Uchumiwakati
JF-Expert Member
- Jul 29, 2020
- 407
- 745
Kwa kauli yake hiyo basi anatuthibitishia kwamba polisi ndo watekaji na wauaji
Martha Karua mbona mweusi ranging take ya asili na sio mkorogo?
CCM imejaa mizoga tupuNaona kichwa kinawaka moto😂View attachment 3346303
Huyu jinga sijui alifikaje bungeni!!!Mbunge Msambatavangu: Mtu mkorogo umedunda, sijui alisahau kupaka poda anataka kuja kutuchonganisha
Wakuu leo bungeni kumewaka naona wanatumia muda wote 'kuwachamba' Wakenya
===
Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu wakati akichangia kwenye bajeti ya wizara ya mambo ya ndani amegusia suala la Martha Karua kuja nchini na kile kilichotokea.
"Mama mtu mzima aliyesoma sheria anaondoka kwakwe anapanga na nauli bahati mbaya ukimuangalia uso wake hauna matumaini ukimuangalia uso ule sijui ni mkorogo umedunda sjui ni alisahau kupaka poda anakuja kutuchonganisha ile siyo hali ya kawaida. na walichofanya askari wetu ni kumdhibiti kwa sababu ukiona mtu akili yake haifanyi kazi vizuri unachokifanya ni kumdhibiti" - Jesca Msambatavangu, Mbunge
View attachment 3346298
Wata hack simu yake na watatuma uchafu wake wote hahahhaNgoja GenZ wa Kenya waanze kukuchora na wewe😂😅
Taifa liko at riskHawa ndio washauri wa Samia. Mungu tusaidie.
Halafu ataishia kunywa ulanzi na kujinyonga😅Wata hack simu yake na watatuma uchafu wake wote hahahha
Nashangaa Tena mremboMartha Karua mbona mweusi ranging take ya asili na sio mkorogo?