Option bora zaidi ni kuifanya kuwa Mkoa tu. Peleka Jeshi, vunja mamlaka zote za kipuuzi, Makonda ahamishiwe huko kama Mkuu wa Mkoa.

Atakayezingua ahamie kwa wajomba zake Oman. Maana hawa wapuuzi wanachosha sana, vichwani ni empty kabisa yaani.
 
..Waznz walioko Unguja na Pemba ndio watachukia muungano.

..Waznz walioko huku Tanganyika wanaopenda muungano kwasababu wanafaidika nao.

..Na Wazn walioko huku Tanganyika idadi yao ni kubwa sana. Ni kubwa kuliko Watanganyika walioko Znz.
Mimi Pia Ni mzanzibar Wa kuzaliwa Niko Tanganyika Tangu mwaka 1988 Nilipohamia Huku kwa Ajili ya Masomo Nikafikia Tanga kuendelea na Masomo ya Secondary....
Nikalowea Mpaka Leo 😂😂

Nimeshaweka Familia na Watoto wangu wote ni Watanganyika..
Halafu uniambie Uvunje Muungano..
Wauvunje lakini Sisi tuliopo huku Haturudi Huko🤣🤣
 
na yeye akija bara aje na passport? na passprt yenyewe ya tanzania au ya zanzibar?
 
Hawawezi kukubali, huu muungano unawanufaisha zaidi viongozi kuliko wananchi,
Eneo la Zanzibar lenye watu wachache kuliko wilaya ya Kinondoni yenye wabunge 4, lina wabumge 50 bungeni akiwemo huyu mpuuzi
Na anafanana kwa kila hali na mbunge wa Tanganyika mwenye eneo sawa na nchi nzima ya kwao.
 
Na anafanana kwa kila hali na mbunge wa Tanganyika mwenye eneo sawa na nchi nzima ya kwao.
Wanalipwa Kila kitu sawa, Hadi posho ya mafuta lita
Na anafanana kwa kila hali na mbunge wa Tanganyika mwenye eneo sawa na nchi nzima ya kwao.
Wanalpwa sawa, hadi posho ya mafuta ya gari,
Ilitakiwa wakati wa kujadili hoja ambazo sio za muungano wasiwepo bungeni, kwa mfano bajeti ya wizara ya Uchukuzi ambayo hata Waziri wake ni wa huko,
Wao wanajadili za kwao kwenye Baraza la Wawakilishi ambapo hamna mwakilishi hata mmoja wa Tanganyika
 
Huyu ni wa kumpuuza lakini awajibishwe indirectly.
 
Ila wazenji tunavyowa treat kama mwanamke asiyekutaka waziwazi lakini wewe unamng'ang'ania.

Kwetu wanapaita Tanzania bara kwao ni zanzibar. Si uvunjwe tu huu muungano kila mtu abaki nchini mwake
I think is time tuwaachie , tumeeapa priority sana lakin sasa wanajawa na kiburi. Enough is Enough
 
Mwenzao majuzi, tena waziri wa serikali yaa Zanzibar, eti anamwomba rais wa Tanzania Bara wawajengee barabara/ daraja kwenda Zanzibar!
 
Yaani nitoke Mbeya kwenda Zenji kwa Passport halafu wao waingie hivi hivi kama anatoka Micheweni anaenda forodhani?
 
Anajifanya ana hoja .....amesahau issue sio visa wala passport.....haturusiwi lolote kule.....kumiliki nyumba wala ardhi....bado anaona haitoshi....wao huku wanejaa kibao wana nyumba ardhi kila kitu....sijui wanajisahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…