Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raha ya Milele umpe ee BwanaTunamtakia kila la heri
Amfuate kaburini akampe.Akizungumza bungeni leo Mheshimiwa Msukuma kadai hakuna Rais aliyedhubutu Kama Magufuli tangu tupate uhuru.
Akiitolea mfano China yenye maendeleo makubwa huku mihula ya Urais haizingatiwi, kasema sio dhambi kumpa muda zaidi Rais John Magufuli mwenye udhubutu.
Hata hivyo akiichagiza ushauri huoo kwa bunge, Mheshimiwa Spika Job Ndugai alimwambia muda wako umeisha na muda haupo upande wako.
Nashindwa kuipakua video yake Msukuma You Tube na kuiweka humu.
Thubutu!Waamishie hiyo mihula kwa Mama la Mama😅😅😅
Wamuongezeee sasa muda.Walijifanya wanampangia Mungu kaziAkizungumza bungeni leo Mheshimiwa Msukuma kadai hakuna Rais aliyedhubutu Kama Magufuli tangu tupate uhuru.
Akiitolea mfano China yenye maendeleo makubwa huku mihula ya Urais haizingatiwi, kasema sio dhambi kumpa muda zaidi Rais John Magufuli mwenye udhubutu.
Hata hivyo akiichagiza ushauri huoo kwa bunge, Mheshimiwa Spika Job Ndugai alimwambia muda wako umeisha na muda haupo upande wako.
Nashindwa kuipakua video yake Msukuma You Tube na kuiweka humu.
Usicheze na MunguSio za kupuuzwa pafukapo moshi pana moto
Mungu kaingilia katiHivi katiba ingebadilishwa na kutoa ukomo maana yake Samia angetawala mpaka aamue mwenyewe kuacha
Si huyu anayetongoza mke wa marehemu msibani!!?
Anapenda Sana K huyu mtuSi huyu anayetongoza mke wa marehemu msibani!!?