PreGE2025 Mbunge Msambatavangu: Mtu mkorogo umedunda, sijui alisahau kupaka poda anataka kuja kutuchonganisha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Martha Karua ana sura Mbaya wanawake wa Tanzania wana sura nzuri

Hakuna mwanaume rijali mtanzania aweza kumtaka kimapenzi Martha Karua

Wakenya wenyewe wamegoma kumuoa .Hata mumewe aliyekuwa mumewe alimpiga talaka
Unafikiri alipata talaka juu ya sura acha kuongea uwehu na ujuha
 
Sura mbaya na tabia mbaya ni mapacha
Ukiona mwanamke ana sura mbaya kama ya Martha Karua usioe wala kumtaka urafiki wa ngono Sura inaakisi tabia pia

Mumewe hakujua hilo alipojua akampa talaka apeleke sura yake mbaya huko mabarabarani bila kujali kuwa ana pesa nyingi
 
Tanzania tunapoteza misingi Sana.

Bungeni sio sehemu ya mipasho na kuongea maneno ya dhihaka.

Kumbeza mwanamke mwenzako na kusema Mkorogo umedunda je ni sahihi ?

Ni sahihi kudhalilisha wanawake ambao hutumia mkorogo na kudunda ?

Na Ana uhakika Kiasi gani kuwa yule Mama Activist anajichubua ?

Au labda tumeamua kujiona sisi ni kijiji na hatufai kuunganila globally.

Naomba AU
Naomba UN

Na NGO zote zimchukulie hatua kali huyu Mbunge wa iringa mjini

Kauli Kama hii haikubaliki ni kauli ya udhalilishaji na alivyo hana akili anaongea kauli Kama hii Bungeni.
 
Sura mbaya na tabia mbaya ni mapacha
Ukiona mwanamke ana sura mbaya kama ya Martha Karua usioe wala kumtaka urafiki wa ngono Sura inaakisi tabia pia

Mumewe hakujua hilo alipojua akampa talaka apeleke sura yake mbaya huko mabarabarani
Martha Hana sura mbaya mkuu, kazeeka sasa
 
Wakuu leo bungeni kumewaka naona wanatumia muda wote 'kuwachamba' Wakenya

===
Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu wakati akichangia kwenye bajeti ya wizara ya mambo ya ndani amegusia suala la Martha Karua kuja nchini na kile kilichotokea.

"Mama mtu mzima aliyesoma sheria anaondoka kwakwe anapanga na nauli bahati mbaya ukimuangalia uso wake hauna matumaini ukimuangalia uso ule sijui ni mkorogo umedunda sjui ni alisahau kupaka poda anakuja kutuchonganisha ile siyo hali ya kawaida. na walichofanya askari wetu ni kumdhibiti kwa sababu ukiona mtu akili yake haifanyi kazi vizuri unachokifanya ni kumdhibiti" - Jesca Msambatavangu, Mbunge
View attachment 3346298
Soma pia
nilikuwa naangalia kujua martha karua kwa nini sura yake ipo vile, kwa nini kichwa chake ni kama anavuta bange, kuja kufahamu kuwa kumbe hama mume, alipeana talaka, nikaamua kuacha. wanawake, ndoa ni kitu cha muhimu sana na cha heshima sana ambacho ukiwa nacho mambo mengine yote utayafanay kwa heshima pia.
 
Mambo ya msingi wao hawako serious kwahiyo hawaguswi na kutekwa kwa wananchi qmmk?
 
Wanalipwa na Ford Foundation na Open Society Foundations zinazofadhili ushoga kwa kivuli cha haki za binadamu. Jiulize Mkenya na Mganda wana uchungu gani na Lissu mpaka waje kusikia kesi yake? Wanalala Serena Hotel na kusafiri business class.

Naunga mkono hoja
Ndio akili zetu hizi watanzania, safari bado ndefu sana.
 
Tanzania tunapoteza misingi Sana.

Bungeni sio sehemu ya mipasho na kuongea maneno ya dhihaka.

Kumbeza mwanamke mwenzako na kusema Mkorogo umedunda je ni sahihi ?

Ni sahihi kudhalilisha wanawake ambao hutumia mkorogo na kudunda ?

Na Ana uhakika Kiasi gani kuwa yule Mama Activist anajichubua ?

Au labda tumeamua kujiona sisi ni kijiji na hatufai kuunganila globally.

Naomba AU
Naomba UN

Na NGO zote zimchukulie hatua kali huyu Mbunge wa iringa mjini

Kauli Kama hii haikubaliki ni kauli ya udhalilishaji na alivyo hana akili anaongea kauli Kama hii Bungeni.
😤
 
nilikuwa naangalia kujua martha karua kwa nini sura yake ipo vile, kwa nini kichwa chake ni kama anavuta bange, kuja kufahamu kuwa kumbe hama mume, alipeana talaka, nikaamua kuacha. wanawake, ndoa ni kitu cha muhimu sana na cha heshima sana ambacho ukiwa nacho mambo mengine yote utayafanay kwa heshima pia.
wangapi wana sura nzuri wamepewa talaka ?

Refers to,

Mengi Mercy na Regnold mengi,

Faraja kota na Lazaro nyalandu,

Kuna huyu kafulila na mkewe sjui nani,

wapo kina Joyce kiria,

Mnamsema sana Martha kina Anne makin hamuwaoni watz mbona mko na akili za nyumbu?
 
Wakuu leo bungeni kumewaka naona wanatumia muda wote 'kuwachamba' Wakenya

===
Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu wakati akichangia kwenye bajeti ya wizara ya mambo ya ndani amegusia suala la Martha Karua kuja nchini na kile kilichotokea.

"Mama mtu mzima aliyesoma sheria anaondoka kwakwe anapanga na nauli bahati mbaya ukimuangalia uso wake hauna matumaini ukimuangalia uso ule sijui ni mkorogo umedunda sjui ni alisahau kupaka poda anakuja kutuchonganisha ile siyo hali ya kawaida. na walichofanya askari wetu ni kumdhibiti kwa sababu ukiona mtu akili yake haifanyi kazi vizuri unachokifanya ni kumdhibiti" - Jesca Msambatavangu, Mbunge
View attachment 3346298
Soma pia
Huyu mbunge ni mchepuko wa makala na huko ccm kwa sasa wamechoka na ushauri wa kijinga jinga wa makala
 
Hapamfai humo,angerudi tu chuoni kufundisha!!
Akili kubwa kama Bashiru naye ameenda kumezwa na hao wasiojitambua. Serikali ijitahidi kuboresha mazingira ya hawa wasomi waliotumia muda wao mwingi kwenye shule na tafiti. Hii itapunguza vishawishi vya kwenda kuwa sehemu ya huo upumbavu.
 
wangapi wana sura nzuri wamepewa talaka ?

Refers to,

Mengi Mercy na Regnold mengi,

Faraja kota na Lazaro nyalandu,

Kuna huyu kafulila na mkewe sjui nani,

wapo kina Joyce kiria,

Mnamsema sana Martha kina Anne makin hamuwaoni watz mbona mko na akili za nyumbu?
ccm ya makala hata uwe na Sura nzuri lazima wakutoe fahamu na sura yako unabakia kinyago
 
sijatetea nimeonyesha alichokisema huyo mtamba nani sjui kuwa ni kosa kumkosoa mama wa watu,

Ndo maana nikasema Martha saa hz kazeeka, Ila she was cute.

Good bye
There is no need to prove that Martha was cute. Hoja aliyotoa mbunge ni mbovu haina mashiko. Unavyo onyesha kuwa alikuwa cute ni kama unaungana na mtoa hoja ni sawa kumjaji mtu Kwa kigezo cha muonekano wake.

Ni kama unaingia mkenge kumfukuza kichaa ukiwa uchi aliyeiba ngua zako wakati unaoga
 
Back
Top Bottom