Mbunge Joseph Kasheku Musukuma ashindwa kulipa mkopo wa takribani TSh Milioni 400. Apewa Notice

🤣🤣🤣 Ila Simagunga kaacha legacy kwenye tasnia ya mabasi aiseee, jamaa wa Equity hawana hamu naye kabisa 🙌.
 
Gazeti la Nipashe pg 4, kwa maandishi madogo, amebandikwa kuwa anadaiwa na taasisi ya mikopo First Housing Finance Tanzania, karibia milioni 400.
Nani anajitolea kwenda kumsomea na kumtafsiria hiyo barua
 
Mtu kudaiwa sio kosa la jinai, ni kawaida sana, na madeni ya watu yana kinga ya the right to privacy, naomba tuheshimu privacy za watu kudaiwa!.

Hizi ndizo hasara za kukopeshwa na vikampuni mshenzi, ukishindwa kulipa, ni kuaibishana!. Ukikopa benki, huwezi kukuta ujinga huu!.

P
 
Kwa huu ujinga uliouandika Msukuma ataendelea kudharau wasomi. Madeni kwenye biashara ni kawaida sana. Hiyo Tsh 400m kwa mtu kama msukuma ni hela ndogo.
 
Majuzi hapa mgodi wake WA dhahabu umetema, kauza si chini ya mil.600
Ila siasa mbaya!
Makodi ya ma vitalu watu wanarepiwa na serikali.... bado investment aliyomwaga hapo kuchimba.... na kwa muda gani ?

Mgodi umetema milioni 600... ngapi hapo faida ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…