Mbunge Joseph Kasheku Msukuma ataka Magufuli apewe Mihula minne ya Miaka 20 ili kukamilisha miradi

Waamishie hiyo mihula kwa Mama la Mama😅😅😅
 
Akizungumza bungeni leo Mheshimiwa Msukuma kadai hakuna Rais aliyedhubutu Kama Magufuli tangu tupate uhuru.

Akiitolea mfano China yenye maendeleo makubwa huku mihula ya Urais haizingatiwi, kasema sio dhambi kumpa muda zaidi Rais John Magufuli mwenye udhubutu.

Hata hivyo akiichagiza ushauri huoo kwa bunge, Mheshimiwa Spika Job Ndugai alimwambia muda wako umeisha na muda haupo upande wako.

Nashindwa kuipakua video yake Msukuma You Tube na kuiweka humu.
Amfuate kaburini akampe.

Huyu msukuma alifikiri Tanzania ni kanda ya ziwa tu?
 
Akizungumza bungeni leo Mheshimiwa Msukuma kadai hakuna Rais aliyedhubutu Kama Magufuli tangu tupate uhuru.

Akiitolea mfano China yenye maendeleo makubwa huku mihula ya Urais haizingatiwi, kasema sio dhambi kumpa muda zaidi Rais John Magufuli mwenye udhubutu.

Hata hivyo akiichagiza ushauri huoo kwa bunge, Mheshimiwa Spika Job Ndugai alimwambia muda wako umeisha na muda haupo upande wako.

Nashindwa kuipakua video yake Msukuma You Tube na kuiweka humu.
Wamuongezeee sasa muda.Walijifanya wanampangia Mungu kazi
 
Msukuma gani wakuu?
FB_IMG_16167925207374298.jpg
FB_IMG_16167903831775749.jpg
 
Back
Top Bottom