Mbunge Joseph Kasheku Musukuma ashindwa kulipa mkopo wa takribani TSh Milioni 400. Apewa Notice

Vipi kwenu kuna aliyefanikiwa kuwa na maisha kama yake?!
 
Wewe mwanamke Bure kabisa ,mwanaume kudaiwa ni kawaida kabisa,kwanza kuwa na vigezo vya kukopesheka ni fahari,ukute wewe huna hata sifa za kukopa japo 1M Kwenye mabenki yetu,achana na mabenki hata kampuni za simu tu nako hukopesheki. I bet,Mimi tu songesha yangu nakopesheka 1M ,Mgodi 200K, achana na mabenki ambako naweza pata Hadi 40M,weka rekodi Yako tuone kama utanizidi.


Pongezi Kwa msukuma
 
Huyu mambo yake mengi anafanya kwa vibuyu sasa naona anaanza kwenda kombo.
 
Sasa wanamuandikia kiingereza, ameelewa kweli??? Si ni kumuonea tu... Sijui sheria zetu zikoje tu
ame employ wasidizi wasomi watamtafsiria kwa lugha yoyote anayoitaka, kiswahili, kisukuma, kinyamwezi etc 😀
 
Mbona hiyo hela ndogo sana, anaweza kuzipata Kwa siku Moja tu akibwabwaja mle mjengoni.

Bandari ya Bagamoyo ipo kwa wasaudi, alipiga kelele tu kidogo anakula chake.
Mpaka kuadhiriwa magazetini na vibenki kama saccos, hilo ni fedheha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…