Mbunge: Mbowe alidanganya Watanzania, Biashara zake hazikufungwa na Serikali bali Wanafamilia yake

Haya mazombie bado yanaendelea na upuuzi wao wa kujadili watu badala ya kujadili hoja zilizowapeleka pale.
 
Huyo Ngonyani ni waziri wa biashara?
 
Reactions: Pep

kwani aliposema biashara zake zilifungwa , nani alishtuka nchini?
 
Jackline ngonyani namfahamu amemtaka mbowe kimapenzi kwa muda mrefu sana na jamaa kamtolea nje sishangai anapotoa tuhuma hizi kwa mbowe. Pole sana jack
 
Kama suala ni uongo basi niulizie kwa nini Mh. Waziri mkuu alitudanganya wananchi kuwa Mh. Rais Magufuli ni mzima na anaendelea kuchapa kazi km kawaida ilihali akijua ni uongo?
 
Jackline ngonyani namfahamu amemtaka mbowe kimapenzi kwa muda mrefu sana na jamaa kamtolea nje sishangai anapotoa tuhuma hizi kwa mbowe. Pole sana jack
Kwahyo bi dada ndo kusema anatumia kodi zetu kulilia wivu badala ya kutema madini bungeni?
 
Dj fly to KIA baby.

Hela zote amelewa konyagi na kuanguka nyumbani kwa hawara Joyce Mkuya.

Nyumbu wanashangilia tu
 
Siku hizi jukwaa la siasa sio la kujadili hoja bali limekuwa jukwaa la mipasho na kutukanana tu.........
 
Viti maalum visinhekuwapo kikatiba tungekuwa hatusikii UHARO wa wadada kama huyu Ngonyani.

Tu assume kweli Mbowe alikuwa mpangaji kwenye nyumba za NHC, tu-assume vile vile kuwa alikuwa halipi deni la Serikali.

LAKINI TUJIULIZE, kweli ile ilikuwa ni AKILI au MATOPE ya Serikali ya Magufuli kubomoa lile jengo?

Je njia zinginne za Serikali kupata kodi yake zilikwisha hadi inaonekana kubomoa ndiyo suluhisho?

Kama ndivyo tutabomoa majengo ya wapangaji wangapi ambao wanadaiwa na Serikali?

Mwendazake ilikuwa ni LAANA na nafuu imeondoka ndani ya miaka 5 kabla haijaharibu uchumi wa nchi yetu nzuri.
 
Bwanaa wee nyie binukeni laleni chuchumaeni ila hali iliyokuwepo hakuna aliyekuwa haioni.
 
Mbowe alisema akaunti zimefungiwa siyo biashara.

Huyo mbunge hata akiulizwa Bills ilikuwa mtaa gani hajui.
Yeye angepambana kuwatetea wakulima wa mahindi wa Songea na barabara na madaraja ya Lizaboni,Mfaranyaki,Mpitimbi na Ndelenyuma.
Haya ndio maudhi ya Ubunge wa viti maalumu. Ni gharama isiyo na maana kwa walipa kodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…