Kwa nini usilipie 18% huko huko Zenji ili ukifika bara unakuwa ushamaliza kila kitu vinginevyo bara Wana tamaa na hakuna muungano wa kulipa kodi mara 2 kwenye nchi moja.Zanzibar VAT ni 15% wakati bara VAT ni 18% .... ukileta kitu bara hiyo 3% ndo inakatwa ili kuweka uwiano sawaaa uwe umelipa 18% kama bidhaa nyingine
Basi huo ni muungano bandia,Unanunua bidhaa kutoka nchi nyingine kwanini usilipe Kodi? Wala hawakosei kukutwanga Kodi, Zanzibar Kuna raisi pale, hivyo Ile ni nchi.. ukileta bidhaa huku bara, tayari unakuwa umeingiza kwenye nchi nyingine ambayo ni Tanzania, maana huku nako Kuna raisi....
Sisi mbumbumbu?Ila nyie wabara ni mambumbu,mngekaacha huru kazenji haya yote yasingetokea....tatizo ni kukang'ang'ania.
Muungano uvunje sasa,kila mtu abaki na chake......lakini mbona kama bara ndio wanautaka sana Huu muungano kuliko watu wa Visiwani.kama nchi ni moja, kwanini kule kuna rais (sio Rais), pia watu wa bara hawaruhusiwi kununua/kumiliki ardhi kule wakati wao wanamiliki ardhi kwetu, kwanini wana chuki sana na wabara wakati wao ndio wanafaidika zaidi kuliko sisi wabara? au wanadeka?
Kuna haja ya kutokuwa na Muungano kwa hali hii.Nilimgomea uhamiaji kulipia TV akasalimu amri nikaondoka nayo
Wizi tu
Cramping tool, ni kama plaiz?A
Acha kupotosha watu wewe,hata kama unaenda zanzibar kama una kitu ambacho kinaonekana labda umekinunua lazima ukilipie tu,itategemea na ukubwa wake,au wingi wake.HlMimi siku moja nimebeba cramping tool moja,na ninaenda kufanyia kazi huko,na nina vifaa vingine,ambavyo nilikuwa na barua ya TRA,havikuwa na shida,hii moja nilikuwa nimeibeba mkononi tu,nimefika unguja ZRA wakanikomalia ikawa inshu kubwa,wakati kwenye delivery note imo ila TRA,walisahau kuiandika!!Hadi boss wao ndio alikuja kuli solve!!,nimetoka unguja kwenda pemba nako wakakomaa!!lakini badaye wakaelewa!!!Inshu ikaja tena kwenye vifaa vilivyobakia baada ya kumaliza kazi kuvirudisha tena Dar,ikawa inshu,ila vilifika.Tuwe wakweli usumbufu ni mkubwa sana.Huo muungano unafaida kisiasa tu,lakini kiuchumi hapana.
Ni maridhiano tu, tena waweke tangazo kabisa HAKUNA KULIPAKuna haja ya kutokuwa na Muungano kwa hali hii.
Yaaa ni kifaa cha kubania lugs na waya!!ilikuwa kweye box lake wakajua nimetoka dar kuinunua hivyo niilipie kodi!!!Cramping tool, ni kama plaiz?
Ndio hadi ulipie?
Kumbe ni shida.
Cramping tool, ni kama plaiz?
Ndio hadi ulipie?
Kumbe ni shida.
Kodi haipo miongoni mwa mambo ys muunganoKwa nini usilipie 18% huko huko Zenji ili ukifika bara unakuwa ushamaliza kila kitu vinginevyo bara Wana tamaa na hakuna muungano wa kulipa kodi mara 2 kwenye nchi moja.
Kwani uraia wa hao watu wanaopitisha mizigo haufahamiki?Wakisema waache kutoza Kodi Italeta mianya ya ukwepaji Kodi , kwamba hata wamalawi watapitisha mizigo Zanzibar wakisingizia umetoka Zanzibar kumbe la
Zanzibar, kama tutatumia akili timamu ni mkoa sawa na mikoa mingine kama kweli tumeungana na siyo longolongo na siasia za wanasiasaKero ni Mzanzibari, kisiwa chenye idadi ya watu milioni 1, kuongoza Bara kwenye watu millioni 60. Tuanzie hapo kwanza.
Umeongea kama Commissioner mkuu wa TRAVitu vingi huanzia kwenye kimoja kimoja
Ukisamehe kimoja umesamehe vingi
Nadhani Kuna vitu hujaelewa, mtu anakwepaje Kodi ili hali huo mzigo umeingia Zanzibar na ZRB wametoza Kodi? Mtu anapaswa kulipia ushuru wa matumizi ya bandari na si Kodi. Kwani huyo mmalawi hawezi kununua kitu Morogoro,Dar au Mbeya?Wakisema waache kutoza Kodi Italeta mianya ya ukwepaji Kodi , kwamba hata wamalawi watapitisha mizigo Zanzibar wakisingizia umetoka Zanzibar kumbe la
viongozi ndio wanautaka ndugu. ila ukweli wakiweka referendum leo hii, utashangaa wazanzibar ndio wanataka kwasababu hakuna mbara anayeukubali ambaye hafaidiki nao.Muungano uvunje sasa,kila mtu abaki na chake......lakini mbona kama bara ndio wanautaka sana Huu muungano kuliko watu wa Visiwani.
Hana hoja. Sheria wamezitunga wenyewe. Asome sheria inayosimamia kuhamisha bidhaa kutoka Zanzibar kuja Tanzania. TRA hawakurupuki.Ana hoja..asikilizwe