The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Huyu jamaa si alikuwa anawacheka wasomi hawana lolote eti yeye ni Darasa la saba lakini. Kumbe mali zote anadaiwaMimi namtizama kama mpambanaji
Halafu ukiona upo mwaka wa uchaguzi ukaona taarifa kama hizi basi jua kuna watu wananufaika na hii habari ndio walio fanya mpango iwekwe gazetini
Siasa zinamambo mengi nyuma ya pazia
Mati ya milioni 13 mpaka 17MKama madiwani hali zao definitely sio nzuri...hivi diwani akistaafu analipwa shilingi ngapi mkuu
Sioni tatizo kudaiwa. Bila shaka DP World wata absorb hayo madeni soon.Msukuma, mwanasiasa mashuhuri anayejitapa kuwa darasa la saba mwenye PhD, biashara sasa zinakwenda kombo.
Gazeti la Nipashe pg 4, kwa maandishi madogo, amebandikwa kuwa anadaiwa na taasisi ya mikopo First Housing Finance Tanzania, karibia milioni 400.
Namshauri tu huyu mwenzetu darasa la saba mwenye PhD, aachane na siasa.
Huna biashara, huijui wala huna akili ya biashara. Biashara ndivyo zilivyo milioni 400 ni pesa ndogo mno ambayo akifanya kazi kwa miezi kadhaa anairudisha. Kama una uchungu na madeni basi ungewashauri Tanzania ambao wanadaiwa zaidi ya Trilioni 91.7 ila waache kukopa. ⤵️Msukuma, mwanasiasa mashuhuri anayejitapa kuwa darasa la saba mwenye PhD, biashara sasa zinakwenda kombo.
Gazeti la Nipashe pg 4, kwa maandishi madogo, amebandikwa kuwa anadaiwa na taasisi ya mikopo First Housing Finance Tanzania, karibia milioni 400.
Namshauri tu huyu mwenzetu darasa la saba mwenye PhD, aachane na siasa.
Msukuma, mwanasiasa mashuhuri anayejitapa kuwa darasa la saba mwenye PhD, biashara sasa zinakwenda kombo.
Gazeti la Nipashe pg 4, kwa maandishi madogo, amebandikwa kuwa anadaiwa na taasisi ya mikopo First Housing Finance Tanzania, karibia milioni 400.
Namshauri tu huyu mwenzetu darasa la saba mwenye PhD, aachane na siasa.
Google translator inaweza kusaidia, lakini akiona hizo number atajua nini alifanya. Kila la heriSasa wanamuandikia kiingereza, ameelewa kweli??? Si ni kumuonea tu... Sijui sheria zetu zikoje tu
walipe hawa wajingaHata akilipwa, hapati yeye inaenda kwenye deni.
Hata madiwani ni hivyo hivyo.
Huwa wakipata tu, nafasi wanakopea hayo maslahi wanalipa madeni ya uchaguzi.
Wengi ni njaa kali mdio maana wanayumba kila siku, misimamo njaa
Mbona hajalipa sasa?? Au haujui kuwa kutangazwa kwenye media kuwa unadaiwa ni degrading??Umeona ni deni kubwa wakati hapo akiuza asset moja au land cruiser zake mbili analipa deni
Pesa inaelewa lugha zote.Sasa wanamuandikia kiingereza, ameelewa kweli??? Si ni kumuonea tu... Sijui sheria zetu zikoje tu
Mbona anasubiri mpaka adhalilishwe??Deni dogo sana kwa aina y uwekezaji wake
Mbona kama umefurahia mkuu?Msukuma, mwanasiasa mashuhuri anayejitapa kuwa darasa la saba mwenye PhD, biashara sasa zinakwenda kombo.
Gazeti la Nipashe pg 4, kwa maandishi madogo, amebandikwa kuwa anadaiwa na taasisi ya mikopo First Housing Finance Tanzania, karibia milioni 400.
Namshauri tu huyu mwenzetu darasa la saba mwenye PhD, aachane na siasa.
Kwa hiyo mtu akibaka hapaswi kushitakiwa eti kisa siasa??Mimi namtizama kama mpambanaji
Halafu ukiona upo mwaka wa uchaguzi ukaona taarifa kama hizi basi jua kuna watu wananufaika na hii habari ndio walio fanya mpango iwekwe gazetini
Siasa zinamambo mengi nyuma ya pazia
Jamaa hesabu zake zilikua kuliko kutoa ela mfukoni kulipa huo mkopo ni bora kununua TATA Busses ambazo amezimwaga barabarani maokoto yakalipie mkopo ..ngoja tuone hesabu za Darasa la 7b tuchukue notice na kujifunza.Msukuma, mwanasiasa mashuhuri anayejitapa kuwa darasa la saba mwenye PhD, biashara sasa zinakwenda kombo.
Gazeti la Nipashe pg 4, kwa maandishi madogo, amebandikwa kuwa anadaiwa na taasisi ya mikopo First Housing Finance Tanzania, karibia milioni 400.
Namshauri tu huyu mwenzetu darasa la saba mwenye PhD, aachane na siasa.
Mbona kama umefurahia mkuu?
Anachonga sana dhidi ya wasomi huyu darasa la saba!Mbona kama umefurahia mkuu?
Sifa za kuwa mwanachama,ni uwe mdaiwa mkubwa,au omba omba, au mlevi sana au mzururaji au Malay.. au chawa.Msukuma, mwanasiasa mashuhuri anayejitapa kuwa darasa la saba mwenye PhD, biashara sasa zinakwenda kombo.
Gazeti la Nipashe pg 4, kwa maandishi madogo, amebandikwa kuwa anadaiwa na taasisi ya mikopo First Housing Finance Tanzania, karibia milioni 400.
Namshauri tu huyu mwenzetu darasa la saba mwenye PhD, aachane na siasa.
Mikopo ina machungu, na Msukuma anaonja joto la jiwe.wakopaji ndiyo wanaoendesha uchumi wa nchi.bank na financial isntutions haziwezi kuendelea bila mikopo.Nampongeza pia,kudaiwa 400m maana yake ni moja ya wafanyabiashara.Wake chini walistructure huo mkopo ili uwezw kulipika.Kama umeona hapo rIba ni kubwa kuliko principle amount.ndiyo ujue riba ya bank ilivyo kichomi
Afu kumbe ni shabiki wa Uto.Alinunua hii chuma.
View attachment 3236326
Alipataje ujasiri wa kununua VXR,wakati anadaiwa about 400 million??
Hapo ni lazima awe Chawa kweri kweri !Msukuma, mwanasiasa mashuhuri anayejitapa kuwa darasa la saba mwenye PhD, biashara sasa zinakwenda kombo.