Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Na wao pia bara wakija waje na viambata hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂 Una utani na Wazanzibar weweOption bora zaidi ni kuifanya kuwa Mkoa tu. Peleka Jeshi, vunja mamlaka zote za kipuuzi, Makonda ahamishiwe huko kama Mkuu wa Mkoa.
Atakayezingua ahamie kwa wajomba zake Oman. Maana hawa wapuuzi wanachosha sana, vichwani ni empty kabisa yaani.
Passport sio hati ya kuruhusi kuingiza ni nyingine. Ni hati ya kumruhusu mtu kusafiri kutokea katika nchi yake. Je, Hawa Zanzibar visa wanatolea wapi? Wana ubalozi hapa Tanganyika?Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria.
Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais Makamu wa Rais kwa mwaka 2024/25 leo Jumanne Aprili 24,2024, Issa amesema lengo ni kuvilinda visiwa hivyo.
“Kwa nini waliweka pasipoti (hati za kusafiria) visiwa vile vinahitaji kulindwa, mimi sikubaliani na suala la kutovilinda visiwa saa hizi. Sasa hivi Zanzibar imejaa watu na tunavyoendelea hawatakuwa na sehemu ya kuishi,”amesema.
Issa amempongeza, hayati Abeid Karume kwa kujenga maghorofa yale (hakusema yako wapi) kwa kuwa alitaka Wazanzibar wote wakae humo, kwa sababu aliona ardhi ni ndogo sana.
“Sasa hivi ukienda pale Zanzibar utakuta viwanja vimechukuliwa, miti imekatwa, kulikuwa na zao la mikarafuu haliko tena, imebakia Pemba tu na kule Pemba linakwenda kuisha minazi hakuna sasa hivi tunaagiza kutoka Mafia ,”amesema.
Amesema jambo hilo sio zuri na hata ajira za watalii hawapati tena Wazanzibar wanaofanya kazi hizo ni wageni.
=====
My Take
Serikali puuzeni huu ushauri Ili mwisho wa siku tuwe na Tanzania Moja japo ana hoja na asikilizwe na kujibiwa Kwa hoja.
Ndio ushangae mkuu, mmoja hataki watu waongezeke wanamaliza ardhi Yao,Mwenzao majuzi, tena waziri wa serikali yaa Zanzibar, eti anamwomba rais wa Tanzania Bara wawajengee barabara/ daraja kwenda Zanzibar!
Watanganyika walioko kule ni wapangapi? hawana haki ya kumiliki ardhi kama Wataliano au wa Oman..lakini Wazanzibari walioko Tanganyika ni wengi kuliko Watanganyika walioko Zanzibar.
..Mheshimiwa mbunge akajipange upya kuhusu suala la Watanganyika kuvijaza visiwa vya Ugunja na Pemba.
Cc Nguruvi3
Wengi Fikra zao juu ya Watu wa bara zimejaa makamasi. Wanakera hata kujadili nao.🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂 Una utani na Wazanzibar wewe
Unguja apewe DABOption bora zaidi ni kuifanya kuwa Mkoa tu. Peleka Jeshi, vunja mamlaka zote za kipuuzi, Makonda ahamishiwe huko kama Mkuu wa Mkoa.
Atakayezingua ahamie kwa wajomba zake Oman. Maana hawa wapuuzi wanachosha sana, vichwani ni empty kabisa yaani.
Hii takwimu imo kwenye sensa?Sensa ya Taifa inaonyesha takribani 1.2 Milioni wanaishi Tanganyika yaani zaidi ya wakazi wa Zanzibar at any time
Huyo anatakiwa aelimishwe tu kwamba Wazanzibari wanaitegemea Tanganyika kuliko watanganyika wanavyoitegemea Zanzibar.Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria.
Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais Makamu wa Rais kwa mwaka 2024/25 leo Jumanne Aprili 24,2024, Issa amesema lengo ni kuvilinda visiwa hivyo.
“Kwa nini waliweka pasipoti (hati za kusafiria) visiwa vile vinahitaji kulindwa, mimi sikubaliani na suala la kutovilinda visiwa saa hizi. Sasa hivi Zanzibar imejaa watu na tunavyoendelea hawatakuwa na sehemu ya kuishi,”amesema.
Issa amempongeza, hayati Abeid Karume kwa kujenga maghorofa yale (hakusema yako wapi) kwa kuwa alitaka Wazanzibar wote wakae humo, kwa sababu aliona ardhi ni ndogo sana.
“Sasa hivi ukienda pale Zanzibar utakuta viwanja vimechukuliwa, miti imekatwa, kulikuwa na zao la mikarafuu haliko tena, imebakia Pemba tu na kule Pemba linakwenda kuisha minazi hakuna sasa hivi tunaagiza kutoka Mafia ,”amesema.
Amesema jambo hilo sio zuri na hata ajira za watalii hawapati tena Wazanzibar wanaofanya kazi hizo ni wageni.
=====
My Take
Serikali puuzeni huu ushauri Ili mwisho wa siku tuwe na Tanzania Moja japo ana hoja na asikilizwe na kujibiwa Kwa hoja.
Wazanzibar sometimes huwa wapuuzi sana.Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria.
Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais Makamu wa Rais kwa mwaka 2024/25 leo Jumanne Aprili 24,2024, Issa amesema lengo ni kuvilinda visiwa hivyo.
“Kwa nini waliweka pasipoti (hati za kusafiria) visiwa vile vinahitaji kulindwa, mimi sikubaliani na suala la kutovilinda visiwa saa hizi. Sasa hivi Zanzibar imejaa watu na tunavyoendelea hawatakuwa na sehemu ya kuishi,”amesema.
Issa amempongeza, hayati Abeid Karume kwa kujenga maghorofa yale (hakusema yako wapi) kwa kuwa alitaka Wazanzibar wote wakae humo, kwa sababu aliona ardhi ni ndogo sana.
“Sasa hivi ukienda pale Zanzibar utakuta viwanja vimechukuliwa, miti imekatwa, kulikuwa na zao la mikarafuu haliko tena, imebakia Pemba tu na kule Pemba linakwenda kuisha minazi hakuna sasa hivi tunaagiza kutoka Mafia ,”amesema.
Amesema jambo hilo sio zuri na hata ajira za watalii hawapati tena Wazanzibar wanaofanya kazi hizo ni wageni.
=====
My Take
Serikali puuzeni huu ushauri Ili mwisho wa siku tuwe na Tanzania Moja japo ana hoja na asikilizwe na kujibiwa Kwa hoja.
Safi sana mbungeMbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria.
Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais Makamu wa Rais kwa mwaka 2024/25 leo Jumanne Aprili 24,2024, Issa amesema lengo ni kuvilinda visiwa hivyo.
“Kwa nini waliweka pasipoti (hati za kusafiria) visiwa vile vinahitaji kulindwa, mimi sikubaliani na suala la kutovilinda visiwa saa hizi. Sasa hivi Zanzibar imejaa watu na tunavyoendelea hawatakuwa na sehemu ya kuishi,”amesema.
Issa amempongeza, hayati Abeid Karume kwa kujenga maghorofa yale (hakusema yako wapi) kwa kuwa alitaka Wazanzibar wote wakae humo, kwa sababu aliona ardhi ni ndogo sana.
“Sasa hivi ukienda pale Zanzibar utakuta viwanja vimechukuliwa, miti imekatwa, kulikuwa na zao la mikarafuu haliko tena, imebakia Pemba tu na kule Pemba linakwenda kuisha minazi hakuna sasa hivi tunaagiza kutoka Mafia ,”amesema.
Amesema jambo hilo sio zuri na hata ajira za watalii hawapati tena Wazanzibar wanaofanya kazi hizo ni wageni.
=====
My Take
Serikali puuzeni huu ushauri Ili mwisho wa siku tuwe na Tanzania Moja japo ana hoja na asikilizwe na kujibiwa Kwa hoja.
Na sisi tudai passport kwa wazenji wote waliopo kkooMbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria.
Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais Makamu wa Rais kwa mwaka 2024/25 leo Jumanne Aprili 24,2024, Issa amesema lengo ni kuvilinda visiwa hivyo.
“Kwa nini waliweka pasipoti (hati za kusafiria) visiwa vile vinahitaji kulindwa, mimi sikubaliani na suala la kutovilinda visiwa saa hizi. Sasa hivi Zanzibar imejaa watu na tunavyoendelea hawatakuwa na sehemu ya kuishi,”amesema.
Issa amempongeza, hayati Abeid Karume kwa kujenga maghorofa yale (hakusema yako wapi) kwa kuwa alitaka Wazanzibar wote wakae humo, kwa sababu aliona ardhi ni ndogo sana.
“Sasa hivi ukienda pale Zanzibar utakuta viwanja vimechukuliwa, miti imekatwa, kulikuwa na zao la mikarafuu haliko tena, imebakia Pemba tu na kule Pemba linakwenda kuisha minazi hakuna sasa hivi tunaagiza kutoka Mafia ,”amesema.
Amesema jambo hilo sio zuri na hata ajira za watalii hawapati tena Wazanzibar wanaofanya kazi hizo ni wageni.
=====
My Take
Serikali puuzeni huu ushauri Ili mwisho wa siku tuwe na Tanzania Moja japo ana hoja na asikilizwe na kujibiwa Kwa hoja.
Mbaguzi huyo na atupiwe maws mpaka afee au azimieMbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria.
Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais Makamu wa Rais kwa mwaka 2024/25 leo Jumanne Aprili 24,2024, Issa amesema lengo ni kuvilinda visiwa hivyo.
“Kwa nini waliweka pasipoti (hati za kusafiria) visiwa vile vinahitaji kulindwa, mimi sikubaliani na suala la kutovilinda visiwa saa hizi. Sasa hivi Zanzibar imejaa watu na tunavyoendelea hawatakuwa na sehemu ya kuishi,”amesema.
Issa amempongeza, hayati Abeid Karume kwa kujenga maghorofa yale (hakusema yako wapi) kwa kuwa alitaka Wazanzibar wote wakae humo, kwa sababu aliona ardhi ni ndogo sana.
“Sasa hivi ukienda pale Zanzibar utakuta viwanja vimechukuliwa, miti imekatwa, kulikuwa na zao la mikarafuu haliko tena, imebakia Pemba tu na kule Pemba linakwenda kuisha minazi hakuna sasa hivi tunaagiza kutoka Mafia ,”amesema.
Amesema jambo hilo sio zuri na hata ajira za watalii hawapati tena Wazanzibar wanaofanya kazi hizo ni wageni.
=====
My Take
Serikali puuzeni huu ushauri Ili mwisho wa siku tuwe na Tanzania Moja japo ana hoja na asikilizwe na kujibiwa Kwa hoja.
Wanna akili gani nchi inanuka umasikini hii.Waasisi Wana akili kuliko nyie mayai viza
Kwani Zanzibar Wabunge wameruhusiwa kutumia bangi?Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria.