Mbunge Joseph Kasheku Musukuma ashindwa kulipa mkopo wa takribani TSh Milioni 400. Apewa Notice

Mimi namtizama kama mpambanaji

Halafu ukiona upo mwaka wa uchaguzi ukaona taarifa kama hizi basi jua kuna watu wananufaika na hii habari ndio walio fanya mpango iwekwe gazetini

Siasa zinamambo mengi nyuma ya pazia
Huyu jamaa si alikuwa anawacheka wasomi hawana lolote eti yeye ni Darasa la saba lakini. Kumbe mali zote anadaiwa
 
Msukuma, mwanasiasa mashuhuri anayejitapa kuwa darasa la saba mwenye PhD, biashara sasa zinakwenda kombo.

Gazeti la Nipashe pg 4, kwa maandishi madogo, amebandikwa kuwa anadaiwa na taasisi ya mikopo First Housing Finance Tanzania, karibia milioni 400.

Namshauri tu huyu mwenzetu darasa la saba mwenye PhD, aachane na siasa.
Sioni tatizo kudaiwa. Bila shaka DP World wata absorb hayo madeni soon.
 
Msukuma, mwanasiasa mashuhuri anayejitapa kuwa darasa la saba mwenye PhD, biashara sasa zinakwenda kombo.

Gazeti la Nipashe pg 4, kwa maandishi madogo, amebandikwa kuwa anadaiwa na taasisi ya mikopo First Housing Finance Tanzania, karibia milioni 400.

Namshauri tu huyu mwenzetu darasa la saba mwenye PhD, aachane na siasa.
Huna biashara, huijui wala huna akili ya biashara. Biashara ndivyo zilivyo milioni 400 ni pesa ndogo mno ambayo akifanya kazi kwa miezi kadhaa anairudisha. Kama una uchungu na madeni basi ungewashauri Tanzania ambao wanadaiwa zaidi ya Trilioni 91.7 ila waache kukopa. ⤵️

Msukuma, mwanasiasa mashuhuri anayejitapa kuwa darasa la saba mwenye PhD, biashara sasa zinakwenda kombo.

Gazeti la Nipashe pg 4, kwa maandishi madogo, amebandikwa kuwa anadaiwa na taasisi ya mikopo First Housing Finance Tanzania, karibia milioni 400.

Namshauri tu huyu mwenzetu darasa la saba mwenye PhD, aachane na siasa.

wakopaji ndiyo wanaoendesha uchumi wa nchi.bank na financial isntutions haziwezi kuendelea bila mikopo.Nampongeza pia,kudaiwa 400m maana yake ni moja ya wafanyabiashara.Wake chini walistructure huo mkopo ili uwezw kulipika.Kama umeona hapo rIba ni kubwa kuliko principle amount.ndiyo ujue riba ya bank ilivyo kichomi
 
Hata akilipwa, hapati yeye inaenda kwenye deni.

Hata madiwani ni hivyo hivyo.

Huwa wakipata tu, nafasi wanakopea hayo maslahi wanalipa madeni ya uchaguzi.

Wengi ni njaa kali mdio maana wanayumba kila siku, misimamo njaa
walipe hawa wajinga
 
Msukuma, mwanasiasa mashuhuri anayejitapa kuwa darasa la saba mwenye PhD, biashara sasa zinakwenda kombo.

Gazeti la Nipashe pg 4, kwa maandishi madogo, amebandikwa kuwa anadaiwa na taasisi ya mikopo First Housing Finance Tanzania, karibia milioni 400.

Namshauri tu huyu mwenzetu darasa la saba mwenye PhD, aachane na siasa.
Mbona kama umefurahia mkuu?
 
Mimi namtizama kama mpambanaji

Halafu ukiona upo mwaka wa uchaguzi ukaona taarifa kama hizi basi jua kuna watu wananufaika na hii habari ndio walio fanya mpango iwekwe gazetini

Siasa zinamambo mengi nyuma ya pazia
Kwa hiyo mtu akibaka hapaswi kushitakiwa eti kisa siasa??
 
Msukuma, mwanasiasa mashuhuri anayejitapa kuwa darasa la saba mwenye PhD, biashara sasa zinakwenda kombo.

Gazeti la Nipashe pg 4, kwa maandishi madogo, amebandikwa kuwa anadaiwa na taasisi ya mikopo First Housing Finance Tanzania, karibia milioni 400.

Namshauri tu huyu mwenzetu darasa la saba mwenye PhD, aachane na siasa.
Jamaa hesabu zake zilikua kuliko kutoa ela mfukoni kulipa huo mkopo ni bora kununua TATA Busses ambazo amezimwaga barabarani maokoto yakalipie mkopo ..ngoja tuone hesabu za Darasa la 7b tuchukue notice na kujifunza.
 
Msukuma, mwanasiasa mashuhuri anayejitapa kuwa darasa la saba mwenye PhD, biashara sasa zinakwenda kombo.

Gazeti la Nipashe pg 4, kwa maandishi madogo, amebandikwa kuwa anadaiwa na taasisi ya mikopo First Housing Finance Tanzania, karibia milioni 400.

Namshauri tu huyu mwenzetu darasa la saba mwenye PhD, aachane na siasa.
Sifa za kuwa mwanachama,ni uwe mdaiwa mkubwa,au omba omba, au mlevi sana au mzururaji au Malay.. au chawa.
 
Attachments

  • Screenshot_20250216-182754_1.jpg
    Screenshot_20250216-182754_1.jpg
    363.2 KB · Views: 3
wakopaji ndiyo wanaoendesha uchumi wa nchi.bank na financial isntutions haziwezi kuendelea bila mikopo.Nampongeza pia,kudaiwa 400m maana yake ni moja ya wafanyabiashara.Wake chini walistructure huo mkopo ili uwezw kulipika.Kama umeona hapo rIba ni kubwa kuliko principle amount.ndiyo ujue riba ya bank ilivyo kichomi
Mikopo ina machungu, na Msukuma anaonja joto la jiwe.
Tunajua anauwezo wa kulilipa lakini jinsi unavyochelewa kulipa ndiyo unalipa ile hewa itokanayo na riba!
 
Msukuma, mwanasiasa mashuhuri anayejitapa kuwa darasa la saba mwenye PhD, biashara sasa zinakwenda kombo.

Gazeti la Nipashe pg 4, kwa maandishi madogo, amebandikwa kuwa anadaiwa na taasisi ya mikopo First Housing Finance Tanzania, karibia milioni 400.

Namshauri tu huyu mwenzetu darasa la saba mwenye PhD, aachane na siasa.
Hapo ni lazima awe Chawa kweri kweri !
 
Back
Top Bottom