Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Itakuwa anajuta kwa nini aliondoka kufundisha chuoMbona Bashiru kama Anaona aibu kwa kile kinachozungumzwa na maza.
Ni njaa tu ila mzee Bashiru humo so kwako. Unaonekana
Itakuwa anajuta kwa nini aliondoka kufundisha chuoMbona Bashiru kama Anaona aibu kwa kile kinachozungumzwa na maza.
Ni njaa tu ila mzee Bashiru humo so kwako. Unaonekana
Na ndio wabakaji. Akitoka hapo 600,000/= kibindoni kwa upupu alomwaga bungeni!Kwa kauli yake hiyo basi anatuthibitishia kwamba polisi ndo watekaji na wauaji
Waache wafunguke tu ili waje watoe ushahidi vizuri ICCNa ndio wabakaji. Akitoka hapo 600,000/= kibindoni kwa upupu alomwaga bungeni!
Mkuu umezungumza ukweli ulioenda shule, hakika mimi ambaye ni mfuatiliaji mzuri wa mabo ya Kenya wala sikupingi hata kidogo.Martha karua nimemwona toka kitambo hiko akihudumu serikali kama sio ya kibaki, mpaka Leo Tena alikuwa mrembo na ana slay kuliko huyo mama ambaye hata jinsia haijui,
Martha karua umri umeenda kwa sasa, usitegemee ngozi itakuwa akiwa early 40's huko,
Pia ni maumbile ya watu, tuu
Huyo Jesca ana uzuri gani sasa ? Honestly mbona wa kawaida sana Tena sana,
Aache kumkashifu Martha,
Martha karua wa 20yrs back hata huyo Jesca haingii ndani.
Kama walialikwa kweli sioni ubaya wa kina Martha karua juu ya hilo, ni vile Ruto hataki kukosolewa mpaka anapigwa na kiatu shame on him, na pia bibiye mpotoko hataki kukosolewa ndo maana kina Martha wakazuiliwa.
Martha ataendelea na bado ni Ironic Lady. Big five to her.
cc secretarybird
Umemaanish nn ulivyo sema bwana ?Mkuu umezungumza ukweli ulioenda shule, hakika mimi ambaye ni mfuatiliaji mzuri wa mabo ya Kenya wala sikupingi hata kidogo.
Martha ni Martha bwana!! 😎.
Kina FRED VUNJA BEI na kaka yao FADHILI FABIAN NGAJILO kwanini wasichukue hili Jimbo la Iringa mjini maana Jimbo lipo mikononi mwa KAHABA.Wakuu leo bungeni kumewaka naona wanatumia muda wote 'kuwachamba' Wakenya
===
Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu wakati akichangia kwenye bajeti ya wizara ya mambo ya ndani amegusia suala la Martha Karua kuja nchini na kile kilichotokea.
"Mama mtu mzima aliyesoma sheria anaondoka kwakwe anapanga na nauli bahati mbaya ukimuangalia uso wake hauna matumaini ukimuangalia uso ule sijui ni mkorogo umedunda sjui ni alisahau kupaka poda anakuja kutuchonganisha ile siyo hali ya kawaida. na walichofanya askari wetu ni kumdhibiti kwa sababu ukiona mtu akili yake haifanyi kazi vizuri unachokifanya ni kumdhibiti" - Jesca Msambatavangu, Mbunge
View attachment 3346298
Akili kubwa Sanaa..humu Jf Kuna watu wanajielewa Sana take five.Martha karua nimemwona toka kitambo hiko akihudumu serikali kama sio ya kibaki, mpaka Leo Tena alikuwa mrembo na ana slay kuliko huyo mama ambaye hata jinsia haijui,
Martha karua umri umeenda kwa sasa, usitegemee ngozi itakuwa akiwa early 40's huko,
Pia ni maumbile ya watu, tuu
Huyo Jesca ana uzuri gani sasa ? Honestly mbona wa kawaida sana Tena sana,
Aache kumkashifu Martha,
Martha karua wa 20yrs back hata huyo Jesca haingii ndani.
Kama walialikwa kweli sioni ubaya wa kina Martha karua juu ya hilo, ni vile Ruto hataki kukosolewa mpaka anapigwa na kiatu shame on him, na pia bibiye mpotoko hataki kukosolewa ndo maana kina Martha wakazuiliwa.
Martha ataendelea na bado ni Ironic Lady. Big five to her.
cc secretarybird
Wanalipwa na Ford Foundation na Open Society Foundations zinazofadhili ushoga kwa kivuli cha haki za binadamu. Jiulize Mkenya na Mganda wana uchungu gani na Lissu mpaka waje kusikia kesi yake? Wanalala Serena Hotel na kusafiri business class.Wakuu leo bungeni kumewaka naona wanatumia muda wote 'kuwachamba' Wakenya
===
Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu wakati akichangia kwenye bajeti ya wizara ya mambo ya ndani amegusia suala la Martha Karua kuja nchini na kile kilichotokea.
"Mama mtu mzima aliyesoma sheria anaondoka kwakwe anapanga na nauli bahati mbaya ukimuangalia uso wake hauna matumaini ukimuangalia uso ule sijui ni mkorogo umedunda sjui ni alisahau kupaka poda anakuja kutuchonganisha ile siyo hali ya kawaida. na walichofanya askari wetu ni kumdhibiti kwa sababu ukiona mtu akili yake haifanyi kazi vizuri unachokifanya ni kumdhibiti" - Jesca Msambatavangu, Mbunge
View attachment 3346298
brother ov mine 👊Akili kubwa Sanaa..humu Jf Kuna watu wanajielewa Sana take five.
Hapo Malkia meno yote nje kwa furaha.Hawa ndio washauri wa Samia. Mungu tusaidie.
Kuna dogo mmoja jana alisema "kuna M'bibi kutoka huko Kenya". Yani full kejeliMbona yeye ndio anatumia mkorogo na sio Martha. Halafu Martha Karua umri umeenda Sana.
Atajinyonga walahi. Ila ameonyesha kiwango kikubwa cha upumbavu.Halafu ataishia kunywa ulanzi na kujinyonga😅
Nimemaanisha kuwa Martha Karua siyo wa kuchezewa chezewa na WA Tz.Umemaanish nn ulivyo sema bwana ?
Mimi napinga vikali kauli ya Mh. Jesca Msambatavangu. Si sahihi kumhukumu mtu kwa muonekano wake wala kudhani kuwa ana matatizo ya akili bila ushahidi wa kitaalamu.
Kauli yake ni ya kudhalilisha na inakiuka haki za msingi za binadamu kama zinavyolindwa na Katiba. Aidha, kuhalalisha matumizi ya nguvu kwa kisingizio cha "akili haifanyi kazi vizuri" ni hatari na ni matumizi mabaya ya mamlaka.
Hapamfai humo,angerudi tu chuoni kufundisha!!Ndio maana Bashiru nikama anaona haya aiseee....🤣