Mbunge Masaburi: Kuna wabunge na viongozi mashoga

WAPO HATA WANANCHI TUNAWAJUA
 
Badala ya kujadili ripoti ya CAG naona tumehamia rasmi kwenye hoja zisizo na msingi.
 
Akikazia hapo kwenye VIONGOZI, kuna sehemu atafika..........utamsikia akisema, "....nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana....."
Kwa hyo umeitikia wito unaanza kuwataja ila kwa codes!
 
Kelele hazitasaidia mama, kama wamo bungeni au serikalini subiri vipindi vyao viishe ndipo muwashughulikie, kwa hivyo mlivyo hamuwezi kushughulikiana mkiwa wote ni familia ya kijani
 
Huenda hivi vita mlivyoanzisha vikawa vigumu hasa pale Mbunge anaposimama mbele ya bunge tukufu la wana-CCM na kukiri kuwa Kuna wabunge wenye tabia hizo.

Hizi sio taarifa nyepesi hata kidogo, japo mambo haya yamezungumzwa ndani ya Bunge ila ni muhimu Mwenyekiti wa CCM akemee wabunge wake waachane na USHOGA.

Kumbe wanawasingizia CHADEMA Bure wakati wao ndio vinara .
Video hii hapa, kama huna bando ni tatizo lako sasa sio Mimi tena.

Angalizo, Moderator msifute ushahidi huo hapo

Your browser is not able to display this video.
 
Alisema jamaa, ukishaonja nyama ya mtu aisee lazma urudie tena na tena...! Hali ni mbaya sana.
 
Wapo bungeni kumbe wanapasuana na spika
Innalillahi wainna illah rajiuun mswibaa huu sheikh
 
Kwa kuwa wanaogopana kutajana huko basi tuwataje hapahapa jamii forum ili tuanze kuwashughulikia kimyakimya ambao hatupendi huu upumbafu.Nawakaribisha wanaowafahamu wawataje na iwe kweli
Halima anamsaga Esta
 
"Vitendo visivyo vya kiasili bungeni"

Kumbe inawezekana kule bungeni tuna wanyama, hatuna binadamu, ndio maana siku zote wamekuwa wakifanya mambo yasiyoeleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…