Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,773
- 32,431
Na ndiyo sababu hata Tume, Kamati na Magenge hayakuweza ku 'counter' maoni ya Wananchi juu ya serikali 3.Siwezi kupata jibu la haraka ku'counter' hii.
Hii inaeleza kitu kimoja , kwamba structure ya Muungano haikuwa sawa.
Mwalimu Nyerere alishindwa pia kuikwepa dhana ya Serikali 3. Wakati wa sakata la Aboud Jumbe, Mwl aliitisha Mkutano na alisema haya '' Ninyi Wazanzibar nani kawaambia 1+1= 3?'' akaeleza 1+1=2
Hapa Mwalimu aslishindwa kwasababu hiyo 2 inakuaje? Moja ni Zanzibar ya pili haiwezi kuwa Tanzania.
Serikali ya Rais SSH nayo imeshindwa kueleza kile kile alichoshindwa Mwl.
Hivi inawezekanaje kukawa na '' MoU' au makubaliano ya Nishati kati ya Wizara ya Nishati ya JMT na Nishati SMZ?
Zimwi hilo hilo limemwandama Rais SSH wakati wa sakata la bandari na DP. Rais anaulizwa ikiwa alisaini mkataba na DP kwa niaba ya JMT mbona bandari za Zanzibar hazipo? Hakuna aliyeweza kujibu kwasababu hizi
1. Foreign affairs ni suala la Muungano
2. SMZ iliondoa bandari ''unilaterally' bila kushirikisha JMT! Je walifanya makosa, jibu ni hapana kwasababu aliyepaswa kushauriana naye ni Tanganyika anayeiytwa Tanzania ambaye Zanzibar yumo.
Zimwi hilo linaiandama '' Michezo'' Wazanzibar kwa mapungufu ya uelewa wanadhani TFA inakataa Zanzibar isishiriki mashindano kana nchi. Huu ni uongo na upuuzi unaonezwa na kundi la OMO kwasababu TFA haifaidiki na chochote.
Lakini sheria zinasemaje kuhusu ushiriki wa nchi? Je, Zanzibar ni nchi katika uso wa kimataifa?
Wanokataa si TFA ni CAF na FIFA for Technical reasons lakini wenzetu kidogo kuna tatizo, wanahitaji maktaba nyingi
Bila kurekebisha structure ya Muungano (kama Zanzibar wanautaka) tutenedelea na hali hii
1. Kelele za kipuuzi za nataka, nipewe, namimi zikiitwa kero
2. Tukutane EAC kama majirani wema, Tanganyika has nothing to worry or lose
CCM na Serikali zake! hwever chicken are coming home to roost. Muungano ni pasua kichwa kwa Rais SSH kwasababu hali ya Muungano ni mbaya sana. SSH alikuwa ndani ya mfumo, hakuzungumza wakati huo.Labda niseme tu: nani aliyezuia utekelezaji wa matokeo ya hizi tume, na kwa maslahi gani?
Akizuia wimbi la Tanganyika, her nomination for 2nd term is in jeopard, hata CCM wameanza kuuona ukwe
Hawa Wazanzibar wanaoishi Tanganyika ni kwa masilahi tu. Kwani hukumsikia Mbunge wa ACT Wazalendo ya OMO na Jussa akiukana Utanzania! kwamba yeye si mtanzania wakati analipwa kila kitu hadi bili ya umeme ya wake zake na Tanganyika. Ukiwa na wapuuzi kama wale 100 tu ni tabu sana ! sasa angalia OMO company wapo wangapi.Kwa hawa kuishi Tanganyika ni hatua dhahiri ya wao kuukubali muungano. Sasa nasi tunataka kuungana na akina OMO, kundi dogo kabisa kudidimiza ndoto za uTanzania wao. Tumeungana na CCM na kikundi hiki cha sultani kuukata muungano, badala ya kuwatia moyo kwa kuunda serikali moja chini ya nchi yao moja.
Tutakwenda Zanzibar kwa passport, lakini watupishe katika mambo yetu! period.
Tupo tofuati, tunatafuta long lasting solution siyo kuweka viraka.Sisi pia hatutakuwa tofauti na hawa CCM, na kundi la OMO na Jussa.
Sababu zilikuwa security ya Nyerere and Karume, ilikuwa nipenikupe. Sababu hizo hazipo tenaLabda turejee huko nyuma, sababu za muungano wetu zilikuwa hasa ni zipi, ingawaje huko pia ni zilezile zinazoegemea kwa Zanzibar zaidi kuliko kwa Tanganyika.
Usalama upi wakati USA wana Marine base kubwa sana Mombasa katika bahari ya Hindi?
Usalama upi wakati China wanavua samakai Mafia na hatujui
Usalama upi wakati Iran anaweza kutuma drone zikapiga kambi za Israel