Mtutuwandei
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 1,317
- 1,817
Ukiwa mlafi kuvimbiwa ni sekunde tu. Hapo bado kupasuka matumbo.Analipwa posho na watanyika maana Zanzibar haichangii hata senti tano kuendesha nchi, bado wanataka mfukoni wa Jimbo uongezwe wakati hawachangii, wanachukua payee wakati hawachangii...
Mzanzibari akishibaga akili sijui zinakimbilia makalioni? Km hana cha kuongea si angekaa kimya? Huyo mdebwedo hovyo kabisaMbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria...
Huu muungano mtihani sanaNahisi Hili wazanzibar wanalitamani Sana sijui kwanini..
Sasa hapo Jiulize huyo ni Mbunge,Je wananchi watakuwaje?
Walishaomba... Znz sidhani kama wana haja na muunganoKwanini wasiombe tu muungano uvunjwe.
Mimi mbona haujani tag? Huu siyo ndiyo Uzanzibar wenyewe mnaoupinga humu?Huyu Mbunge sijui ana umri gani! Wazanzibar walijaribu hilo miaka ya nyuma Wabunge wa Tanganyika wakasema nao waje kwa Passport. Wazanzibar waliondoa utaratibu ndani ya siku 7. Mwalimu Nyerere alisikia akaacha Bunge liwakaange...
Imagine, mzanzibari anaongea haya bila kujua yafuatayo:Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria...
na wawe na vibali vya uwekezaji wa kigeni pale kariakoo wakinga wanakosa frem wamejaa wao tuNi jambo zuri na wao wakija bara waje na PASSPORT na VISA JUU
Hawana shukuranina wawe na vibali vya uwekezaji wa kigeni pale kariakoo wakinga wanakosa frem wamejaa wao tu
Ukimwaga mboga tuna mwaga ugali na wao pia waingie Tanganyika kwa passport itapendezaUkienda Kule mtandaoni X Watanganyika wamechachamaa na kumlaani mbunge wa ACT wazalendo kwa Hoja yake ya kibunge kwamba Watanganyika waingie Zanzibar kwa Passport kama zamani
...
Nakazia hojaHakuna kosa, tukubaliane tu - na sisi Wazanzibari tukija Bara - Tuingie kwa Passport Pia. Ili mzni u-balance. Na sisi pia Wazanzibari tusiruhusiwe kununua viwanja wala nyumba bara - ili pia mzani u-balance.
Unaelewa maana ya Muungano wa Serikali 2?Hakuna kosa, tukubaliane tu - na sisi Wazanzibari tukija Bara - Tuingie kwa Passport Pia. Ili mzni u-balance. Na sisi pia Wazanzibari tusiruhusiwe kununua viwanja wala nyumba bara - ili pia mzani u-balance.
Tanganyika ndio wapi?Ukimwaga mboga tuna mwaga ugali na wao pia waingie Tanganyika kwa passport itapendeza
πππ Tanganyika ni nzuri tunaweza kujimuduWakati wengine wanajaribu kujenga madaraja wengine wanataka kujenga Fensi / Ukuta...,
Uzuri ni kwamba ukiishavuka maji kuja kuishi huku na akili zinafunguka,huwezi kuwa na akili ndogo kama huyo kunguni.Katiba ya Zanzibar haiwatambui wanaoishi bara kama wazanzibari. Wakiwa wapemba, waunguja au watanganyika. Wote hawa kwa sheria za SMZ hawana haki ya kumiliki ardhi, nyumba na hata chombo cha moto. Hata leseni ya udereva lazima uwe na kitambulisho cha mzanzibari.