Mbunge Miraji Mtaturu amponda Tundu Lissu, asema hata Mbowe alimshtukia Baada ya kupokelewa na WATU kiduchu. Adai amerudi alikotoka kimya kimya!

Mtaturu atulize mshono wenye jimbo wamerudi aache kulialia na kutafuta sympathy!!
 
Mtaturu ni upinde abishe tumuumbue

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kwani kuhoji visima sio sehemu ya maendeleo?
Acheni janja janja

Visima akahoji kwa Sabodo. Sabodo alitoa pesa shilingi ngapi?. Huyo amezidiwa mpaka ameanza kuropoka.
 
Mwekezaji nae analia wana Ikungi wavivu sana wakipata pesa wanapotea kwenda kupiga majungu zikiisha wanarudi kibaruani mbunge ahimize wana Ikungi wafanye kazi sio kupiga Domo.
 
Huyu mzee anashida sana. Bora mbaki naye huko huko ccm
 
Anajaribu kujikosha kwa wananchi 🤣🤣🤣 akae kwa kutulia hekaheka zinaanza rasmi 2025 hana chake maan hakuna tena mamb za ... nireteeeenii gwajimaaaa nireteeeenii gwajimaaaa nireteeeenii gwajimaaaa!!
 
Anajaribu kujikosha kwa wananchi 🤣🤣🤣 akae kwa kutulia hekaheka zinaanza rasmi 2025 hana chake maan hakuna tena mamb za ... nireteeeenii gwajimaaaa nireteeeenii gwajimaaaa nireteeeenii gwajimaaaa!!

Huyo kupewa ubunge kajiona wa maana.
 
Too shallow kuzungumzwa na mtu wa aina yake
 
Mwambie huyu Mirija tunahitaji maendeleo sisi watanzania, hatumhitaji Lissu ok,

Shida yetu watanzania sio Lissu, Lissu wake huyo ni Mtanzania mwenzetu na kama amempenda amfuate ubelgiji, tuna shida nyingi aache uji***a
 
Huyu kapaniki kwenye jimbo la Ikungi Lissu anakubalika kuliko yeye,huyu mzee asipojiangalia 2025 Jimbo linarudi Chadema,Sehemu za Ikungi,Puma,Mungaa,Siuyu ,Misughaa na Ntutu ndani ndani huko bado wanamkubali Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…