugai tutaona na kusikia mengi.Akizungumza bungeni leo Mheshimiwa Msukuma kadai hakuna Rais aliyedhubutu Kama Magufuli tangu tupate uhuru.
Akiitolea mfano China yenye maendeleo makubwa huku mihula ya Urais haizingatiwi, kasema sio dhambi kumpa muda zaidi Rais John Magufuli mwenye udhubutu.
Hata hivyo akiichagiza ushauri huoo kwa bunge, Mheshimiwa Spika Job Ndugai alimwambia muda wako umeisha na muda haupo upande wako.
Nashindwa kuipakua video yake Msukuma You Tube na kuiweka humu.
Mkuu hivi sisi ambao tunapinga rais kuongezewa muda tunapeleka wapi malalamiko yetu ?.Tayari
Sasa Nape alikuwa anaongea nini?
Rais akiwakumbuka wafanyakazi tu ataungwa mkono wa ajabu Amalizie miradi