Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi Pia Ni mzanzibar Wa kuzaliwa Niko Tanganyika Tangu mwaka 1988 Nilipohamia Huku kwa Ajili ya Masomo Nikafikia Tanga kuendelea na Masomo ya Secondary......Waznz walioko Unguja na Pemba ndio watachukia muungano.
..Waznz walioko huku Tanganyika wanaopenda muungano kwasababu wanafaidika nao.
..Na Wazn walioko huku Tanganyika idadi yao ni kubwa sana. Ni kubwa kuliko Watanganyika walioko Znz.
Hawawezi kukubali, huu muungano unawanufaisha zaidi viongozi kuliko wananchi,Yaani mambo ya kijinga sana...
Kura ya maoni iitishwe kuhusu Muungano.
na yeye akija bara aje na passport? na passprt yenyewe ya tanzania au ya zanzibar?Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria.
Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais Makamu wa Rais kwa mwaka 2024/25 leo Jumanne Aprili 24,2024, Issa amesema lengo ni kuvilinda visiwa hivyo.
“Kwa nini waliweka pasipoti (hati za kusafiria) visiwa vile vinahitaji kulindwa, mimi sikubaliani na suala la kutovilinda visiwa saa hizi. Sasa hivi Zanzibar imejaa watu na tunavyoendelea hawatakuwa na sehemu ya kuishi,”amesema.
Issa amempongeza, hayati Abeid Karume kwa kujenga maghorofa yale (hakusema yako wapi) kwa kuwa alitaka Wazanzibar wote wakae humo, kwa sababu aliona ardhi ni ndogo sana.
“Sasa hivi ukienda pale Zanzibar utakuta viwanja vimechukuliwa, miti imekatwa, kulikuwa na zao la mikarafuu haliko tena, imebakia Pemba tu na kule Pemba linakwenda kuisha minazi hakuna sasa hivi tunaagiza kutoka Mafia ,”amesema.
Amesema jambo hilo sio zuri na hata ajira za watalii hawapati tena Wazanzibar wanaofanya kazi hizo ni wageni.
=====
My Take
Serikali puuzeni huu ushauri Ili mwisho wa siku tuwe na Tanzania Moja japo ana hoja na asikilizwe na kujibiwa Kwa hoja.
Na anafanana kwa kila hali na mbunge wa Tanganyika mwenye eneo sawa na nchi nzima ya kwao.Hawawezi kukubali, huu muungano unawanufaisha zaidi viongozi kuliko wananchi,
Eneo la Zanzibar lenye watu wachache kuliko wilaya ya Kinondoni yenye wabunge 4, lina wabumge 50 bungeni akiwemo huyu mpuuzi
Wanalipwa Kila kitu sawa, Hadi posho ya mafuta litaNa anafanana kwa kila hali na mbunge wa Tanganyika mwenye eneo sawa na nchi nzima ya kwao.
Wanalpwa sawa, hadi posho ya mafuta ya gari,Na anafanana kwa kila hali na mbunge wa Tanganyika mwenye eneo sawa na nchi nzima ya kwao.
Duh kumbe tusimlaumu bure. Hatari sana!Ajenda hii ilianza zamani,Nyerere aligizwa na akalishwa kiapo.Uhuru ulikuja na changamoto zake.
Nimeingia mbona hakuna taarifa zake za msingi zozote zinazotokea?Muangalieni hapa kwenye profile ya bunge its so sad
Bunge Polis
www.parliament.go.tz
Maana yake hana tachukuweka humoNimeingia mbona hakuna taarifa zake za msingi zozote zinazotokea?
Sidhani kama bara wanataka huu muungano, Sema viongozi wa bara muungano kwao una faidaWazenji wako tayari hata kesho,Bara ndio hawataki.
Kwamba Taiwan na Hong ziwe Nchi huru na jirani ya China? Thubutu.
Huyu ni wa kumpuuza lakini awajibishwe indirectly.Huyu Mbunge sijui ana umri gani! Wazanzibar walijaribu hilo miaka ya nyuma Wabunge wa Tanganyika wakasema nao waje kwa Passport. Wazanzibar waliondoa utaratibu ndani ya siku 7. Mwalimu Nyerere alisikia akaacha Bunge liwakaange!
Mbunge huyo aliyechaguliwa na watu 2,500 anasema watu wamejaa Zanzibar hakuna ardhi! Huyu sijui ana elimu gani. Anayeuza Ardhi kwa Wataliano ni Hussein Mwinyi. Visiwa vyote vimeuzwa.
Pili, huyu Mbunge wa watu 2,500 anatamani Zanzibar ya watu Laki 3 hajui kwamba population ni takribani 2 Milioni na 1.4 Milioni kwa takwimu za senasa wanaishi Tanganyika
Tungefurahi sana wakirudisha utaratibu wa Passport! Tena ikiwezekana wiki ijayo
JokaKuu Mag3 Pascal Mayalla
I think is time tuwaachie , tumeeapa priority sana lakin sasa wanajawa na kiburi. Enough is EnoughIla wazenji tunavyowa treat kama mwanamke asiyekutaka waziwazi lakini wewe unamng'ang'ania.
Kwetu wanapaita Tanzania bara kwao ni zanzibar. Si uvunjwe tu huu muungano kila mtu abaki nchini mwake
Mwenzao majuzi, tena waziri wa serikali yaa Zanzibar, eti anamwomba rais wa Tanzania Bara wawajengee barabara/ daraja kwenda Zanzibar!Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria.
Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais Makamu wa Rais kwa mwaka 2024/25 leo Jumanne Aprili 24,2024, Issa amesema lengo ni kuvilinda visiwa hivyo.
“Kwa nini waliweka pasipoti (hati za kusafiria) visiwa vile vinahitaji kulindwa, mimi sikubaliani na suala la kutovilinda visiwa saa hizi. Sasa hivi Zanzibar imejaa watu na tunavyoendelea hawatakuwa na sehemu ya kuishi,”amesema.
Issa amempongeza, hayati Abeid Karume kwa kujenga maghorofa yale (hakusema yako wapi) kwa kuwa alitaka Wazanzibar wote wakae humo, kwa sababu aliona ardhi ni ndogo sana.
“Sasa hivi ukienda pale Zanzibar utakuta viwanja vimechukuliwa, miti imekatwa, kulikuwa na zao la mikarafuu haliko tena, imebakia Pemba tu na kule Pemba linakwenda kuisha minazi hakuna sasa hivi tunaagiza kutoka Mafia ,”amesema.
Amesema jambo hilo sio zuri na hata ajira za watalii hawapati tena Wazanzibar wanaofanya kazi hizo ni wageni.
=====
My Take
Serikali puuzeni huu ushauri Ili mwisho wa siku tuwe na Tanzania Moja japo ana hoja na asikilizwe na kujibiwa Kwa hoja.
Nilitaka uliseme hilo mwenyewe 😃Maana yake hana tachukuweka humo
Yaani nitoke Mbeya kwenda Zenji kwa Passport halafu wao waingie hivi hivi kama anatoka Micheweni anaenda forodhani?Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria.