PreGE2025 Mbunge Msambatavangu: Mtu mkorogo umedunda, sijui alisahau kupaka poda anataka kuja kutuchonganisha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
sasa huyo Jesca mwenye sura na umbile, lisoelewekando akajifananishe na ion Lady Martha? akaangalie picha za Martha akiwa binti ndio ataelewa, sijawahi kulipenda kabisa hilo li Jesca, sura mbaya akili halina, kazi kulopoka tu.
Nimeona watu wengi hasa huko TikTok, na Instagram wengi hawamjui Martha, na wamemjua Juzi tu labda kipindi Cha 2022 kwenye kinyang'anyiro Cha uraisi makamu na Raila na hili la sasa hivi,

Though Martha ni mzurii kwa nafasi yake, sasa uzee ndo umemuingia

Ukiplus na uwanaharakati huwezi kuwa soft kama watu wasio waharakati, lzm u- change,

Huyo Jesca ni mropokaji na selewi hao wabunge wanawake wanafanya nn huko bungeni kwa kuongea shit, kama hizi!

Unakuta mtu anamtukana Martha sijui sura mara hivi, wenyewe ukiwaangalia tupo 2025 lakini wako na picha za ukungu hata zile za 1990 haziko hivyo!

Iron lady Martha karua,
 
sema ukiachana na uyo mama wa mipasho hapo anaefuraisha bashiru ali anaonekana kukereka na hayo mambo yn sema vile tu hana uhuru wakuongea lakn inaonekan akubalian kabsa na izo hoja vile tu hana maamuz kam gwajima
 
Wanalipwa na Ford Foundation na Open Society Foundations zinazofadhili ushoga kwa kivuli cha haki za binadamu. Jiulize Mkenya na Mganda wana uchungu gani na Lissu mpaka waje kusikia kesi yake? Wanalala Serena Hotel na kusafiri business class.

Naunga mkono hoja
Una uhakika nyie ( CCM) hamchukui hela za hao mnaowaita mashoga?
Zaidi ya asilimia 40+ ya bajeti yenu ni mikopo na michango yao, unapata wapi uhalali wa kuwapinga!?
 
Wakuu leo bungeni kumewaka naona wanatumia muda wote 'kuwachamba' Wakenya

===
Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu wakati akichangia kwenye bajeti ya wizara ya mambo ya ndani amegusia suala la Martha Karua kuja nchini na kile kilichotokea.

"Mama mtu mzima aliyesoma sheria anaondoka kwakwe anapanga na nauli bahati mbaya ukimuangalia uso wake hauna matumaini ukimuangalia uso ule sijui ni mkorogo umedunda sjui ni alisahau kupaka poda anakuja kutuchonganisha ile siyo hali ya kawaida. na walichofanya askari wetu ni kumdhibiti kwa sababu ukiona mtu akili yake haifanyi kazi vizuri unachokifanya ni kumdhibiti" - Jesca Msambatavangu, Mbunge
View attachment 3346298
Soma pia
Hili ni bunge letu au chaneli ya kichekesho?

Martha karua nimemwona toka kitambo hiko akihudumu serikali kama sio ya kibaki, mpaka Leo Tena alikuwa mrembo na ana slay kuliko huyo mama ambaye hata jinsia haijui,

Martha karua umri umeenda kwa sasa, usitegemee ngozi itakuwa akiwa early 40's huko,

Pia ni maumbile ya watu, tuu

Huyo Jesca ana uzuri gani sasa ? Honestly mbona wa kawaida sana Tena sana,

Aache kumkashifu Martha,

Martha karua wa 20yrs back hata huyo Jesca haingii ndani.

Kama walialikwa kweli sioni ubaya wa kina Martha karua juu ya hilo, ni vile Ruto hataki kukosolewa mpaka anapigwa na kiatu shame on him, na pia bibiye mpotoko hataki kukosolewa ndo maana kina Martha wakazuiliwa.

Martha ataendelea na bado ni Ironic Lady. Big five to her.

cc secretarybird
Hunasababu ya kujitetea katika hoja hii ni kama unaungana namchangiaji. unavyo jitahidi kutetea eti kuonyesha mwonekano wa Martha kuwa alikuwa mzuri.

Hoja kamwe haijadiliwi kwa kigezo cha muonekano wa mtu It is Ad hominem

Hiyo tunawaachia wenye upeo mdogo sana wa fikra. Na hatuwajibu zaidi ya kupuuza tu.

Sasa unatetea nonsense hizo iliiweje. Unavyo karibu kuonyesha kuwa Martha was beautiful ni kama unaunga mkono kama mtu Hana muonekano mzuri machoni Kwa mtu basi hapaswi kusikilizwa

Hoja ya mbunge haina mashiko haina haja ya kujitetea Bali kurekebishwa: kukosolewa
 
Hilo bunge la sarakasi hata hakuna mvuto limekuwa kama genge la mipasho.
images - 2025-05-15T160004.583.jpeg
 
Anaongea ujinga personal Attack hawa vilaza huko Bungeni wameenda kucheza na kula hela za bure.
 
Wakuu leo bungeni kumewaka naona wanatumia muda wote 'kuwachamba' Wakenya

===
Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu wakati akichangia kwenye bajeti ya wizara ya mambo ya ndani amegusia suala la Martha Karua kuja nchini na kile kilichotokea.

"Mama mtu mzima aliyesoma sheria anaondoka kwakwe anapanga na nauli bahati mbaya ukimuangalia uso wake hauna matumaini ukimuangalia uso ule sijui ni mkorogo umedunda sjui ni alisahau kupaka poda anakuja kutuchonganisha ile siyo hali ya kawaida. na walichofanya askari wetu ni kumdhibiti kwa sababu ukiona mtu akili yake haifanyi kazi vizuri unachokifanya ni kumdhibiti" - Jesca Msambatavangu, Mbunge
View attachment 3346298
Soma pia
Hiki ni kichambo
 
Hawa ndio washauri wa Samia. Mungu tusaidie.
Martha Karua ana sura Mbaya wanawake wa Tanzania wana sura nzuri

Hakuna mwanaume rijali mtanzania aweza kumtaka kimapenzi Martha Karua

Wakenya wenyewe wamegoma kumuoa .Hata mumewe aliyekuwa mumewe alimpiga talaka
 
Hunasababu ya kujitetea katika hoja hii ni kama unaungana namchangiaji. unavyo jitahidi kutetea eti kuonyesha mwonekano wa Martha kuwa alikuwa mzuri.

Hoja kamwe haijadiliwi kwa kigezo cha muonekano wa mtu It is Ad hominem

Hiyo tunawaachia wenye upeo mdogo sana wa fikra. Na hatuwajibu zaidi ya kupuuza tu.

Sasa unatetea nonsense hizo iliiweje. Unavyo karibu kuonyesha kuwa Martha was beautiful ni kama unaunga mkono kama mtu Hana muonekano mzuri machoni Kwa mtu basi hapaswi kusikilizwa

Hoja ya mbunge haina mashiko haina haja ya kujitetea Bali kurekebishwa: kukosolewa
sijatetea nimeonyesha alichokisema huyo mtamba nani sjui kuwa ni kosa kumkosoa mama wa watu,

Ndo maana nikasema Martha saa hz kazeeka, Ila she was cute.

Good bye
 
Back
Top Bottom