PreGE2025 Mbunge Msambatavangu: Mtu mkorogo umedunda, sijui alisahau kupaka poda anataka kuja kutuchonganisha

PreGE2025 Mbunge Msambatavangu: Mtu mkorogo umedunda, sijui alisahau kupaka poda anataka kuja kutuchonganisha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
wangapi wana sura nzuri wamepewa talaka ?

Refers to,

Mengi Mercy na Regnold mengi,

Faraja kota na Lazaro nyalandu,

Kuna huyu kafulila na mkewe sjui nani,

wapo kina Joyce kiria,

Mnamsema sana Martha kina Anne makin hamuwaoni watz mbona mko na akili za nyumbu?
Hao wote umetaja ni kweli waliachika talaka lakini wao wanawake wazuri ndio waliowapa talaka wanaume zao wabaya Sio wanaume waliowapa talaka kama Martha Karua na sura yake mbaya

Martha karua aliachwa na mumewe sababu ana sura mbaya
 
There is no need to prove that Martha was cute. Hoja aliyotoa mbunge ni mbovu haina mashiko. Unavyo onyesha kuwa alikuwa cute ni kama unaungana na mtoa hoja ni sawa kumjaji mtu Kwa kigezo cha muonekano wake.

Ni kama unaingia mkenge kumfukuza kichaa ukiwa uchi aliyeiba ngua zako wakati unaoga
Mimi nimeenda kinyume na huyo mbunge yeye ana uzuri gani ule wa kike ? Ana haiba gani ya kike anazidiwa na Martha!
 
Martha Karua ana sura Mbaya wanawake wa Tanzania wana sura nzuri

Hakuna mwanaume rijali mtanzania aweza kumtaka kimapenzi Martha Karua

Wakenya wenyewe wamegoma kumuoa .Hata mumewe aliyekuwa mumewe alimpiga talaka

1748267778409.jpeg
 
Hao wote umetaja ni kweli waliachika talaka lakini wao wanawake wazuri ndio waliowapa talaka wanaume zao wabaya Sio wanaume waliowapa talaka kama Martha Karua na sura yake mbaya

Martha karua aliachwa na mumewe sababu ana sura mbaya
Hapa ntakupinga mpaka kesho labda kuwe na sababu nyingn

Kina Catherine magige na urembo wote wasiolewe kazi kung'ang'ania maiti za wenyewe

Martha ni m cute
 
Akili kubwa kama Bashiru naye ameenda kumezwa na hao wasiojitambua. Serikali ijitahidi kuboresha mazingira ya hawa wasomi waliotumia muda wao mwingi kwenye shule na tafiti. Hii itapunguza vishawishi vya kwenda kuwa sehemu ya huo upumbavu.
Tokea mzee wa mipasho mswahili makala atue ccm mambo yamekuwa hovyo sana, uswahili vitabia vya Kiswahili umbea majungu usengenyaji vitabia vyote vya hovyo ikiwemo udalali wa siasa kuuza watu chauma ubwabwa imeshamiri sana
 
Hayo maneno angetamka mwanaume (mpinzani) muda huu kungekuwa na matamko si chini ya 100 ya feminists, ila hapa hutowaona.
wangekuja wale wa wamama wa haki za binadamu, sasa hivi
 
Hapa ntakupinga mpaka kesho labda kuwe na sababu nyingn

Kina Catherine magige na urembo wote wasiolewe kazi kung'ang'ania maiti za wenyewe

Martha ni m cute
Covid 19 hawaolewi mpaka Salum mwalimu na mbowe wamezaa nao watoto nje ya ndoa, kuna mtu mwenye Sura Ngumu nyeusi kama giza la mvua Kama Sipika? Huyo mbunge ana kisasi na spika kaamua kumtukana kiaina
 
Una uhakika nyie ( CCM) hamchukui hela za hao mnaowaita mashoga?
Zaidi ya asilimia 40+ ya bajeti yenu ni mikopo na michango yao, unapata wapi uhalali wa kuwapinga!?
Hili jambo unishangaza sana, kila wanapotusaidia kwenye bajeti ya mendeleo tunawaita wahisani/wafadhili/wadau wa maendeleo. Wakijaribu kutueleza kurekebisha pale tunapokosea, wanageuka kuwa mashoga. Na wanajua watanzania wale walio wapumbavu watakubaliana na kuzibeba hizo kauli zao za ushoga.
 
Covid 19 hawaolewi mpaka Salum mwalimu na mbowe wamezaa nao watoto nje ya ndoa, kuna mtu mwenye Sura Ngumu nyeusi kama giza la mvua Kama Sipika? Huyo mbunge ana kisasi na spika kaamua kumtukana kiaina
Unaona sasa 😂..... Mtoeni Martha vinywani mwenu
 
Sura mbaya na tabia mbaya ni mapacha
Ukiona mwanamke ana sura mbaya kama ya Martha Karua usioe wala kumtaka urafiki wa ngono Sura inaakisi tabia pia

Mumewe hakujua hilo alipojua akampa talaka apeleke sura yake mbaya huko mabarabarani bila kujali kuwa ana pesa nyingi
Sema nin mkuu tuache kuleta vita za mawe wakati tunaishi nyumba za vioo.
Hivi unadhani sisi hapa tz tuna mawaziri na viongoz wangap wakubwaa wanawake?.

Sisi tuta mshambulia huyo martha aliye nje ya mfumo wa serikali yao, wao watawashambulia barabara viongozi wetu.
Kama wanaowatukana viongoz wetu ni raia wa kenya basi hii vita ilitakiwa wajibu raia wa tz na sio muhimili tena ktk mtindo huo wa Jesca.
 
Martha Karua inaonekana hata nyumbani kwake ni mchafu sana
 
Martha karua nimemwona toka kitambo hiko akihudumu serikali kama sio ya kibaki, mpaka Leo Tena alikuwa mrembo na ana slay kuliko huyo mama ambaye hata jinsia haijui,

Martha karua umri umeenda kwa sasa, usitegemee ngozi itakuwa akiwa early 40's huko,

Pia ni maumbile ya watu, tuu

Huyo Jesca ana uzuri gani sasa ? Honestly mbona wa kawaida sana Tena sana,

Aache kumkashifu Martha,

Martha karua wa 20yrs back hata huyo Jesca haingii ndani.

Kama walialikwa kweli sioni ubaya wa kina Martha karua juu ya hilo, ni vile Ruto hataki kukosolewa mpaka anapigwa na kiatu shame on him, na pia bibiye mpotoko hataki kukosolewa ndo maana kina Martha wakazuiliwa.

Martha ataendelea na bado ni Ironic Lady. Big five to her.

cc secretarybird
Weka picha
 
Unaona sasa 😂..... Mtoeni Martha vinywani mwenu
Kweli kabisaa mkuu, yaano ujue kama unawapenda na unawivu na mama na dada yako, kamwe usiwatukanie watu mama na dada zao maana unaweza kutana na wahuni ukapigwa tusi moja ukajikuta unarusha ngumi na ngumi nazo ukazibuliwa.
 
nilikuwa naangalia kujua martha karua kwa nini sura yake ipo vile, kwa nini kichwa chake ni kama anavuta bange, kuja kufahamu kuwa kumbe hama mume, alipeana talaka, nikaamua kuacha. wanawake, ndoa ni kitu cha muhimu sana na cha heshima sana ambacho ukiwa nacho mambo mengine yote utayafanay kwa heshima pia.
Ndoa ya saa 10 mara 10 ?
 
Wakuu leo bungeni kumewaka naona wanatumia muda wote 'kuwachamba' Wakenya

===
Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu wakati akichangia kwenye bajeti ya wizara ya mambo ya ndani amegusia suala la Martha Karua kuja nchini na kile kilichotokea.

"Mama mtu mzima aliyesoma sheria anaondoka kwakwe anapanga na nauli bahati mbaya ukimuangalia uso wake hauna matumaini ukimuangalia uso ule sijui ni mkorogo umedunda sjui ni alisahau kupaka poda anakuja kutuchonganisha ile siyo hali ya kawaida. na walichofanya askari wetu ni kumdhibiti kwa sababu ukiona mtu akili yake haifanyi kazi vizuri unachokifanya ni kumdhibiti" - Jesca Msambatavangu, Mbunge
View attachment 3346298
Soma pia
KUKOSA HOJA HADI MACHAWA MTAANI WAMASHINDWA JINSI YA KUTETEA UJINGA WA MANENO YENU

NCHI IMEKOSA VIONGOZI WENYE NIDHAMU
 
Huko Bungeni wamebakia kutetea watekaji, wabakaji na wauaji? Bure kabisa kwa msemo wa Mwai Kibaki (RIP)
 
Back
Top Bottom